Hello!
Matumaini yangu hamjambo kabisa.
Naombeni kujua mimi ni mtu aina gani, (Sanguine, Introvert, sigma, alpha n.k) maana nashindwa kujitambua.
Ni kijana wa miaka 24, nina sifa zifuatazi ambazo zinanifanya nishindwe kujitambua maana zinanichanganya;
Ni muongeaji sana pale ninapokua na watu...