makamba

  1. M

    Agenda ya Nishati Safi ya Kupikia ni ya Makamba, akampa Samia. Isieleweke Vinginevyo

    Nimesikia Porojo nyingi juu ya Ajenda ambayo imepata umaarufu duniani na Africa kiujumla, Ajenda ya Nishati safi ya kupikia, iliyoasisiwa na January Makamba na hata utekelezaji wake ulianzia kwake personnel. Najua wanasema dont outshine your Boss, lakini wewe nenda kakae na Makamba sasa hivi na...
  2. Pre GE2025 January Makamba mipango yako ya urais Samia kaivuruga leo, jipange vizuri pamoja na timu yako 2030

    Wewe una watu wengi sana nyuma yako, kaa vizuri Na kikwete, kinana, samia, husein, wasira, Rostam I'li uweze kutimiza ndoto zako 2030.
  3. Napendekeza Nape na Makamba waongezwe kwenye timu ya wasimamizi wa uchaguzi wa CHADEMA

    Hii ni kwa sababu wao kama wanaCCM hawana upande wowote ndani ya CHADEMA hivyo itazuia malalamiko yoyote toka kambi ya Lissu au Mbowe. Nape na Makamba ni wazoefu wa mambo ya uchaguzi hivyo watawasaidia sana wenzetu wa CHADEMA kwenye uchaguzi wao hasa kwenye kuhakikisha usalama wa kura. CHADEMA...
  4. Pre GE2025 January Makamba akanusha kupeleka Madrafti Bumbuli

    Salaam Wakuu, Kufuatia video fupi ya Wananchi wa Bumbuli kulalamika kupelekewa drafti na Makamba badala ya maendeleo Soma hapa: - Kuelekea 2025 - Bumbuli: Wananchi wamlalamikia January Makamba kuwapelekea Madrafti huku mambo mengine ya kimaendeleo yakisimama Kupitia ukurasa wake wa X...
  5. B

    Mzee Makamba aliwahi kusema 'Ukifanikiwa kuwaondoa Mbowe na Dkt. Slaa CHADEMA itakufa'

    Kipindi cha Yusufu Makamba alipokuwa Katibu mkuu wa chama cha mapinduzi (CCM) Alipata kusema kuwa akiondoka Mbowe na Dr. Slaa kwenye chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) chama hicho kitakufa Makamba alisema muhimuli wa CHADEMA uko kwa Mbowe na Dr. Slaa kwamba watu hawa ndio nguzo ya...
  6. L

    Matukio makubwa yaliyotikisa Nchi kwa mwaka huu: Kifo cha Hayati Mwinyi na Lowassa. Kutenguliwa kwa January Makamba na Lissu Kugombea Uenyekiti

    Ndugu zangu Watanzania, Nitawaleteeni Matukio Makubwa yaliyotikisa Nchi yetu na kuteka hisia za Watu wengi sana hapa Nchini. Nitakuwa nawaleteeni awamu kwa awamu.Leo naaanza na haya yafuatayo. Tukio la Kwanza lilikuwa ni lile la kufariki kwa Waziri Mkuu Mstaafu wa jamuhuri ya muungano wa...
  7. Pre GE2025 Mwishooni kabisa mwa hizi sarakasi za Siasa CCM ya Mzee Kikwete, Kinana, Makamba, Nape itaibuka kidedea na washindi

    Kwa yoyote alobarikiwa kua na Uwezo wa kukisia mambo Fulani Fulani ya nyakati zijazo. Kuna Makosa yalifanyika 2015-2020 , Ufalme akaanguka, Licha ya Ufalme kufanya mambo makubwa yaliyoonekana. Makosa yaleyale yanajirudia 2022-2025, safari hii yanajirudia kukiwa na mambo yanayopigiwa kelele...
  8. Pre GE2025 Kinana na Makamba wameishia wapi na watakuwa upande gani kwenye uchakachuaji wa mwakani?

    Hawa makada wameishia wapi na watakuwa wapi na upande gani kwenye uchakachuaji ujao mwakani?
  9. Pre GE2025 Rais mteue January Makamba awe Balozi huko nchi ya mbali kabisa

    Nakusalimia kwa jina la Jamhuri wa Muungano! wa Tanzania, Pole na majukumu na heka heka za uchuguzi. Kwa usalama wako ndani ya mkutano mkuu, mpinzani mkubwa wako ni January makamba. Kijana huyu ni mwasiasa mzuri tu na ana ushawishi kutoka kwa vijana na wazee, amejiandaa kisaikolojia, kifedha...
  10. Narada Muni

    LOKAPALA SABHAKHYANA PARVA Vaisampayana said, "While the splendid Pandavas sit in that sabha with the great Gandharvas, O Bhaarata, the Devarishi Narada arrives in that assembly, he who is a master of the Vedas and the Upanishads, he whom the Devas worship, he who knows the Itihasas and Puranas...
  11. R

    Baada ya Nape, Makamba who's next, Bashe?

    Salaam, Shalom!! Utulivu kiasi umeendelea kutamalaki mioyoni mwa Watanzania wenzangu baada ya kuondoshwa Kwa waliokuwa mawaziri vijana wa Makamo / Wazee wachanga, Nape Nnauye na January Makamba. Hivi sasa, amebaki mmoja au wawili watatu kuelekea u haguzi mkuu, Leo tumwongelee mmoja, Ndugu...
  12. L

    Huyu Hapa January Makamba Nje Ya Siasa

    Ndugu zangu Watanzania, Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti. Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
  13. Umemuelewaje Mwamvita Makamba?

    Hili dongo limeelekezwa upande upi?
  14. S

    Januari Makamba yuko wapi?

    Yuko wapi Mbunge wa Bumbuli, Januari Makamba tangu atumbuliwe uwaziri hajaonekana hadharani kuanzia jimboni hayupo wala bungeni hayupo Je Januari Makamba yuko wapi?
  15. Zanzibar watamkumbuka sana Magufuli kwa kuwapatia Rais Bora

    Huyu Genius Magufuli japo simpendi maana aligoma kuuza bandari lakini aliwasaidia sana Wazanzibari. Mifumo ya Zanzibari ilimtaka Nahodha lakini JPM akampiga panga akawapelekea Mwinyi, huu ukawa mwanzo wa Zanzibar mpya. Genius Magufuli angeendelea kuongoza hii nchi sisi mafisadi tungeteseka sana...
  16. kwa nini ishu ya watu kutekwa lawama haziendi kwa waziri husika bali ni Raisi moja kwa moja ? Mbona umeme na bando walikuwa wakilaumiwa Makamba& Nape

    Wasalaam wanaJf , Sijaona uzi hata mmoja wa kumlaumu waziri husika wala kupewa masharti ya kujiuzulu kama ilivyokuwa kwa Makamba na Nape. Swali langu ni hilo !
  17. January Makamba nje ya siasa ana taaluma gani?

    1. Mgombea Urais namba 5 mwaka 2015 na Waziri Mwandalizi (Mstaafu) Mambo ya Nje, Makamba. Ana taaluma gani mbali na Ubunge alio nao? 2. Ikitokea 2025 Chama kisimpitishe kugombea, itakuaje? Atatumia taaluma ipi kuongeza kipato?
  18. Nape, Makamba, Kinana, Wamasai, Chadema na hasira za kutemwa=FURAHA YA WAPIGAJI?

    Boss lady atambue, hana uwezo wa kupambana na hila za wafitini wakimwamlia. Kasi yake ya kuongeza u hasama inaendelea kushika kasi kwa mwendo kasi wa ajabu! Kasi yake ya kujiongezea maadui inatishia mno salama yake ki siasa. Nahofia hao hapo juu wakiungana kwa minajili ya kumdhoofisha ama...
  19. Pre GE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

    My Take Cheo ni dhamana, maisha yaendelee πŸ™πŸ™πŸ‘‡πŸ‘‡ === Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi, utenguzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt, Moses Kasiluka, viongozi hao ni kama...
  20. Salamu za kheri kwa January Makamba na Nape Nnauye

    Shalom, Ndugu zangu January Makamba na Nape Nnauye kwa niaba yangu mimi na wenzangu wengine na wanachama wa CCM, sisi baadhi yetu bado tunawapenda na tuna imani kubwa nanyi na mioyo yetu bado iko na Nuru juu yenu, siasa ni sawa na mchezo wa basketball substitutions ni muda wotewote na hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…