Umeongea kwa mamlaka dhidi ya wafanyabiashara, na umenikuna sana kiongozi. Umeonyesha ujasiri mkubwa kwa wananchi unaowaongoza Dar es Salaam. Umenigusa sana pale uliposema kama nchi inapeleka jeshi kupigana Congo, vipi ishindwe kulinda Kariakoo.
Dawa yao hao wafanyabiashara wanaotumwa na...
Katika kuhamasisha utalii na kuitangaza nchi yetu na miji yetu, mnaonaje serekali ingeweka mpango mkakati katika baadhi ya miji kuiandaa kuwa nembo ambayo kila mtu atakapofika kwenye miji hiyo asiache kuondoka na kumbukumbu nzuri ya kwenda kuelezea.
Mji utakaokuwa ni kielelezo cha:-
1.historia...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ,ninaomba kazi ya udereva,mkoa wa Ruvuma kwenye mashirika binafsi.Nina vigezo na uzoefu wa kazi wa miaka mitano, nawasilisha nakala hii kwenu kwaajili ya kupata fursa,Asante na Mungu awabariki.
Kama mkuu wa mkoa au wilaya anataka kuwakamata makahaba na kuweza kuwapeleka mahakamani haya makundi inaweza kuwa rahisi zaidi kwake na akaeleweka angalau kidogo.
1. Makahaba waliopewa na kutoa kazi baada ya ngono. Ukahaba wa aina hii ni rahisi zaidi kwa sababu anaweza kupata uthbitisho wa...
Naomba kujua experience yako kwenye vitu vya kula kula me nilionaga dodoma labda ndo ardhi yake Safi Sana kuanzia karanga na Nyanya na Viazi na mboga za majani za dodoma ni bora zaidi. Yaani viwe ambavyo vya asili kabisa sio vya Madawa Madawa mengi. Mkoa gani una hiyo ardhi sijafika bukoba...
Bado najiuliza Wakuu wala sipati jibu kabisa na linaniumiza Sana naombeni mnipe ufafanuzi kabisa shida nini? Ni mafundisho ya hiyo dini yao? Au dini yao ina kauongo Fulani?
Kuna mikoa Fulani yaani Kama mbeya kuchunana ngozi ni wao, Mauaji ya vikongwe ni shinyanga, na Mauaji ya maalbino lmaeneo...
Bado najiuliza Wakuu wala sipati jibu kabisa na linaniumiza Sana naombeni mnipe ufafanuzi kabisa shida nini? Ni mafundisho ya hiyo dini yao? Au dini yao ina kauongo Fulani?
Kuna mikoa Fulani yaani Kama mbeya kuchunana ngozi ni wao, Mauaji ya vikongwe ni shinyanga, na Mauaji ya maalbino lmaeneo...
Mbowe mwenyewe kasema chadema imelegea!
"Pamoja na mapungufu yote ambayo tutaelezana hapa, inawezekana tusiwe wepesi sana kutekeleza mipango ya mikakati mingi, lakini ukweli ni kwamba mageuzi ni nia ya watu wa Mkoa wa Kilimanjaro na tukizungumza nia ya mageuzi tunamzungumzia mzee Ndesamburo...
Haya Ndugu zangu wa Kizanaki ninaomba kuanzia sasa anzeni kuniandalia Kichuri, Pombe Jani na Totooz za maana.
ONYO
Ukijijua fika Wewe ni Mhaya kutoka Mkoa wa Kagera, Mrangi kutoka Wilayani Kondoa Mkoani Dodoma, Mnyaturu na Mnyiramba kutoka Mkoani Singida, Muha kutoka Mkoani Kigoma, Mkara...
Ndugu zangu Watanzania,
Mkuu wa mkoa wa Dar Mheshimiwa Albert Chalamila Amesema ya kuwa yeye binafsi alishaacha masuala ya ubabe kabisa.
Ameyasema maneno hayo mbele ya Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan katika kikao chake na maafisa habari...
Habari wadau,
Natarajia kulima mahindi katavi mpanda kama ekari 300 kwa wazoefu naweza pata boom sprayer inayoendeshwa na trekta kwa kukodi. Na gharama zake zipoje
Huko Geita halmashauri Leo wanatarajia kuzika diwani wa tatu tangu waliopitishwa na JPM 2020.
Walipitishwa,bila demokrasia,kujali umri,afyana matokeo yake wengi wamefariki bila kufikisha udiwani wao mwisho.
Wengine ni wagonjwa, wengine ni wazee.
Hili tatizo limeenea nchi nzima kuzika madiwani...
Kwa wastani Watoto wanaozaliwa Mkoa wa Dar es Salaam kwa siku ni zaidi ya Watoto 430, ambapo kati ya hao, Watoto 86 sawa na asilimia 20 wanahitaji huduma mbalimbali za Watoto wachanga wenye matatizo mbalimbali.
Hayo yameelezwa Julai 13, 2024 na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dkt...
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvus Mrindoko amewataka wanunuzi wa zao la Pamba kuhakikisha wanalipa pesa za wakulima kwa wakati ili kuwafanya wakulima wa zao la pamba kutokata tamaa ya kulima zao hilo.
Mrindoko ameyasema hayo wakati akizindua msimu mpya wa mauzo ya zao la Pamba katika Kijiji cha...
Ndugu zangu Watanzania,
Napowaambia kuwa David Kafulila ni Chuma nakuwa namaanisha ni CHuma kwelikweli na Mzalendo wa dhati Wa Taifa letu,ambaye huwa hayumbi wala kuyumbishwa wala kutetereshwa wala kuogopa wala kupoozwa wala kuangalia ni nani anayepambana naye au aliye mbele yake.
Chuma David...
Siku ya Baiskeli Duniani huadhimishwa kila mwaka tarehe 3 Juni. Siku hii ilianzishwa na Umoja wa Mataifa ili kutambua na kuhamasisha matumizi ya baiskeli kama njia ya usafiri, burudani, na michezo. Lengo la Siku ya Baiskeli Duniani ni kuongeza uelewa kuhusu faida za kutumia baiskeli kwa mtu...
CDE. SILAF JUMBE MAUFI, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Rukwa ameanza ziara rasmi akiambatana na Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Rukwa itakayohusisha Mikutano ya ndani na Mikutano ya hadhara kuanzia tarehe 02 - 06 Juni, 2025.
Ziara inalenga kukutana na Wajumbe wa Halmashauri Kuu za Kata...
Wakuu, nimelala nikiwaza namna ya kupata CV niliyoutaja hapo juu.
Wengi tutajiuliza,ninaitafuta ya kazi Gani?
Niwe muwazi kuwa ubinafishwaji wa uwanja wa ndege wa Kilimanjaro ( KIA), ubini wake nimeuona unafanana na kile watanzania wengi wanachokiwaza.
Nikiipata,nitaweka wazi Kila kitu...
Tanzania ina utaratibu wa kutenga kiasi cha fedha kutoka kwenye mapato ya ndani ya halmashauri zote kwa ajili ya maendeleo ya vijana, wanawake na walemavu. Fedha hizo hutokana na asilimia 10% ya mapato ya ndani ya halmashauri, ambapo asilimia 4% hutengwa kwa vijana, asilimia 4% kwa wanawake na...