mengi

Mengi is a common masculine Turkish given name. It means "eternal", "without a beginning", "having no beginning". It is an Oghuz accented version of Mengü which is also a Turkish given name. Compared to Mengü, Mengi has an additional meaning: "happy".

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Yale mahojiano yake na 'The Chanzo' yameondoka naye? Inaonekana alikuwa anajua mengi

    Kaka mtu ameondoka bila kujua hatima ya mdogo wake.
  2. JamiiForums Tanzania Leo nimesoma kitabu cha plato nimeogopa sana!,kumbe mengi ni marudio ya kale!

    Nimeshtuka sana philosophy za miaka ya kale ku exist mpaka miaka hii, HAKIKA DUNIA NI YA ZAMANI SANA NA SISI WOTE HATUNA CHETU TUNAJIMWAMBAFAI BURE KABISA!
  3. JamiiForums Tanzania Hii nchi imepitia mengi sana, kuna wakati wasabato walivamia airport ili wapande ndege bure ili wakaende kuhubiri kwenye mataifa ya nje

    This was 2008.
  4. JamiiForums Tanzania Hii ndo hali halisi za mahusiano mengi ya kindoa siku hizi

    NDOA IMEBAKIA TU KAMA TITLE NA SIO KITU KILICHO SACRED
  5. JamiiForums Tanzania Yale Magari Sir. W. Chivayo alikua anagawa, mengi yao hayajalipiwa. Dealers wameanza kuyadai.

    Janja Janja tu. Magari hayajalipiwa, hakuna kwenye logbook/kadi ya kumiliki. Kwahiyo case inaendelea. Wicknell Chivayo's 15 Unpaid Car Gifts Await Estate Settlement, Dealer Says - Tuko.co.ke
  6. JamiiForums Tanzania Matatizo mengi ya mahusiano(na jamii) chanzo ni wanawake.

    Unajua moja ya kitu ambacho wanawake wengi hujizima data ni vile hawajui kuwa wanaume tuna hustle na kutafuta maisha kwa ajili yao. Wanawake, ni moja kati ya viumbe vilivyo pendelewa sana. Ukitoa kazi ya kuzaa hawana kazi kubwa kama wanaume. Wao ni kupokea na si kutoa. Kinacho haribu...
  7. JamiiForums Tanzania Mahakama yavunja ndoa kisa mke ana maji mengi

    Mahakama ya Chelstone (Chelstone local Court ) jijini Lusaka, Zambia, imevunja ndoa ya Trevor Banda mwenye umri wa miaka 36 na Loveness Mukwato mwenye umri wa miaka 27 baada ya wanandoa hao kushutumiana kwa uzinzi na kushindwa kuelewana katika ndoa yao. Katika kesi hiyo, Loveness aliiomba...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna watu tumepitia mengi ila hautonekani hivyo

    Nilisha wahi kuwaza kutoweka Kuna kipindi hata kuiona kesho ilikuwa jambo la kheri, maana nilitamani nikienda kulala nisiamke kabisa. Nikiona watu wanaishi as if hakuna shida nawaonea huruma na kuwaombea asije pitia niliyo ya pitia maana wasingeweza kutoka. Kuna watu wana tembea ila huwezi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Jude Ruwa'ichi: Nchi yetu sasa hivi haisimami kwenye misingi ya uadilifu. Katika mengi tunaenda ovyo

    "Nchi yetu sasa hivi haisimami kwenye misingi ya uadilifu. Katika mengi tunaenda ovyo. Ubinafsi umeshamiri, ufujaji umeshamiri. Na karibu misingi yote ya maadili hakuna anayeihangaikia tena. Ni kweli kanisa linatambua kwamba tunapaswa kutembea katika misingi ya uadilifu na kanisa linahubiri na...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini TAG makanisa yao mengi ni ya mabati mabati ova wanajitafuta wakati ni moja ya taasisi kongwe?

    Ni kwamba kila kanisa lijijenge kwa mfuko Binafsi au Hakuna mfuko wa pamoja kama taasisi nyingine za kidini? Naomba kuelekezwa taratibu
  11. JamiiForums Tanzania Nikilitafakari taifa la Palestine, najiuliza maswali mengi sana kuhusu Mungu na uweza wake. Je, ni Mungu mwenye chuki au ni Mungu wa upendo?

    Sijui Palestinians walimkosea nini Mungu hadi aruhusu wakutwe na wapatwe na yanayopitia. Sauli aliambiwa awauwe Wapalestina wote na mali zao zote na vitu vyao vizuri vyote, Sauli akabakiza wanyama wanono na wanawake wazuri. Mungu akakasirika sana akamfuta kazi Sauli na kumpa ufalme Daudi. Je...
  12. JamiiForums Tanzania Mzee Reginald Mengi ndiye aliyebuni neno Mafisadi Papa

    Kwenye kitabu chake "I Can, I Must, I Will" sura ya 11 "Mafisadi Papa na Mimi". Reginald Mengi ndiye aliyebuni neno "Mafisadi" lenyewe na anaeleza jinsi alivyowaita hivyo na jinsi alivyopigwa vita. Mengi anaandika 2006 gazeti lake la Alasiri na The Citizen lilifanya uchunguzi likagundua kampuni...
  13. JamiiForums Tanzania Mwisho wa maisha ya tajiri Reginald Mengi ulianzia hapa kwenye kufuatilia na kuwataja mafisadi papa?

    Angalizo: Zingatia alama ya kuuliza. Ndugu msomaji usitoe hukumu na kuwachafua watu. Hili ni swali siyo tamko (declaration). Anaandika mdau wa kuitwa Diplomacy Arena: Kwenye kitabu chake "I Can, I Must, I Will" sura ya 11 "Mafisadi Papa na Mimi". Reginald Mengi ndiye aliyebuni neno "Mafisadi"...
  14. JamiiForums Tanzania Katika Awamu ya 6, Sekta ya Ujenzi kwa makampuni ya wazawa imehujumiwa sana. Makampuni mengi yanaelekea kufa

    Sekta ya Ujenzi ndio inaajiri watu wengi sana katika uchumi, kutoka waliosoma hadi kwa vibarua na kinamama Lishe. Sekta hii kwa sasa ina thamani ya Trilioni 6 katika uchumi wa nchi, ikiwa ni 13% ya uzalishaji wote nchini(GDP). Cha kusikitisha katika miaka ya karibuni, sekta hii haina usimamizi...
  15. JamiiForums Tanzania Makosa ya Ujana ni mengi lakini baadhi ya makosa huacha makovu ya maisha

    Naomba tujadili jambo hili kama jamii, wazazi na vijana wenyewe. Ujana ni kipindi cha kujifunza, kufanya maamuzi, kujitafuta na kujenga msingi wa maisha ya baadaye. Ni kweli kwamba hakuna binadamu asiye na makosa, lakini si kila kosa linapaswa kufanywa kwa kisingizio cha ujana. Baadhi ya...
  16. JamiiForums Tanzania Dunia Ina mengi yasioeleweka.

    Wakuja town wanatafuta kazi badala ya kutafuta PESA. Hawajui kupata kazi ni kazi sana kuliko kupata pesa. Wengi hapa mjini wana pesa ndefu lakini hawana kazi/ajira SHTUKA.
  17. JamiiForums Tanzania Miaka michache ya utawala JPM ni wazi sheria mbovu na maovu mengi ni ruhusa yake.Je tungekuwa naye mpaka leo.

    Ukweli mchungu ila tutafute chanzo cha haya yote. Utawala wa JPM kulipitishwa sheria mbovu kupita kiasi hata huko ulipo pole pole,nchimbu,ndungai,tulia na CCM zina watafuna wenyewe. Hii ya kushinda asilimia zote kila ngazi ni nyie mlianza kwa JPM. bunge kuwa FM academia limianza kwa JPM...
  18. JamiiForums Tanzania Kizazi kilichopoteza chimbuko ndo chanzo cha matatizo mengi

    Kumekuwa na wimbi kubwa sana la atheist nyakati hizi za kukuwa kwa technogy. Yaani wanaishi kwa Mitongozo ya screens and mashines Ila wa nasahau kuwa wazee wa zamani walijua kuwa mwanadamu hawezi ku replicate nature, nature ina rhythm maridhawa na inajua kuishi kama wewe unavyo pumua nayo...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Millennials wengi walipuuza wazee, enzi za ujana walioa Hardcopy kuzidi Softcopy. Leo, wengi wanajutia, Gen Z, msirudie history ya millenials.

    Kwa wakati wa Millennials wakiwa vijana, ilikuwa ni enzi ya taiti, vitop, mini na vivazi vilivyoacha Hardcopy ikionekana wazi. Wengi walipagawa. Hata muziki ukabadilika nyimbo zikaanza kusifia mashepu, makalio, mapaja na uzuri uliokuwa ukionekana kila kona. Millennials wengi wakaingia kwenye...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kweka kumpiga risasi mkewe ni kielelezo cha wanaume kupitia mengi yasiyojulikana

    NInapotafakari kisa cha Kweka kumpiga risasi mke wake na kujipeleka polisi huku akijua kinacho mkabili, najaribu kuvaa viatu vyake nahitimisna kuwa huyu bwana atakuwa amepitia mengi kwenye ndoa yao. Bahati mbaya jamii hulalia upande wa mwanamke maana kwa kuwa wanaume wapo masculine jamii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…