Kampuni ya META kupitia mtandao wao wa WhatsApp, wameanza operation maalum ya kuzipiga Ban number zote zilizosajiliwa kwenye WhatsApp GB.
Mwanzoni kampuni ya WhatsApp ilikuwa inawapiga Ban watumiaji wa GB WHATSAPP kwa muda wa saa moja au zaidi, lakini bado watu wengi hawakuona umuhimu wa...