maji

  1. JamiiForums Tanzania Kwanini wachawi hawawezi ingia strong room ya benki wakachote pesa ila wanakufuatilia wewe unaelala na madumu ya maji, mandoo na gesi chumbani kimoja

    Waturutumbi jibuni maswali simple Kwanini mnawaonea sana watu wenye uchumi wa mandoo ndoo.
  2. JamiiForums Tanzania MWAUWASA: Eneo la Mahina lilikuwa na changamoto ya maji lakini hatua zimeshaanza kuchukuliwa

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imetoa mrejesho kuhusu hoja ya Mdau aliyeandika ~ Watu wa Mahina - Mwanza, Waziri akija maji yanatoka, akiondoka nayo yanaondoka. MWAUWASA: Tunapenda kufafanua kuhusu changamoto iliyowasilishwa ya upatikanaji wa huduma ya maji kwa eneo...
  3. JamiiForums Tanzania MWAUWASA: Huduma ya maji imerejea Nyegezi, kulikuwa na changamoto Oktoba 13 hadi 20, 2026

    Baada ya andiko la Mdau aliyeelezea "Hali ya maji katika Jiji la Mwanza inazidi kuwa mbaya! Mfano ni Nyegezi," kupitia andiko hili ~ Mwanza: Kuna kero sugu ya maji. Wananchi tumechoshwa na visingizio, malaka husika imetoa neno. Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA)...
  4. JamiiForums Tanzania Matengenezo ya bomba kuu kupunguza maji kwa siku nne Dar es Salaam na Pwani

    ‎Wakazi wa maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam wanatarajiwa kukabiliwa na upungufu wa huduma ya maji kwa siku nne kuanzia Novemba 3 hadi 6, 2026, wakati Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) ikifanya matengenezo ya bomba kuu lenye kipenyo cha inchi 72 linalopokea maji...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO DAWASA wanafungulia maji kwa upendeleo maeneo ya Goba Matosa (kwa Bishilingi na Br Hotel)

    Nina kero yangu, Wakazi wa Goba Matosa maeneo ya kwa Bishilingi na Br hotel, DAWASA wanafungulia maji kwa upendeleo, baadhi ya nyumba zetu hatuna maji huu ni mwezi wa pili na cha kushangaza tunaketewa bill za maji kama kawaida. Ukiwaambia wale wasoma mita wao hawatoi majibu ya kueleweka,kwa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nimefuatilia kuunganishiwa maji katika Kata ya Tangasisi, Mtaa wa Chungurira, Tanga tangu Julai ila hadi sasa sijapewa control number

    Nina changamoto ya kucheleweshewa huduma ya kuunganishiwa maji nyumbani kwangu katika Mkoa wa Tanga, Kata ya Tangasisi, Mtaa wa Chungurira. Nimekuwa nikifuatilia ombi la kuunganishiwa maji tangu mwishoni mwa mwezi Julai, lakini hadi sasa sijapewa Control Number ili niweze kufanya malipo na...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba nitolee ufafanuzi kuhusu ile mada ya Chupa yenye maji ya MOTO

    Najua wengi hawakunielewa kwanini niliamka nikaanza kuuliza au kujiuliza swali fikirishi la kidadisi lenye kuonekana km kwamba ni swali la kitoto. Lakini ni ukweli ulio wazi lile sio swali la kitoto ni swali ambalo watu wamekaa wakalofanyia uchunguzi wa kina. Sasa ipo hivi; Maji ya kwenye...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Naibu waziri asuka msuko wenye jina la Rais Samia kichwani. Asema Samia ni kama maji; usipoyaoga, utayanywa

    Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Eng. Maryprisca Mahundi amesuka msuko wenye jina la Rais Samia kichwani mwake, Asema Samia ni kama Maji usipoyanywa utayaoga
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bei ya Vitunguu Maji Singida na Manyara ipo chini, inatuumiza Wakulima

    Wakulima wa vitunguu maji tuna changamoto, bei ya vitunguu iko chini sana Mkoa wa Singida na Manyara. Wakulima tunapata hasara sababu ya pembejeo za kilimo zipo juu lakini wanunuzi wanajipangia bei ndogo na pia wanaweka ujazo ambao serikali imekataza. Ombi letu waruhusu wanunuzi kutoka nje ya...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Ifakara, mradi wa maji miji 28, kutoa hali ya huduma asilimia 42 hadi 100

    Mradi wa maji wa miji 28 Ifakara, kuongeza upatikanaji wa huduma ya maji kwa asilimia 100 kutoka asilimia 42. Maji yatazalishwa kwa siku lita milioni 20 kwenda kwa wananchi, ilhali mahitaji ya wananchi kwa sasa ni milioni 10. Serikali imewekezakiasi cha Shilingi bilioni 48 katika kuhakikisha...
  11. JamiiForums Tanzania Marejesho ya VICOBA, chanzo wanawake kukosa maji ukeni

    Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake na Uzazi, Godfrey Chale wa Dkt. Chale Polyclinic iliyopo Mbezi kwa Msuguri ana eleza kuwa maumivu wakati wa tendo la ndoa kwa mwanamke husababishwa na kukosa maji maji ukeni (Ute), hiyo hali imesababishwa na wanawake kupitia stress za Vikoba na marejesho...
  12. JamiiForums Tanzania Ujue Ukweli wa Majemadari wa Vita Vya Maji Maji Walionyongwa na Wajerumani

    https://vt.tiktok.com/ZSgbboFu8/
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri alisema mgao uishe; miezi 10 baadaye Kinondo bado inapewa maji kwa zamu

    Mimi ni mkazi wa Kinondo, Mabwepande. Katika eneo langu tumekaribia kutimiza wiki mbili bila maji. Kinachoumiza zaidi ni kwamba bado tunasubiri zamu, halafu hata zamu ikifika baadhi yetu hatupati huduma. DAWASA itueleze: mgao huu una mwisho lini, na maji yatafika lini kwa wale ambao zamu zao...
  14. JamiiForums Tanzania Nimechukua maji ya baraka bure kanisa Katoliki. Mwamposa maji yake ni 1000/- kwa lita.

    Mmepewa bure toeni bure. Kwanini mtume Mwamposa auze maji yake? Au anayawekea Chloroquine kuua vijidudu vya Malaria 2 na mapepo wengine wachafu?
  15. T

    JamiiForums Tanzania KERO: WAKAZI WA MBALIZI HATUNA MAJI: TUNAOMBA UFAFUNUZI KUTOKA IDARA HUSIKA.

    Habari wana JF, Bila kupoteza muda sisi wakazi wa mbalizi centre mitaa yake hadi huku Ifisi tuna changamoto kubwa sana ya maji! Kabla ya ziara ya Mheshimiwa Makamo w Raisi tulikaa takribani mwezi mzima hakuna hata tone la maji kutoka Idara ya Maji. Siku moja kabla ya Ujio wa Mheshimiwa maji...
  16. JamiiForums Tanzania Anaandika Juma Aweso, Waziri wa Maji

    Tunawaomba wananchi kutumia maeneo rasmi ya huduma ya maji kuepusha Taharuki. "Nimefatilia zaidi swala la upatikanaji wa Maji Kijiji cha Iponda baada ya taarifa zilizowekwa mtandaoni kwa kutuma timu ya wataalamu wafike haraka na kunipa taarifa sahihi; lengo kuu ni kujiridhisha na kuwa na...
  17. JamiiForums Tanzania Subaru SJ5 kugoma kuwaka ikiloa /kuigesha/kuimwagia maji

    Wakuu heshima yenu nina kasubaru kangu ka mwaka 2015(SJ5) changamoto iliyokuwa nayo ni kuwa inapoteza mawasiliano kati ya funguo (push to start) na switch ya kuwashia gari ,nimekuja kugundiua mawasiliano hupotea pindi gari linapokuwa limeloa aidha nimetoka car-wash au kuloa na mvua ,naombeni...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ameamua kuachana na Chuo cha Maji kisa ‘mateso’ ya Mhadhiri anayemsimamia ‘Dissertation’

    Miaka kadhaa nyuma wakati nipo Undergraduate pale Open University - Dar, ilibaki kidogo nisi-graduate sababu ya Mhadhiri aliyenisimamia Research, nilipambana kwa nguvu zote lakini aliniwekea pozi balaa Ilibidi nimfuate Mwalimu mwenzake kumuuliza mbona nimefanya kila kitu lakini nazungushwa tu...
  19. JamiiForums Tanzania DKT. KIKWETE APONGEZA HUDUMA YA MAJI CHALINZE, AIPA USHAURI DAWASA

    Rais mstaafu, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ameishauri Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuangalia uwezekano wa kujenga Bwawa Dogo eneo la Wami, litakalosaidia kuongeza upatikanaji wa maji Chalinze ifikapo mwaka 2030 hadi 2050. Akizungumza baada ya...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Watu wa Mahina - Mwanza, Waziri akija maji yanatoka, akiondoka nayo yanaondoka

    Watu wa Mwanza bado tunateseka na suala la maji kwa 90% ya wakazi wa huku hatupati maji na ziwa lipo kwetu, waziri akija maji yanatoka, akiondoka maji hayapo hii ni haki kweli? Hadi hivi leo maji hatuna tunateseka sana wengine kazi zimesimama tumefunga ofisi zetu sababu ya maji, nipo maeneo ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…