mkoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aanza Kutandika Lami Ya Njia Nne Mkoa wa Mbeya Kwa Kasi ya Ndege Vita. CHADEMA Washinda Barabarani wakijipiga Picha Utafikiri Wahitimu

    Ndugu zangu Watanzania, Pesa Za Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia,Nyota ya Matumaini na nuru ya Wanyonge. Anaendelea kubadilisha sura na muonekano wa jiji la Mbeya Kwa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Walimu wa Shule ya Sekondari Kazole wanaelezwa kutaka TZS 1,000 ili kusaini clearance form za Wanafunzi

    Kwa: Mamlaka Husika (TAKUKURU, TAMISEMI na Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga) Ninaomba mamlaka husika ifuatilie na kuchunguza malalamiko kuhusu Shule ya Sekondari Kazole, iliyopo mkoani Pwani, Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga. Kwa mujibu wa malalamiko haya...
  3. JamiiForums Tanzania Vijana wa Arusha ni wajanja sana wakiwa kwao ila wakitoka nje ya mkoa wao wanakua kama kondoo

    hawa vijana ukiwakuta kwao ni wajanja wajanja sana na ubabe mwingi ila ukikutana nao sehemu tofauti na asili yao ni underdogs wa kutupwa aisee. ukikutana nao shule au chuo hata mtaani unakuta wana kampani ya peke yao full kufuatana kama kumbikumbi. nyie machalii hasa wameru na nyie mnaojiita...
  4. JamiiForums Tanzania Ndoto yangu ni kuiona wilaya ya Masasi inakuwa mkoa kamili

    Wanajf habarini.. Ni sakata ama vugu vugu la muda mrefu kidogo... ni lini wilaya ya Masasi mkoaani Mtwara itakuwa mkoa kamili unaojitegemea? litakuwa jambo zuri mno na la kimkakati. naomba hilo lifanyike haraka. Masasi ni mji unaokua sana, mara ya mwisho niliongea na viongozi kadhaa wa...
  5. JamiiForums Tanzania Naomba ABC za mkoa wa Kigoma, nimepangwa ajira mpya huko

    Habari za leo wakuu? Ebana nimepangwa mkoa wa Kigoma ajira mpya, mwajiri ni National Audit Office of Tanzania. Naomba kupata ABC za huo mkoa wa Kigoma kwa ujumla, kuanzia hali ya hewa ya mkoa, nature ya watu wa huko, totoz kama zipo, vyakula, hali ya maisha kwa ujumla etc. Asanteni
  6. JamiiForums Tanzania Mbeya ni mkoa ambao upo exploited na CCM

    Inawezekanaje mkoa unaochangia mapato makubwa kuliko Dodoma una miundombinu duni hivi? Ni important Region kwenye uchumi wa Tanzania lakini barabara zake ni mbovu sana hususani mitaani, hakuna barabara za lami Nilikuwa Dodoma, nimeona kuna sehemu ambazo hata hazipo busy zimewekewa njia nne...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Shkamoo mbeya mkuu wa mkoa asalimu amri baada ya mgomo na maandamano kupinga kuondolewa mjini kiholela!

    Baada ya vuguvugu la takribani siku nne lililohusisha mgomo na maandamano ya madereva wa bajaji na wamachinga hatimae serikali imesalimu amri kwamba ilikurupuka kutoa amri ya kuhamisha watu bila kuwaandalia mazingira mbadala rafiki ya kufanyia kazi zao. Kutokana na shinikizo hilo serikali...
  8. JamiiForums Tanzania Hongera Mkuu wa Mkoa Mbeya: Bajaji zidhibitiwe Mbeya, ni kero kubwa

    Pamoja na mandhari isiyoridhisha katikati ya mkoa wa Mbeya, bajaji zimekuwa zinaonyesha uozo mkubwa zaidi kiutawala Jiji la Mbeya, kwa upande wa usafiri wa umma. Bajaji zimeonyesha lawlessness, zinakupita kulia na kushoto na kwa hakika ni kero kubwa. Tukumbuke, toka Uyole hadi Mafiati, na...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Mkoa Wa Dodoma Umebahatika Kutoa Viongozi Wakubwa Karibu Wote Kuanzia Makamu Wa Rais John Ndejembi ,Waziri Mkuu John Marecela na Spika Jobu Ndugai.

    Ndugu zangu Watanzania, Mkoa wa Dodoma ni Mkoa Pekee Ama Miongoni Mwa Mikoa Michache Sana Nchini Ambayo Imebahatika Kupata Bahati ya Kutoa Viongozi wakuu Wa nafasi ya pili na tatu pamoja na Katika Mhimili wa Bunge . Ambapo Katika Nafasi ya Umakamu wa Rais Imeweza Kumtoa na Kulipatia Taifa...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mbeya hali ni tete baada ya kuanza utekelezaji wa agizo la mkuu wa mkoa

    Nimeona mitandaoni na nikajaribu kuwapigia jamaa zangu waliopo mbeya ni kwamba kuna taharuki kubwa na kuna maandamano na migomo inafukuta kwa nguvu sana chini kwa chini kufuatia agizo la mkuu wa mkoa kuhusu hamisha hamisha ya machinga bajaji na bodaboda hasa maeneo ya mwanjelwa.
  11. U

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya mkuu wa mkoa Dar iboreshwe

    Salute. Naomba niende kwenye mada binafsi naishi Dar es salaam kiukweli OFISI ya mkuu wa mkoa Dar ningependekeza serikali ijaribu kuboreshea iendane na hadhi ya Jiji kiukweli ukipita pale ni aibu majengo ya kizamani ukiangalie na vile vigae hadhi inapungua ningeshauri mfanye jengo lenye...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Nataka Kufahamu Shule Bora kw watoto Mkoa w Dodoma

    Tunaamini kabisa hapa Jamii forum watu Wana taarifa za kutosha na sahihi zaidi, Sasa Kwa watoto kabla ya Primary chini ya miaka 6, je Kwa Mkoa wa Dodoma ipi ni Shule nzuri zaidi , tatu za juu, mana Naona Shule ni nyingi Sana sasa nashindwa kukupa ipi ni Bora. Kuna waday wametaja Dt.max, Almes...
  13. JamiiForums Tanzania Haya yanayofanyika Rufiji, ni maandalizi ya Mkoa wa Rufiji!?

    Kumekuwa na ujengaji mkubwa na wa kasi wa miundombinu kwenye wilaya ya Rufiji. Madaraja, barabara, majengo ya ghorofa vinajengwa kwa kasi kubwa sana. Nimekutana na wana Rufiji ambao katika kuwadodosa, wameonyeshaa kuelewa kuwa kuna mpango na jitihada kubwa wa kuifanya Rufiji kuwa Mkoa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Pwani kakosea kutaka waziri aombe radhi, kilichosemwa na waziri kilihusu watu sio jumuiya.

    Siku zote Kuna tofauti kubwa kati ya mtu ( binafsi) na taasisi au jumuiya katika jicho la kisheria licha ya kwamba Taasisi au jumuiya zinaongozwa na watu. Katika mazingira hayo, Taasisi inatenganishwa na watu moja kwa moja. Hili ndio naliona tatizo kwa UVCCM Mkoa wa Pwani kutaka kuhusianisha na...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi kuna mkoa unaongoza kwa wizi wa kusafisha Nyumba nzima kama Mbeya?

    Nimeishi mikoa zaidi ya 8 hapa Bongo ila hakuna mkoa ulijua kuninyoosha kama Mbeya. Nakumbuka mara yangu ya kwanza kabisa kufika 2018 iyo nilikaa Lodge kama wiki hivi nikitafuta Chumba cha kuishi nikabahatika kupata maeneo ya Checkpoint-Forest ya Zamani huwezi amini baada ya wiki tu nikaibiwa...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna watu hapa Tanzania ukiwaona tu unatambua ni kabila gani au watu wa mkoa gani .

    1. Wamakonde ukiona vichwa vya mviringo unajua tu huyu ni mmakonde 2.Mchaga macho makubwa, vichwa vikubwa na miguu myembamba unafamu huyu ni mangi . 3.Mhaya sura ngumu ya kutisha na imekomaa unafahamu huyu ni kyoma. 4.Muiraq/mmburu weupe mkali miguu myembamba na pua mchongoko hapo unajua maji...
  17. JamiiForums Tanzania Bw.anatendea haki ulezi wa mkoa wa mwanza.

    Mheshimiwa Makonda anakagua miradi Mkoa wa Mwanza wala isikupe tabu ni kwakuwa muundo wa Serikali wana kitu kinaitwa Mlezi wa Mkoa kiserikali ambapo Paul Makonda ni Mlezi wa mkoa wa Mwanza kiserikali. Hii sio mara ya kwanza Mawaziri kukagua miradi mikoani ambapo mfano Juma Aweso (Waziri wa...
  18. JamiiForums Tanzania Huyu Chalamila, Mkuu wa Mkoa DSM, akapimwe!

    Mapepo si mapepo! Siyo bure, akapimwe!
  19. JamiiForums Tanzania Nashindwa kuelewa viongozi wote znz na sio tanganyika mpaka mkuu wa mkoa.

    Ni kwamba nchi imefikia kujipendekeza hata kesho raisi hakitokea malawi mtaenda kushinda huko na kuendesha mambo ya nchi huko.
  20. M

    JamiiForums Tanzania 50m mtaji kwenda china au nifungue biashara Gani dar au mkoa wowote?

    Habar wakuu nafanya biashara ya duka la vyakula la jumla Sasa mtaji umepungua kulingana na ushindani mkali sana na biashara haitoki kama mwanzo,nafikiria biashara either kwenda china au biashara nyingine yoyote mkoa wowote wakuu nipeni mawazo yenu nitoboe
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…