kutimiza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nifanye nini ili niweze kutimiza ndoto yangu ya kuwa muigizaji?

    Nakuja dar kwa ajili ya kupambania ndoto yangu ya uigizaji, nipeni code na ushauri wenu wadau.
  2. Hamas kusitisha makubaliano kuachiliwa mateka kutokana wa Israel kushindwa kutimiza makubaliano

    Wanaukumbi. Breaking | Al-Qassam Brigades spokesperson Abu Obaida announces that due to Israel's failure to uphold the terms of the ceasefire agreement, the release of Israeli captives scheduled for this Saturday will be postponed until further notice. ========================= ⚡️BREAKING...
  3. Wakati Chama cha Mapinduzi kinaelekea kutimiza miaka 48 tangu kuzaliwa kwake, moja ya kitu kinajivunia ni kuwa na ofisi nzuri zenye hadhi na muonekano

    Wakati Chama cha Mapinduzi kinaelekea kutimiza miaka 48 tangu kuzaliwa kwake, moja ya kitu kinajivunia ni kuwa na ofisi nzuri zenye hadhi na muonekano wa chama. Hii ni ofisi ya CCM Kata ya Manzese ambayo muonekano wake ni bora na yenye kuvutia. Asante Dotto Magari kwa kututembelea na...
  4. M

    Kwa mliokuwa mashabiki wa propaganda za Trump, yamebaki masaa machache ya yeye kutimiza ahadi ya kumaliza vita vya Ukraine

    Mojawapo ya ahadi zake na pengine iliyomuongezea kura na kupata wafuasi wengi wa Sera zake, Ni ile ya kumaliza vita vya Ukraine ndani ya masaa 24 Mara tu Baada ya kuapishwa. Trump aliapishwa Jana jioni na masaa 24 yatatamatika Leo mida ya saa mbili usiku. Je kufikia mda huo vita ya Ukraine na...
  5. Ikitokea Rais wa sasa akashindwa kutimiza majukumu yake, je Makamu aliyejiuzulu anayemalizia muda wake ataapishwa kuwa Rais?

    Naombeni kujua tu wadau, maana ya Mungu mengi. Makamu wa Rais amejiuzulu lakini anamalizia muda wake mpaka mwezi wa 10. Sasa ikitokea Rais akapata dharura na akashindwa kutimiza majukumu ya Urais, huyu makamu aliyejiuzulu anafaa kuapishwa kuwa Rais?
  6. Ndugu zangu wa mikoani tushirikiane kutimiza wazo langu la biashara

    Awali ya yote, Nashukuru Sana kwa kutenga muda wako na kupitia Uzi huu. Leo nimepata wazo la biashara linalohusiana na kutoa huduma kwa watu mbalimbali hasa wa mikoani na wale wote ambao wapo nje ya jiji la Dar es salaam. Nimepitia Nyuzi nyingi na mitandao mingi ya kijamii kwa muda mrefu...
  7. Mtazamo;Unapoingia mwaka mpya na kutimiza miaka kadhaa unatakiwa usikitike na kutafakari nyakati zako na sio kusherekea......

    Habari za muda huu waungwana..... Mimi nadhani maisha ya kiumbe mwanadamu hapa duniani yamekuja mfano wa simu iliyojaa chaji na kutolewa kwenye chaji pindi anapozaliwa kutoka tumboni kwa mama yake....... Na chaji hutumika na kupungua kwa kadri anavyoziiishi nyakati zake hapa duniani.....na...
  8. Mbunge Twaha Mpembenwe: Nimekuja Kutatua Kero na Kutimiza Ahadi

    Mbunge wa Jimbo la Kibiti Mkoa wa Pwani, Mhe. Twaha Mpembenwe ameongozana na Diwani wa Kata ya Kibiti, Mwenyekiti wa CCM Kata ya Kibiti na Sekretarieti ya CCM kufanya mkutano na kutatua changamoto za Wananchi wa Kata ya Kibiti. "Nilifanya Ziara ya Kusikiliza Kero na Changamoto za Wananchi...
  9. Mh. Mbowe kama ameshindwa kutimiza malengo makuu ya Chama, kutaka tena si uroho wa madaraka?

    Katika miaka zaidi ya 15 sasa ya kuipenda na kuifuatilia Chadema, nimekuwa nikisikia na kusoma kuwa malengo yake makuu yamekuwa ni; Kushika Dola; Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi. Mh. Mbowe katika miaka yote hakuna alichotimiza hata kimoja. Kama kiongozi wa taasisi unaposhindwa kutimiza...
  10. LGE2024 Dar: IGP Camillus Wambura apiga Kura, awahimiza Wananchi kutimiza Haki ya Kikatiba

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, Novemba 27,2024 amepiga kura kuwachagua viongozi wa serikali za Mitaa. IGP Wambura amepiga kura Jijini Dar es salaam ambapo amewasisitiza wananchi pamoja na askari kujitokeza kwa wingi kutimiza haki yao ya kikatiba.
  11. T

    LGE2024 Lema: Hakuna mazingira huru kabisa ya uchaguzi, ila imenipasa kutimiza wajibu

  12. Mwenyezi Mungu angeongeza siku za kuishi walau miaka 100,hii 60-70 haitoshi kutimiza malengo yetu

    Hebu nenda kwenye makaburi ya umma ya wakristo utarudi nyumbani na kusema asante Mungu. Kumbe watanzania wengi hatutoboi 70,Yaani narehemu wengi ni miaka 50 kushuka chini, Kwa mujibu wa sensa iliyopita idadi ya wazee kuanzia miaka 60 hawazidi 10 percent, Serikali inashindwa nini kuwapa bima ya...
  13. ACRIMONY: Mapenzi na Ndoto, Mahususi kwa Kijana Yeyote Anayepambania Kutimiza Ndoto Zake

    Hii ni story Inayomhusu kijana aliyepambana katika harakati za kutimiza ndoto zake, akiwa bado mwanafunzi wa chuo akapata mwanamke waliyefunga naye ndoa. Mwanamke huyo alikuwa na mchango mkubwa wa hali na mali ambapo aliuza mpaka nyumba ya urithi ya familia pamoja na kutumia pesa zote alizorithi...
  14. K

    Napendaa mambo ya modeling sana na natamani nifike mbali lakini bado sijapata connection nzuri ili niweze kutimiza ndoto zangu

    Hello naitwa Jenipha napenda sana mambo ya modeling lakini Bado sijapata connection au njia rasmi ya kuweza kutimiza ndoto zangu nahitaji msaada wenu. 0713776534
  15. Dini ipo ndani ya moyo wako. Dini ni upendo. Dini ni uwazi. Dini sio haya mashirika mnayoenda kuyafaidisha na kutimiza itikadi zao.

    Mmekuwa manipulated kwa enzi na enzi kumuunganisha Mungu na dini. Mmekuwa brainwashed kuona njia ya kumifikia Mungu ni dini. Mungu sio dini, Dini sio Mungu. Dini hizi ambazo viongozi wenu wanalindwa na mabaunsa huku wakiwahamasisha msiwe na hofu Mungu yuko na nyie. Dini hizi ambazo viongozi...
  16. Kadhia anazokumbana nazo Mtoto wa kike hadi kutimiza ndoto zake

    Hii iko wazi kuwa Mtoto wa Kike anakumbana na Vikwazo vingi sana hadi kutimiza ndoto zake. Vikwazo hivo huanzia Pale tu anapozaliwa katika familia ambazo zilihitaji Mtoto wa Kiume kuwa wa Kwanza ili kupata mtoto wa kuendeleza ukoo na kurithi mali. Basi huanza kubaguliwa kuanzia hapo yeye na...
  17. L

    Ushirikiano kati ya China na Afrika wasaidia kutimiza ndoto za Waafrika

    Ushirikiano na uhusiano kati ya China nan chi za Afrika umedumu kwa miongo mingi sasa, na kuzinufaisha pande hizo mbili kidhahiri. China imekuwa mwenzi wa kutegemeka kwa nchi za Afrika, na imetekeleza ama inatekeleza miradi mingi mikubwa ya miundombinu ikiwemo ujenzi wa barabara, reli, bandari...
  18. T

    Je, Lissu akishika Urais leo, atakubali kila siku vijana wawe wanaingia barabarani kuandamana kutimiza wajibu wao wa kikatiba kwa lengo lolote lile?

    Habari JF Najiuliza hapa, maandamano ni "haki kikatiba", Je leo hii Lissu au mpinzani yoyote akiwa Rais ataruhusu tu Raia wake mda wowote wakiamua kuandamana hata kwa sababu zisizo na mashiko, waangie tu babarani sababu ni haki yao .? Soma Pia: Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa...
  19. Pre GE2025 Kupitia ilani ya Uchaguzi, CCM iliahidi kwa maneno na maandishi; Hivi sasa inatekeleza na kutimiza ahadi zake kwa vitendo

    Mungu atupe nini tena Watanzania, zaidi ya kumuomba katika umoja wetu, airejeshe madarakani tena na tena, Serikali sikivu sana ya CCM? Ndugu Wananchi, Maelezo mafupi sana mnayoyaona katika mabango pembezoni mwa barabara, kwenye kuta za fensi maeneo mbalimbali, kwenye magari binafsi, bodi za...
  20. Waziri George Simbachawene atafaa Uwaziri Mkuu 2025

    Huyu Mzee amehudumu Baraza la Mawaziri kuanzia serikali chini ya JK, JPM na sasa Mama, huku akiongoza wizara zenye majukumu mazito. Ni mkimya , humsikii kuropoka, busara na amekuwa akijibu hoja Bungeni kwa umakini. Nakumbuka aliwahi kuwajibika kwa kujiuzulu uwaziri kipindi cha JPM lakini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…