maji

  1. CCM WANAJIMWAGIA MAJI YA MOTO WANASEMA TINDIKALI

    Siku ya Leo limetoka igizo Moja ya kiongozi wa ccm eti kamwagiwa TINDIKALI kumbe Yale ni maji ya moto wanaigiza Ili kupoza raia wasiingie ground tarehe 23 nasema hivi ccm acheni kuigiza mnajimwagia maji ya moto ambayo Kila siku tunayaoga mnaema eti kamwagiwa TINDIKALIwezi nyie
  2. KWELI Kupwa na kujaa kwa maji ya maziwa na mabwawa ni kidogo sana ukilinganisha na baharini

    kwanini maji ya mabwawa na maziwa kupwa na kujaa kwake hakuonekani kama ilivyo baharini?
  3. Serikali yatoa Tsh bilioni 145.8 mradi wa maji

    Wizara ya Maji imepanga kutumia Sh. bilioni 145.77 kujenga mradi wa maji katika miji 28, ili kuboresha upatikanaji wa maji safi na salama kwa wakazi wa Manispaa ya Songea, Ruvuma. Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, alikagua ujenzi wa tenki la maji linalojengwa katika mtaa wa Mahenge, akipongeza...
  4. M

    Shida ya maji yaanza tena kama ilivyo ada katika miezi hii ya September, October na November

    Kama ilivyo kawaida, inapofika miezi ya 9, 10 na 11 Shida ya maji huwa kubwa katika jiji la Dar es salaam. Cha ajabu jili jambo lipo kwa miaka nenda rudi, lakini Serikali hii dhaifu ya CCM, isiyojielewa, iliyoshindwa kusolve ishu za msingi kama maji halafu inadhani bado ina legitimacy mbele ya...
  5.  MWAUWASA: Tumeandaa Mradi wa Tsh. Bilioni 8.4 kufikisha Huduma ya Maji maeneo ya Kishiri na jirani ambayo hayana huduma hiyo

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuelezea kuhusu changamoto ya huduma ya maji iliyopo katika Kata ya Kishiri, ufafanuzi wa Mamlaka ya Maji Mwanza umetolewa. Kujua alichokisema Mdau huyo unaweza kubofya hapa ~ Changamoto ya maji Kanindo Kata ya Kishiri, Wilaya ya Nyamagana ==== ==== Neli...
  6. F

    Hakuna haja ya kuzalisha umeme wa ziada wakati huu, tuzime mashine za ziada tuhifadhi maji ukame unakuja

    Viongozi wetu wanatuambia sasa mashine 3 kati ya 9 za bwawa la umeme la Nyerere zinazalisha umeme na inavyoonekana mashine 1 hadi 2 zinazalisha umeme wa ziada ambapo ni 235MW kila moja. Taarifa za TMA zinaonesha kutakuwa na ukame kuelekea mwisho wa mwaka hadi mwanzo wa 2025. TANESCO ili...
  7. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira, yakagua utekelezaji wa miradi ya uboreshaji Usafi wa Mazingira Dar

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira Mhe. Jackson Kiswagwa (Mb) (wa tatu kushoto) akizungumza na wajumbe wa kamati wakati wa ziara ya kutembelea na kukagua utekelezaji wa miradi ya uboreshaji Usafi wa Mazingira Dar es Salaam yenye lengo la kuimarisha Usafi wa Mazingira na...
  8. F

    Kusafisha maji

    Wadau sina uwezo wa kununua maji ya kunywa ya chupa kwa ajili ya familia,maana tupo wengi,hivyo huyachemsha na kuweka kwenye water dispenser,lakini huwa yana uchafu,je nitumie njia ipi ya kuyadafisha?kuna dawa ambayo nikiweka itayasafisha maji na yawe salama kwa kunywa?
  9. Wakala wa Vipimo (WMA) kufanya uhakiki wa Mita za Umeme, Maji na Mabando ya Simu

    Wakala wa Vipimo (WMA) imesema kuwa ipo katika mpango wa kuanza kufanya uhakiki wa Mita za Umeme na Maji ambazo tayari zimefungwa kwa matumizi sambamba na kuanza ufuatiliaji wa kuhakiki wa mabando ya simu ambayo yamekuwa yakitolewa. Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa WMA, Alban Kihulla, akizungumza...
  10. Agizo la Aweso larejesha huduma ya Maji Mbokomu

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi (MUWSA) imetekeleza Agizo la Waziri wa Maji Mh. Jumaa Aweso (Mb) la kuhakikisha huduma ya maji inarejea kwa wakazi wa Kata ya Mbokomu ifikapo Septemba 2, 2024. Mamlaka imetekeleza agizo hilo kwa kuhakikisha miundombinu ya Majisafi iliyoharibiwa na...
  11. Nahitaji dawa ya kuondoa chumvi kwenye kisima cha maji

    Wataalamu kwema jamani, hivi kuna dawa ya kuondoa chumvi kwenye kisima cha maji?
  12. Mkwezi tungi kalitia maji lakini kaachwa

    Kaja mpitanjia kafanya kama mkwezi kaliwa kichwa..! Maisha bila connection usijiamini sana.. Ama inategemea connection yako ina nguvu kiasi gani. Mdomo koma! Tumefunzwa kukaa kimya ama kufungua kinywa kwa tahadhari kubwa..! Maneno ni ni kama risasi.. Hakuna rivasi Umemaliza weekend salama...
  13. Majadala: Toa mawazo yako tufanyeje ili kutatua tatizo la maji Dar es Salaam milele

    KARIBU KWENYE MJADALA HUU NDUGU YANGU MTANZANIA Mawazo yako ni muhimu sana katika hii Mada. Mada: TUFANYEJE KUTATUA TATIZO LA MAJI DAR ES SALAAM MILELE Toa mawazo yako ili tupate ufumbuzi juu ya tatizo hili Mchango uwe wa kiufundi zaidi na sio kisiasa Karibuni Pia soma: SoC03 - Mwarobaini...
  14. Maji ya kilimanjaro sio mazuri siku hizi

    Watu wanaofanya kazi ya production huko acheni kutuwekea chemical nyingi hadi maji yanakuwa machungu na inaharufu ya dawa kabisa. Haya maji ndio yalikuwa the best sasa kama mnazidisha chemikali tutaishije? Badilikeni hadi mtu anaugua sasa kisa midawa yenu na inanuka siku hizi. PLease...
  15. Waziri Aweso tusaidie, wakazi wa Dar asilimia kubwa hatuna maji

    Kwa walioko dar mtaani kwako kuna maji?? Wilaya ya ubungo kwetu Hali tete jamani tusaidieni
  16. Meneja Magufuli Terminal: Uhaba wa Maji Stendi umetokana na DAWASA kutotangaza kuwa maji yatakatika muda mrefu

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kutoa malalamiko kuwa kuna changamoto ya maji ndani ya Stendi ya Mabasi ya Magufuli (Magufuli Bus Terminal) kwa siku mbili Agosti 28 na 29, 2024, ufafanuzi umetolewa. Kusoma alichokiandika Mdau bonyeza hapa ~ Stendi ya Mbezi Magufuli hakuna maji siku ya...
  17. Jumaa Aweso: Maji yapo, umeme upo, ni marufuku kutoa Maji Saa Nane Usiku

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso (Mb) amezindua rasmi kampeni ya "Mtaa kwa Mtaa" katika Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA na kuiagiza Mamlaka zote za Maji Nchini kutekeleza kampeni kikamilifu kwa kuwashirikisha wananchi kwa lengo la kusikiliza na kutatua kero za wateja...
  18. Huduma ya maji yarejea Kijiji cha Kemakorere, andiko la Mwanachama wa JF lawafikia RUWASA

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamika kuwa Wakazi wa Kijiji cha Kemakorere, Kata ya Nyarero Wilayani Tarime wana changamoto ya kukosekana kwa huduma ya maji kwa muda wa zaidi ya miezi miwili sasa, hatimaye huduma imerejea. Aidha, Mdau alidai kuwa Ofisi za Wakala wa Maji na usafi...
  19. Jamii ihamasike kupeleka misaada ya kibinadamu Ngorongoro ikiwemo chakula, maji na madawa! NGOs na watu binafsi tuanze sasa, wamasai ni ndugu zetu…

    Niende kwenye mada moja kwa moja. Ndugu zetu Wamasai kwa sasa hofu imetanda; hawalali usingizi tena, hawajui nini kitatokea. Katika hali hiyo, wanalala wima kwa sababu ya hali ya sintofahamu inayowakabili. Nadhani hawalali usingizi tena. Tuhamasishane kupeleka misaada ya chakula, maji, na...
  20. Tangu Uhuru, wakazi wa jiji la Dar es Salaam wanarundika ndoo zenye maji ndani

    Katika karne hii ya 21, bado watu wa Dar wanapambana na changamoto za maji, wakihifadhi madumu na mandoo katika hofu ya kukatika kwa huduma hiyo muhimu. Hali hii inatia huzuni, kwani hata mvua inyeshapo, maji hayapatikani kwa masaa 24 kwa wiki. Tukilinganisha na nchi kama China, yenye watu 1.3...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…