mange kimambi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. META imezifunga kurasa zote za Mange Kimambi

    Mwana dada machachari mitandaoni anayejulikana kwa jina la Mange Kimambi ambaye ni Mtanzania anayeishi huko Marekani amefungiwa kurasa zake zote na Shirika kubwa la upashaji habari-META. Mange alijulikana zaidi kwa maandiko yake ya kuwatweza watu binafsi na hata Viongozi mbalimbali wa Serikali...
  2. Kukosoa Taarifa za Mange Kimambi na Msimamo wa Serikali ya Tanzania

    Kukosoa Taarifa za Mange Kimambi na Msimamo wa Serikali ya Tanzania Katika miaka ya karibuni, Mange Kimambi ameibuka kuwa mmoja wa watu maarufu kwenye mitandao ya kijamii akijipambanua kama mwanaharakati wa kisiasa na kijamii, hasa akilenga kupinga sera na uongozi wa Serikali ya Tanzania. Hata...
  3. Mange Kimambi asema kumuondoa Magufuli madarakani ilikuwa ni ngumu sana kwa sababu alikuwa anapendwa sana na watu yaani Watanzania

    Aman iwe nanyi watu wa MUNGU Dada yetu wa taifa anasema kwamba kumuondoa mama samia madarakan is very simple us to push a mlevi man kwa maana huyu mama hana support yeyote ya watu Mange anadai watanzania wanaompenda mama samia hawafiki hata mia mbili 200 kwahiyo kumfurusha madarakani ni rais...
  4. B

    January Makamba kuitwa Rais ajaye na ukaribu wa familia yake na Mange Kimambi kumemponza na kutumbuliwa nafasi yake ya Waziri wa Mambo ya Nje

    Kuna uwezekano mkubwa rais Samia Suluhu Hassan ametengua iteuzi wa January Makamba kwenye nafasi ya waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki kutokana na kuitwa rais ajaye na mashabiki zake wa kusiasa hasa kwenye mitandao yake ya kijamii Pia mahusiano ya dada yake Mwamvita...
  5. Wanaharakati wa haki za binadamu na ukimya wa matusi dhidi ya viongozi

    Kwa uzoefu wangu viongozi wengi ni watu waliopitia mateso makali nyakati za utotoni.yaani ukifuatilia utakuta waliwahi kunyanyaswa na wazazi au walezi kwa namna flani lakini kwa baraka za Mungu waliweza kuvumilia mateso hayo na hatimaye wakaibuka kuwa wasemaji na watetezi wa hali zisizo na usawa...
  6. Jokate Mwegelo ateuliwa na CCM kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)

    Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya Taifa, iliyokutana katika kikao chake maalum, leo tarehe 1 Oktoba, 2023, jijini Dar es Salaam, imefanya uteuzi wa makatibu wakuu wa Jumuiya za Umoja wa Wanawake (UWT) na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM). Katika kikao...
  7. Jinsi ya kujitoa Mange Kimambi app

    Wakuu za asubuhi Nimejaribu bila mafanikio kujitoa kwenye hii app. Nimewasiliana na wao sipati msaada. Hawana majibu. Benki niliyojisajilia wanasema solution ni.kubadili kadi ya benki. Hivi kweli hadi nibadili kadi? Kila mwezi nakatwa tsh 2300/- automatically. Sijui nilifanyaje. Nikitaka kufuta...
  8. Watoto wa Lemutuz walikataa kumsamehe baba yao...

    Ukiangalia maisha ya le mutuz aliisha vile alivyotaka yeye aliishi kwa kuipa furaha ya moyo wake kwa gharama yeyote Jamaa alikuwa na nyumba nzuri tu Tabata lakini kamwe alikataa kukaa nje ya mji hata mimi ashampoo ni moja ya wadau ambao napenda kukaa Posta Jamaaa alikuwa na marafiki wengi...
  9. Mange Kimambi anaweza kushtakiwa kwa kosa la kuvunja haki za binadamu ikiwemo udhalilishaji

    Mange Kimambi anaweza kuishtakiwa kwa kuvunja haki za binadamu ikwemo udhalilishaji, ndio maana Instagram waliondoa account yake kwa kosa la kudhalilisha binadamu. Biashara ya kuuza video mtandaoni ni ngumu kwasababu Watumiaji wanaweza kuvujisha kwa kutumia simu nyingine kurekodi video hiyo...
  10. Makampuni ya simu na TCRA +BOT wanashindwa kuzuia malipo yanayoenda kwa akaunti za Mange Kimambi? Zinafadhili uhalifu

    Hizi Hela zinatoka katika akaunti za mpesa/tigo/halotel/Airtel. Watu hulipia Application ya Mange kutokea makampuni hayo, kwa wingi. Watanzania wengi hawana ujanja wa kutumia Mastercard and the like, ni ku-highlight destination ya Hela inakotumwa na kuingiza mfumo wa ku-block transaction...
  11. Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

    Nauliza huyu Mwanamama anayeitwa Mange Kimambi ameshindwa kabisa kudhibitiwa kwa Tabia zake za Kutukana, Kudhalilisha, Kuumiza na hata Kuharibu Maisha ya Watu?? Tangu aanze haya Mambo ya Kutukana Watu ni Zamani sana kuanzia kwenye Blog yake, akaenda Instagram akaitukana sana Serikali...
  12. M

    TCRA Wafungie API za malipo ya Selcom kwenye app ya Mange Kimambi

    Tunawapongeza TCRA kwa kuifungia app ya Mange Kimambi, kwa TZ mpaka uwe na VPN ndo unaipata. Lakini Hilo halitoshi kwani Bado anaendelea kuwachangisha Watanzania kupitia Selcom. Yaan watu wanalipia upumbavu na ikiukwaji wa maadili kwenye app yake. TCRA tunajua mna uwezo wa kumwambia Selcom...
  13. Watendaji wa Mange Kimambi App wapandishwa kizimbani Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu

    Mkurugenzi wa Mtandao wa Kijamii wa U turn Collection, Allen Mhina (31) na wenzake wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu mashtaka matatu yakiwemo ya kuchapisha maudhui yanayokiuka haki na uhuru wa mtu mwingine na kumfedhesha mtu kwa njia ya mtandao (cyber Bullying)...
  14. Account za Benki za Mange Kimambi zazuiliwa

    Anaandika Mange Kimambi kupitia ukurasa wake wa Instagram PART 1. Chama changu pendwa, chama bora hakijapata tokea tangu dunia iumbwe. Naomba mnisaidie kwenye hii vita polisi waliyonayo na mimi. Nimeona niwaombe msaada huku kwa social media maana sina namba zenu za kuwapata, otherwise...
  15. App za Mange Kimambi na Yerricko Nyerere zinawezaje kuvuka vikwazo vya google?

    Google wanataka kama una app inayofanya in app purchases, kama kulipia subscription au digital goods zingine basi ni lazima kulipa kulipia kwa google play billing system. Walitoa deadline mwezi wa 9 2021. Hawaruhusu malipo kufanyika nje ya app. Kwenye huu mfumo wao wanakata 30% Huu mfumo siyo...
  16. Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa

    Ofisi za Mange zilizopo Kinondoni jijini Dar zimevamiwa na wafanyakazi wake kukamatwa. Kweli kujipendekeza hakulipi. Niliumia sana kuona anamdhalilisha prof J. Hivyo hii ni furaha kwangu. Prof Jay Mungu aendelee kukupigania. ======== Mange kaandika: Yes, mlichosikia ni kweli kabisa. ofisi...
  17. Hospitali ya Taifa Muhimbili yafafanua kuhusu video ya Joseph Haule (Profesa J) iliyosambazwa mitandaoni

    Baada ya Video kusambaa mitandaoni ikimuonesha Joseph Haule (Profesa J) akiwa anapambania maisha yake kwenye Chumba cha Wagonjwa ambao wanapewa Uangalizi Maalumu(ICU), Hospitali ya Muhimbili imedai kumtafuta aliyerekodi Video hiyo. Pia soma; 1). Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge...
  18. Wito: Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge mstaafu Prof Jay akiwa ICU wachukuliwe hatua

    Hiki kitendo kimefanyika si Cha kiungwana hata kidogo na kimefanywa na watu ambao huwezi kutegemea. Inadaiwa kuwa madaktari na wauuguzi waliokua ICU wakimhudumia Prof J wamechukua video na kwenda kumuuzia yule dada ili aisambaze mtandaoni. Sio uungwana hata kidogo. Serikali kupitia hiyo video...
  19. Je, marehemu Dr. Malecela alikuwa na mahusiano gani na Mange Kimambi?

    Wakuu habari za muda huu. Wakati wa nyuma kipindi cha hayati John Pombe, kulikua na vichwa viwili vilivyokua havikosi kuleteana maneno ya hapa na pale kwenye Instagram, yupo aliyempigania hayati na mwingine anaponda utawala wa hayati. Yupo Mange kimambi na mwenzake Le mutuzi mobimba, hawa watu...
  20. Mange Kimambi: Paula Kajala hajaenda Uturuki kusoma, anafanya kazi Airbnb

    Bongo nyoso kweliiii. Hawa ndio mastaa wetu ambao tunasema ni vioo vya jamii. Lakini their life is fake to the ground...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…