kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Goli la kwanza la Simba na kagera ni offside . Rushwa sijui zitaisha lini ?! Majina ya bodi ya Ligi tuwajue . Utakuta la 7 .

    Simba kila mechi kuna Refa Ana wabeba . It’s not healthy kwa Ligi yetu . TFF na bodi ya Ligi wote kimya . That free kick was typical off side , the whole match Refa yupo upande mmoja . Watu wa bodi ya Ligi watoe nyeti na cv zao . Na wasi wasi na Elimu zao . Kuna vilaza mule na La Saba ...
  2. M

    Ilikuwaje mara ya kwanza ulipokutana na mtu mliyechati mtandaoni kwa nia ya kuwa wapenzi?

    "Samahani sana ninavyokuona sio kama nilivyotegemea, HATUENDANI"... baada ya kusema hivyo jamaa aliyekuwa naye kwenye Toyota Hiace nyeupe akaniangalia na kutabasamu kisha akaondoa gari. Mimi nikaachwa nimesimama. Kibaya zaidi hata kwenye gari hakushuka. Sikuweza kujua yule kijana alikuwa nani...
  3. Bahati Kubwa! Ugunduzi wa Madini ya Dhahabu na Copper Yenye Thamani Kubwa: Mgunduzi ni Mining geology IT

    "Asili ya Dhahabu: Ugunduzi Mpya katika Ardhi ya Tanzania! Kupitia juhudi za kisayansi na utaalamu wa jiolojia, nimeweza kufanya ugunduzi wa eneo lenye thamani kubwa ya madini ya dhahabu na copper katika ardhi ya Tanzania. Eneo hili lenye hekta 20 limegunduliwa kuwa na kiwango kikubwa cha...
  4. Mwanamke akipata pesa, kitu kinachomjia kichwani cha kwanza ni kujitegemea na kujitawala bila kuwa na mwanaume

    Wakati huo mwanamme akipata pesa kitu cha kwanza anachowaza ni namna gani ya kuzitumia pesa hizo na wanawake. Hii ni tofauti inayowatafuna wengi kwa kujua ama bila kujua. Utakuta wengine wikendi kama hivi ni full kubembeleza mwanamke fulani wanayemtaka akubali watoke ili wakale pesa zake...
  5. Huyu mtoto alijifanya mjanja, pesa anataka mzigo anasema mpaka tuzoeane kwanza

    Mahusiano yana siku 3 nikamwambia Jmosi tuvunje amri ya 6 akasema mpaka nimzoee nijiridhishe kama ana tabia njema naye pia ajiridhishe ndipo tufanye. Hivi mtu munaishi mitaa tofauti muchunguzane tabia ili tu mupate kufanya tendo inawezekana vipi? Ingekuwa tumepanga kufunga ndoa sawa...
  6. D

    Nimepata partial heart attack leo , nimludie prof Janabi kwanza

    nilikuwa naoga ile maji yamenigusa tu . Nilihisi moyo upo mbio , ni mepata fatigue , nguvu sina , palpitations moja Kali . Chest pain , wenge kubwa sana Aisee nikafunga shower nikapoa kwanza . Worse nipo late 20s . Sina hata mke wala mtoto Beer, liquor , kitimtoto , chips kuku Zege ...
  7. Mnatuingiza kwenye nishati safi kama nchi ya dunia ya kwanza!

    Kabla ya kuanza kutuingiza wananchi kwenye kutumia nishati safi serikali ingejikita kwanza kwenye maisha ya watumiaji na mapishi yao, pia mpango huo usingefanywa kibiashara zaidi, ungezingatia kuangalia jinsi gani baadhi ya wananchi wangeweza kupata nishati ya gesi bila kutumia fedha mfano...
  8. C

    Je kuna haja ya kujenga mazoea Kwanza na demu au kumtongoza papo kwa hapo?

    Kwema wakuu Ipi Kati ya kujenga mazoea Kwanza na demu au kumtongoza bila kuwa na mazoea nae inafaa.
  9. Tanzania tunge-host Formula 1 kwa mara ya kwanza

    Tanzania bara na (au) visiwani tulikua katika moja ya nchi za Africa zilizopendekezwa au zilizofikiriwa kuhost Grand Prix. Ikumbukwe kwa Africa ni South Africa tu waliwahi host F1 GP, first time ilikua 1934 na last time ilikua 1993. Lewis Hamilton, amewahi sikika akisema ktk moja ya interview...
  10. Kingereza kufundishwa kuanzia Darasa la Kwanza

    Serikali imeamua kuboresha uelewa wa somo la Kiingereza kuanzia Shule za msingi darasa la kwanza badala ya kuanzia darasa la Tatu kama hapo awali ili kuwajengea uwezo wanafunzi hao ingali mapema kuelewa somo hilo kwa ueledi. Naibu Katibu Mkuu Tamisemi (Elimu) Dkt. Charles Msonde amezungumza...
  11. Pre GE2025 Kesho Lissu akiwa Rais unadhani ni kipi cha kwanza atafanya kuhusu Muungano?

    Tuseme kesho Tundu Lissu ameamka kaupata Urais, ni kipi ataanza nacho kuhusu Muungano? Akiwa na Salama kwenye kipindi cha mkasi alidai Tanganyika tunaiibia Zanzibar sasa hivi msimamo wa gwiji hili la sheria umebadilika kutokana na elimu ya siasa ambayo amekuwa akiitoa kwenye mikutano ya...
  12. Wazanzibari ni raia daraja la kwanza katika JMT

    Heshima kwenu, Sasa ni wazi kabisa katika Muungano wetu Wazanzibar wana uraia pacha (uRaia wa Zanzibar na uRaia wa JMT). Mosi Wazanzibar wana uRaia wa Zanzibar, kupitia sheria zao ambazo wamezipitisha katika BLW (Baraza la Wawakilishi) ambalo WaTanganyika hawaruhusiwi kutia mguu. Kupitia BLW...
  13. Pre GE2025 Tanzania yaongoza kwa Nchi zinazolinda Uhuru wa Vyombo vya habari kwa Afrika Mashariki

    Ripoti ya Utafiti iliyotolewa na Taasisi ya Reporters Without Borders (RSF) ya Mei 3, 2024 imeonesha kuwa Tanzania imeshika nafasi ya kwanza katika Nchi zinazolinda Uhuru wa Vyombo vya Habari kwa upande wa Afrika Mashariki. Tanzania imepanda kutoka nafasi ya 143 kwa Mwaka 2023 hadi 97, Kenya...
  14. Mfahamu daktari wa kwanza duniani "Hippocrites"

    Jina lake ni Hippocrates. Alizaliwa mwaka 460 AD Ugiriki. Kabla ya huyu mwamba matibabu kwa wanadamu ilikuwa changamoto. Ilikuwa ukiumwa, unatibiwa na waganga wa kienyeji bila utaratibu mzuri. Hawa waganga walikuwa hawana heshima kwa wagonjwa na walisababisha wagonjwa wengi kufa. Ikitokea...
  15. Acharya Krishnam asifu hekalu la kwanza la Kihindu la UAE, akimpongeza PM Modi kwa kubeba hadhi ya India ulimwenguni

    Akiendelea kumsifu Waziri Mkuu Narendra Modi kwa kusambaza habari juu ya sifa na hadhi ya India inayokua kimataifa katika pembe za mbali za nchi katika kampeni ya uchaguzi wa Lok Sabha, kiongozi wa zamani wa Congress Acharya Pramod Krishnam alisema ujenzi wa Hekalu la Kihindu la BAPS huko Abu...
  16. C

    Leo nimepima HIV kwa mara ya kwanza tokea 2018

    Nimesafiri umbali mrefu sana kwenda angaza kupima HIV na kwa bahati nzuri majibu yamekuja negative. Hii ni hatua muhimu kwenye ya kuwa makini na kujilinda. Asikwambie mtu kusubiri hayo majibu ndani ya hizo dk 5 siyo mchezo.
  17. India yafanikisha Mkutano wa Kwanza wa Kimataifa wa Umoja wa Mataifa juu ya Miundo mbinu ya Umma ya Kidijitali

    Mkutano wa Kimataifa wa Kwanza wa Umoja wa Mataifa kuhusu Miundombinu ya Umma ya Kidijitali ulifanyika chini ya uongozi wa India wa kutumia teknolojia kukuza Malengo Endelevu ya Maendeleo (SDGs) na kukuza ushirikishwaji, amesema Ruchira Kamboj, Mwakilishi wa Kudumu wa India kwa Umoja wa Mataifa...
  18. G

    Kengold na Pamba zimepanda ligi kuu, Mbeya kwanza na Biashara kucheza playoff na vibonde wa ligi kuu

    Kengold kutoka Mbeya imetwaa Ubingwa wa Championship Hatimaye baada ya miaka 23 timu ya Pamba Jiji FC ya Mwanza imefanikiwa kupanda ligi kuu Bishara United Mara na Mbeya Kwanza watasubiri Playoff Kujaribu bahati yao KenGold FC Pamba FC Mbeya Kwanza FC Biashara United FC TMA FC Mbeya City FC...
  19. Ewe kijana kabla haujafungua biashara yako katafute kwanza kinasa wateja. Utanishukuru baadaye

    Mimi sio mchoyo nawasanua vijana. Haijarishi unaanzisha genge, duka la mangi, banda la chipsi, kuuza mitumba, hata iwe kuuza pipi n.k hakikisha unatafuta kwanza kinasa wateja. Mambo ya customer care, location, research, demand and suply watakazokuambia humu hazina nguvu huku mtaani ziache...
  20. Hamas waziambia nchi 18 vita visimame kwanza kabla ya chochote

    Nchi kumi na nane zimejaribu kuwalaghai viongozi wa Hamas kwamba waachie mateka wote ilionao. Hata hivyo nchi hizo zimekutana na kigingi kutoka viongozi hao wakisema ili mateka hao waachiliwe ni lazima kwanza vita visimame na Israel iondoke Gaza sambamba na watu kuruhusiwa kurudi majumbani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…