Huyu slay queen akikataa kunyoa kipara itabidi niyamwage manyanga
Nilizoea kienyeji wangu. Budget yake kusuka ni Tsh. 5,000 kwa wiki
Nimekutana na nguchiro mmoja, after every two weeks anataka 120,000 ya kusuka na 45,000 ya kucha. Hapo achilia mbali gharama zingine kama outings, mavazi...