Mara nyingi, nasoma maneno kama mzae au mzazi, ngori, na mengine mengi humu Jf.
Huwa siachi kushangaa na kujiuliza.
Je, wakenya wameunda sheng lao kutokana na kutojua Kiswahili, kukidharau, au kutaka kukiua na kuzalisha kipya?
Najua japo si wote, wakenya wanaabudia sana kimombo.
Mbona sasa...