Makonda ulinusurika kufanywa kama Sabaya, wazee wa korido au viambaza walikulinda kwa maelekezo ya Hangaya.
Wajuzi wa mambo wakaenda mbali zaidi wakasema Hangaya alikupenda japo ulitoka familia ya jiwe,wengine wakasema Makonda hujawahi mchafua Hangaya akiwa makamu wa ofisi za Magigoni...