Habari,
Kwa wazoefu wa Wanao safirisha Nyama Nje ya Nchi,
Nimepata soko tayari na nataka kusafirisha Nyama ya mbuzi nje,
Kuna mifuko ya package, nime attached ktk post naomba kujua naipata wapi, na kwa wazoefu zaidi wanipe utaratibu wote
Nishafatilia kibali board ya nyama, slaughter house...