kuungana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hakuna chama cha siasa makini cha upinzani nchini kinaweza kuthubu kukubali wito kuungana na chama tapeli na kibaka wa demokrasia

    Yaani anataka vyama vya upinzani kuungana ili kuomba pesa nyingi zaid kwa wananchi wanaoitwa maskini? Yaani vyama vya siasa vya upinzani viache malengo yao wafuate ulaghai wa huyo mpiga makelele mwenye chuki na uhasama na viongozi na baadhi ya wanachama wa chama chake mwenyewe, inawezekana...
  2. Pre GE2025 Joseph Mbilinyi (Sugu) kajidhalilisha sana kuungana na Mbowe ili kumkabili Lissu

    Habari zenu wanaJF wenzangu Inashangaza sana mtu kama Sugu alieanza kuikanyaga ardhi ya Kaburu kabla ya vijana wengi wa Tanzania hawajawa na akili ya kufika huku, ameshindwa kusoma alama za nyakati ambazo bila chenga wala mizengwe zinaonesha fika kwamba awamu hii ni zamu ya Lisu iwe mvua au...
  3. X

    Nissan na Honda kuungana kufuatia ushindani mkubwa kutoka China katika utengenezaji wa magari

    Kampuni namba 2 na namba 3 kwa utengenezaji wa magari nchini Japan baada ya Toyota, Honda na Nissan zinafikiria kuunganisha mitaji yao ili kuziunganisha na kuwa kampuni moja. Lengo ni kuwasaidia kushindana dhidi ya watengenezaji wa magari ya umeme (EV), hasa nchini China. Huu utakuwa...
  4. LGE2024 Je, Vyama Vya Upinzani vinataka Kuungana pamoja Kuunda Umoja Unaitwa UDF (United Democratic Fronts)?

    Mliweswee! Mianyeyeee! Nawasalimu! Kama Mtakumbuka Miaka Kadhaa Nyuma Vyama Vya Upinzani Viliwahi Kujiunga Kipindi cha Bunge La katiba na Kutumia Muungano Huo kwenye Uchaguzi wa Mwaka 2015, Kwa Umoja uliokuwa Unaitwa UKAWA (Umoja wa Katiba ya Wananchi).. Na Kusimamisha Mgombea wa Urais...
  5. Nimerejea Tena rasmi kuungana na wadau Ili nipate kuchangamka nisiwe mnyonge

    Nimerejea Tena rasmi kuungana na wadau baada ya kupata msiba Wa Binti YANGU,Ili nipate kuchangamka nisiwe mnyonge zaidi,mnipokee Tena ndugu zangu maisha mengine yaendeleee🙏🏽
  6. Gachagua adaiwa kuanza mazungumzo ya kuungana na Upinzani ili kupambana na Ruto mwaka 2027, asema Gen Z ndio silaha yao

    Kalonzo and Gachagua’s camps are reportedly meeting in secret to devise a formula to defeat Ruto in 2027. For Gachagua, winning a duel with Ruto would be sweet revenge against the President. Wiper Leader Kalonzo Musyoka and Deputy President Rigathi Gachagua. FILE A political marriage between...
  7. L

    CIIE kuunga mkono Afrika kuungana zaidi na uchumi wa dunia

    Katika mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika Beijing mwezi Septemba mwaka huu, China ilitangaza mpango wa kufungua zaidi soko lake na kuzipa msamaha wa ushuru wa forodha bidhaa zinazoagizwa kutoka nchi zilizo nyuma kimaendeleo, zikiwemo nchi 33 za...
  8. Pre GE2025 Zitto ashauri upinzani kuungana kwenye chaguzi kuing’oa CCM

    Dar es Salaam. Kiongozi mstaafu wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema mbinu ya kukishinda chama tawala Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji, vitongoji Novemba 27, 2024 na uchaguzi mkuu wa 2025 ni vyama vya upinzani kuungana. Kutokana na hilo, mbunge huyo wa...
  9. W

    Tetesi: Upo iwezekano kundi la waasi huko Urus kuungana na Jesho la Ukraine

    Habari ndiyo hiyo kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Putin ameshakalia kuti kavu. Yajayo yanafurahisha.
  10. Ujerumani yasema kuilinda Israel si suala linalohitaji mjadala. Wafalme wa mashariki ya kati bado wamelala

    Waziri wa ulinzi wa Ujerumani,Boris Pistorius, amesema kulitumia jeshi la nchi yake kuilinda Israel iwapo itashambuliwa na Iran si jambo linalohitaji kujadiliwa. Kauli hiyo ya Ujerumani inafuatiwa na uamuzi wa Marekani kupeleka meli na askari kuizunguka Israel ili kuipa ulinzi nchi hiyo ambayo...
  11. Pre GE2025 Lema: Nape mpumbavu wewe sisi tunaweza kumuiba mkeo na kukaa nae chumbani kwetu

    Lema asema Nape mpumbavu wewe sisi tunaweza kumuiba mkeo na kukaa nae chumbani kwetu, hii imekuja baada ya kauli ya Nape kuhusu ushindi kwenye chaguzi ambapo alisema ushindi unategemea nani anahesabu na nani anatangaza matokeo, zaidi soma hapa - Nape Nnauye: Kauli ya "Matokeo ya kura inategemea...
  12. Z

    SoC04 Mkutano wa Berlin na kuvunjika kwa umoja wa waafrika katika bara letu, je tutukuze mipaka ya ukoloni bila kuungana?

    Ikumbukwe kuwa kabla ya ujio wa wakoloni katika bara la Afrika sisi tulikuwa wamoja kwa kushirikiana katika kila kitu kilicho husiana na Ubuntu wetu kwa kutokuwekeana mipaka katika bara letu. Kwa mfano wangoni chimbuko lao ni South Africa lakini walihama kutoka katika nchi yao kuja mpaka...
  13. M

    Kuungana kwa Kagame na Ruto, taa nyekundu imetuwakia Tanzania

    Rais Ruto na Rais Kagame, wameungana na Kwa sasa Tanzania imebakia kibogoyo sio bandari Wala makongamano ya kimataifa. Kwa sasa mizigo ya eastern DRC inapitia Mombasa, Burundi nao wengi wameenda Mombasa, Rwanda kwa sasa anapitia mombasa. Hao wote wanadai bora wakatembee umbali mrefu lakini...
  14. Erdogan azitaka nchi za kiislamu kuungana dhidi ya taifa la Israel

    Raisi wa Uturuki povu limemtoka, anataka mataifa ya Kiislamu yaungane dhidi ya taifa la Israel. Mimi naona huyu jamaa ni mnafiki kama wanafiki wengine.
  15. Kwa wale ambao mnataka au mna hamu sana ya Kuvunja Ndoa zenu nzuri ili mje kuungana nasi 'TEAM NO KUOA DAIMA' chukua hii mbinu utakuja Kunishukuru

    HOW TO DESTROY A GOOD MARRIAGE IN JUST ONE MONTH To destroy a good marriage is very easy than you think, it does not cost anything. I listed here things you can do to destroy a great marriage by just doing them for a Month, no matter how strong the marriage is, it will be destroyed if you do...
  16. Je, kuungana kwa nchi za Afrika kuwa nchi moja kunaweza kuwa na manufaa?

    Africa inaweza kuungana na kuwa taifa moja ambalo litakuwa tishio sana duniani mabeberu walisha litambua hilo ndio maana wakafanya kila namna kuweka vikwazo vikubwa sana ambavyo vimepelekea waafrika wengi sana kupoteza maisha,, lakini leo natamani nielezee manufaa Africa ikiwa nchi moja yenye...
  17. Saudi Arabia waja juu na kuungana na Misri kuionya Israel

    Ule ukimya wa muda mrefu wa mataifa mawili makubwa ya kiarabu sasa umefika mwisho.Mataifa hayo ni Misri na Saudi Arabia. Misri ilitoa onyo lake dhidi ya Israel na nia yao ya kupiga eneo la Rafah karibu wiki mbili zilizopita.Baada ya hapo walikaa kimya na haijulikani wamefanya matayarisho kiasi...
  18. Kwa hili la red sea nchi zote za afrika tunatakiwa kuungana na UK, USA, kuichakaza Yemen. Afrika ndio muathirika mkuu wa ufedhuli huu!

    Naipongeza sana uk,na usa ,kwa uamuzi sahihi wa kuidhibu Yemen kwa sababu ya upuuzi wanaoufanya red sea ! Yemen inaweza kuwa imejificha nyuma ya hili kundi la houth! Yemen ndio imetoa baraka zote kwa hili kundi la kigaidi kuzuia misafara ya meli zenye bidhaa mbalimbali kutoka ulaya kuja afrika...
  19. Muongozo wa namna ya kwenda Israeli kuungana nao kuwapiga Hamas na wapalestina

    Taifa teule la Mungu limeingia kwenye operesheni maalumu ya kujiongezea mipaka kule Gaza baada ya kuchokozwa. Ni jukumu letu wana wa Yehova kwenda kuungana na uzao wetu mtakatifu kuichukua Gaza na baada ya hapo west bank. Kuna utaratibu uliowekwa?
  20. Wageni huweza kuungana kuwakabili wenyeji walioparanganyika na kuwashinda

    WAGENI HUWEZA KUUNGANA KUWAKABILI WENYEJI WALIOPARANGANYIKA NA KUWASHINDA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Moja ya Kanuni za wakati wote kwa Watibeli ni kulinda Umoja wa watu wetu. Tunafahamu, umoja wetu utalindwa na kuhifadhiwa ikiwa HAKI itatendeka, UPENDO utatufunika, UKWELI utasemwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…