Thinking being, hebu jiheshimu, be noble
Ni vipi unaweza kujifikiri na ukawa yule unayefikiri kuwa?!
Nafikiri mimi ni mtu wa watu, mcheshi, sina makuu, sifa zote za kikristo nipe mimi niliye ndani ya huu mwili, na ninakuwa ninachofikiri kuwa, is it even necessary for the subject to exercise...