misaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Tanzania Kinara wa Kupokea hela za msaada kutoka USAID Afrika nzima. Yasemekana tutaathirika sana

    Kisiwa chetu cha Amani chenye Rasilimali nyingi kinapokea misaada ya mabeberu na Mabepari takribani Milioni 512 Kila Mwaka. Imeelezwa. Gazeti la Euronews limetaja kuwa Tanzania itakuwa ni miongoni mwa nchi zitakazo athirika kutokana na Hatua ya Donald Trump na Elon Musk kusitisha misaada hiyo...
  2. Siasa za misaada ya Wahisani na Madeni, Je, Nchi Zinazoendelea Zinaweza Kufikia Uhuru wa Kiuchumi?

    👉🏾Nchi zinazoendelea zimekuwa zikitegemea misaada ya wahisani ili kugharamia maendeleo katika sekta mbalimbali, lakini misaada hii mara nyingi inakuja na mzigo wa madeni. Madeni haya yanaweza kudhoofisha uchumi na kuzuia maendeleo ya kudumu, huku mataifa haya yakikosa uhuru wa kiuchumi. source...
  3. Elon Musk amesema USAID ni Shirika la kihalifu, linapaswa kufa

    Mmiliki wa kampuni ya teknolojia, Elon Musk ametangaza kuwa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani (USAID) linapaswa kufa kwakuwa ni shirika la kihalifu. Musk, ambaye aliteuliwa na Rais wa Marekani, Donald Trump kuongoza Idara ya Ufanisi wa Serikali (DOGE), ametoa kauli hiyo baada ya...
  4. Kwa nchi zinazotegemea misaada hali inazidi kuwa ngumu, Elon Musk aanzisha mpango wa kuiua USAID

    Elon Musk ameanza kutekeleza mpango wa kuliua Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID). Amesema anaamini USAID ni "shirika la kihalifu" ambalo linapaswa "kufa." Kupitia mtandao wa X Musk alisema “USAID ni shirika la uhalifu. Ni wakati wa kufa” Hii ni baada ya taarifa iliyosema...
  5. T

    Ujumbe kwa wizara ya Afya-Sitisho la misaada ya Marekani lazua Taharuki

    Wiki hii taarifa kutoka shirika la misaada la USAid kwenda kwa Taasisi mbalimbali ikiwemo Taasisi ya Benjamin Mkapa juu ya kusitisha ufadhili wa miradi inayohudumia waathirika wa ugonjwa wa UKIMWI na Magonjwa ya kuambukiza ikiwemo TB limeleta taharuki hasa kwa wagonjwa wanaohudumiwa na mradi huu...
  6. Uhuru Kenyatta: Nimeona watu wanalia lia baada ya Trump kusitisha misaada. Mnalia nini na hela sio zenu?

    Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta ameonya viongozi wa Afrika dhidi ya kutegemea sana misaada ya kigeni kufuatia uamuzi wa Rais wa Marekani, Donald Trump, wa kusitisha msaada wa shirikisho duniani kote. Akizungumza wakati wa Mkutano wa Usalama wa Afya wa Kanda ya Afrika Mashariki 2025...
  7. Nilikuwa mfuasi wa Trump Kwa Muda Mrefu sana Ila Kwa Hili la Kusitisha Misaada na Ruzuku upande wa Afya Sikubaliani nalo, amekosea sana

    Siku ya Januari 20, 2025, Rais wa Marekani Donald Trump alisaini agizo la rais (executive order) lililosimamisha kwa muda wa siku 90 utoaji wa misaada nje ya Nchi, ikiwemo programu muhimu za afya kama Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kupambana na UKIMWI. "President's Emergency Plan for...
  8. Kumbe mlikuaga mnakula misaada ya Marekani alafu mkija humu JF mnawaita mashetani mara sijui firauni, etc 😂

    https://youtu.be/ShzDBSbPbm4?si=F3MM9-KNiFf54Oqm
  9. K

    Kwa USA: Ni ujinga kutoa misaada halafu tunapelekea pesa China, waarabu, Urusi na Uturuki

    Mange yupo sawa kwa hili https://youtu.be/wMER57zVsfg?si=ZIhQ0ZUpmoGYodnJ Miradi ya treni yote na barabara badala ya kutoa kwa kampuni za Tanzania badala yake wanatoa kwa China
  10. ACT WAZALENDO Kuhusu Kusitishwa kwa Misaada ya Afya na Serikali ya Marekani

    ACT Wazalendo imeguswa na uamuzi wa Serikali ya Marekani kusitisha kwa muda kwa mikopo na ruzuku za kusaidia huduma za afya duniani, hatua inayoweza kuathiri mamilioni ya Watanzania waliowekwa kwenye utegemezi wa huduma za afya zinazofadhiliwa na mashirika ya nje. Tanzania, kama moja ya...
  11. Kiongozi anasimama mbele ya umma na kujisifia kukopa! Haya ndiyo matokeo baada ya USA kusitisha misaada

    Viongozi wengi wazalendo wa kweli waliopita walisisitiza juu ya Afrika kujitegemea na kuacha kutegemea mataifa ya magharibi. J.K Nyerere, Kwame Nkrumah, Thomas Sankara, John Magufuli na viongozi wengi mashuhuri waliweka msisitizo juu ya Afrika kutumia rasilimali zetu wenyewe kama vile ardhi...
  12. Donald Trump ni Rafiki wa kweli wa Afrika, wajinga na wanufaika wa misaada pekee watalaumu maamuzi yake

    Je sisi ni raia wa Marekani ? Je tunalipa kodi au tozo Marekani? Je tunawafanyia nini cha Maana Marekani tustahili misaada ? Kwa Nchi za Afrika hasa Tanzania mna Madini ya aina mbali mbali ,Ardhi ,Bahari ,Maziwa na mito , vivutio vya kitalii ni ujinga kulilia misaada. Nadhani Africa tumepewa...
  13. W

    Marekani kasimamisha michango mashirika ya afya kwanini nchi nyingi zinalaumu, kwanini nchi nyingi zinazonufaika na misaada zinakwepa michango ?

    Marekani inachangia kila mwaka dola milioni 500 (shilingi Trilioni 1.2) kwenye shirika la afya duniani. mataifa mengine yana watu wengi zaidi mfano China, ina watu zaidi ya bilioni 1 inachangia Dola milioni 20 (shilingi bilioni 50) . Marekani baada ya kuona pesa zao zinafujwa, Trump kaamua...
  14. USAID yatangaza kusitisha misaada nje ya nchi

    Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) limetangaza kusitisha utoaji wa fedha mpya na usambazaji wa fedha chini ya makubaliano ya malengo ya maendeleo (DOAGs) hadi uhakiki wa programu za msaada wa nje zinazofadhiliwa na USAID utakapokamilika. Wakati mchakato wa kuhakikisha msaada...
  15. Pre GE2025 Hizi ndizo zawadi, misaada na michango iliyotolewa na Rais Samia tangu aingie Ikulu. Ni maandalizi ya Urais 2025?

    Tangu Rais Samia alipopokea kijiti cha uongozi wa nchi mwaka 2021, amesifiwa na baadhi ya Watanzania kama Mama mwenye moyo wa ukarimu, hususan katika kujitoa kwa hali na mali pale anapodhani anaweza kusaidia kwa kutumia fedha ili kuhakikisha mambo fulani yanaenda vizuri. Wanaona kuwa huu ni...
  16. Je Yanga tumeacha utamaduni wetu wa kutoa misaada siku za mechi?

    Ni kama mechi kadhaa sasa sijaona ule utamaduni wetu wa kutoa misaada kwenye vituo mbalimbali vya wahitaji. Je inaweza kuwa sababu ya matokeo mabaya tunayopata?
  17. LGE2024 Kwa takwimu hizi siasa ya vyama vingi ni mbinu tu ya kuombea misaada toka kwa wafadhili

    Uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 ENEO LA UCHAGUZI IDADI CCM UPINZANI WOTE CCM PEKEE MITAA 4,265 4,265 3,256 1,009 VIJIJI 12,274 12,274 5,879 6,395 VITONGOJI 63,863 63,863 20,000 43,863 80,402 80,402 29,135 51,267
  18. Waafrika wanaoshangilia ushindi wa Trump kwa sababu ya misaada kupunguzwa ni wavivu wa kufikiri.

    Kuna kundi kubwa la Waafrika waliofurahia na kushangilia sana ushindi wa Trump, kila nikisikia au nikisoma sababu wanazozitoa kumuhusudu Trump naona kama mfumo wao wa umeme kichwani una hitilafu, Tuangalie hoja moja ya kupunguzwa msaada na utegemezi wetu kwa mfano Wale wanaosema misaada ya US...
  19. Wamarekani ni wanafiki, waliinyima Uganda misaada kukataa ushoga wakati nao hawaupendi

    Hakuna vitu vilimuangusha mgombea wa chama cha Democrat Kamala Harris kama kutetea ushoga na kuhusishwa na uhuria wa mipaka iliyoruhusu wakimbizi kuingia Marekani akiwa makama wa rais wa Joe Biden aliyeonyesha ukigeugeu na unafiki juu ya haki za binadamu hasa wapalestina. Harris alijifanya...
  20. Mwaka 2022, Nchi 10 tu Afrika ikiwemo Tanzania zilipokea 46.4% ya Misaada yote ya Maendeleo kutoka nchi 24 za nje

    Ripoti ya Taasisi ya Mo Ibrahim Foundation (MIF) imeonesha kwa kipindi cha mwaka 2022, nchi 10 tu za Afrika zilipokea karibu nusu ya Misaada yote ya Kimaendeleo kutoka kwa Wafadhili wa Nje iliyokadiriwa kufikia zaidi ya Tsh. Trilioni 103.34. Aidha, kwa mujibu wa takwimu za Shirika la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…