mkoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 CHADEMA Shinyanga watangaza kumuunga mkono Tundu Lissu kwenye Uchaguzi mkuu wa chama hicho

    Wakuu, Uchaguzi wa ndani ya CHADEMA umeendelea kupamba moto ======================================== Wajumbe wa mkutano mkuu wa taifa wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kutoka mkoa wa Shinyanga wamesema watamuunga mkono Tundu Lisu ambaye ametangaza kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa...
  2. Tulioumizwa viwanja Jiji & Kamishna Mkoa Dodoma 2024 tukutane hapa!

    Wife yupo Dodoma huko serikalini, nafanya shughuli zangu DSM, tangu enzi za magufuli kuhamisha watumishi nikasema ninunue viwanja kadhaa, ashukuriwe Mungu vingine nilijenga na nilipata wapangaji wazuri, in the process kujenga vingine nikaja gundua kumbe ni viwanja hewa, vina double allocation...
  3. A

    Kukosekana kwa jenerata jengo la dharula Hospitali ya mkoa wa Morogoro ni aibu

    Leo Usiku nilipata Dharura ya Kuuguliwa na Mke wangu majira ya saa 6 usiku ikabidi nimkimbize hospitali ya Nunge kisha hapo Tukapewa Rufaa kuelekea Hospitali Ya Mkoa wa Morogoro Baada ya Kuwepo kwa nusu saa kwenye Jengo la mapokezi na Dharura ambalo ni jipya na zuri umeme ukakatika, basi ndugu...
  4. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Kuzaga asheherekea Krismasi na watoto wenye Mahitaji Maalum

    Jamii yatakiwa kutimiza wajibu wake kuzuia ongezeko la watoto wanaoishi katika mazingira magumu Hayo yamezungumzwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Benjamin Kuzaga Desemba 25, 2024 alipotembelea Kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalum cha...
  5. Mkoa wa mbeya,haswa Jiji la Mbeya haujavutiwa na mradi wa Barabara

    Hali ya barabara za mkoa mzima wa Mbeya ,hali yake ni Mbaya!
  6. IjukaOmuka: Fatma Mwassa, asante kwa kuwakumbusha wana Kagera wakumbuke nyumbani, lakini ukurasa wa instagram wa mkoa hauna post tangu January 2024

    Nadhani Gerson Msigwa aanze kupima utendaji wa sektretariat za habari kwa kuangalia social media engagement. Na wakifanya hivyo, Makao Makuu ya Idara ya Habari (Maelezo) iwe inapewa taarifa Imagine. Ukurasa rasmi wa ofisi ya mkuu wa mkoa (Instagram page) hauna habari yoyote iliyowekwa tangu...
  7. TANZIA Katibu wa ccm mkoa wa Tanga, Seleman Sankwa afariki dunia leo tarehe 20 dec 2024

    Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Seleman Sankwa amefariki dunia leo Desemba 20, 2024 wakati akipatiwa matibabu katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es Salaam. Kifo cha Sankwa kimethibitishwa na Rajab Abdulrhaman, mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga, ambaye pia ni...
  8. A

    DOKEZO Mbeya Vijijini kata ya Iwiji umeme unakatika mara kwa mara, mafundi wakija kutengeneza wanadai malipo kutoka kwa wananchi

    Mkoa wa Mbeya, wilaya ya Mbeya Vijijini, kata ya Iwiji baadhi ya vitongoji tuna tuna umeme wa REA, ambao umekuwa kero kubwa kwetu kwani hukatika mara kwa mara. Muda mwingine hata ndani ya dakika 5 unaweza kata na kurudi mara mbili, bila kuambiwa chanzo ni nini. Pia inapotokea kuna shida...
  9. L

    Mwenyeketi wa CHADEMA Mkoa Asema walimpa Lissu Nafasi ya Kugombea Urais Kwa sababu Alikuwa anaweza kuropoka dhidi ya Hayati Magufuli Lakini hana uwezo

    Ndugu zangu Watanzania, CHADEMA wanaendelea kuvujisha siri za ndani kabisa. Bila shaka mpaka uchaguzi uishe kila kitu cha ndani na cha siri kitakuwa peupe kabisa . Sasa katika muendelezo wa kutoa siri za ndani juu ya uwezo mdogo wa kiuongozi alionao Lissu Mwenyekiti Wa CHADEMA ngazi ya Mkoa...
  10. Ushauri: kuanzisha mji wangu katika mkoa wa Mwanza

    Habari ndugu zangu, poleni na majukumu ya hapa na pale, naombeni ushauri wenu, kwa sasa nipo kwenye ili jiji la chalamila jua na mvua vyote ni vyangu. Katika tafakuri zangu za maisha nimepata wazo moja ambalo nahisi linaweza kunisaidia kwenye siku za usoni, nataka kuanzisha mji wangu mimi...
  11. Inakuaje mtu umehama kikazi kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine then urudishwe ulipotoka?

    Et wadau,kwann wasikatae kabla haujaondoka..vipi uliefanikiwa kuhama ukaambiwa urudi ulirudi au ilikuaje?
  12. S

    Fursa za kiuchumi za kukutoa kimaisha kwa mkoa wa Kigoma hasa Ujiji na Kigoma mjini

    Naomba kufahamishwa fursa za kiuchumi za mkoa wa Kigoma
  13. Taka zilizosambaa eneo la Kibaha Maili Moja Mkoa wa Pwani zaondolewa, usafi wafanyika

    Hali ilivyo Kibaha Maili Moja karibu na Kituo cha Maliasili ambapo taka zimeondolewa, pia chombo kinachotumika kuhifadhi taka kikiwa hakijajaa kama ilivyokuwa awali. Ikumbuke, Mdau wa JamiiForums.com alitoa ushauri kwa Uongozi wa Kibaha kuondoa uchafu uliokuwa umezagaa eneo hilo kiasi cha...
  14. Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Simiyu Shemsa Mohamed ashiriki harambee kanisa la KKKT na kuchangia milioni 33.2

    MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SIMIYU NDG. SHEMSA MOHAMED ASHIRIKI HARAMBEE KANISA LA KKKT NA KUCHANGIA MILIONI 33.2 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed, ameungana na waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) katika harambee ya kuchangia...
  15. Sababu za kwanini Chato haina hadhi ya kuwa Mkoa

    Zimeibuka agenda ati Chato inatakiwa ipandishwe hadhi kuwa Mkoa ili kuridhisha mizimu na kujitakasa kisiasa Kwa watu wa Kanda ya Ziwa Me natokea Kanda ziwa ila siungi mkono hii hoja ya Chato kuwa Mkoa 1. Utitiri wa Mikoa Chato itapana na Mikoa ya Geita, Shinyanga na Kagera, ambayo ina ukaribu...
  16. C

    Wale tuliokimbilia kununua viwanja Chato baada ya kuahidiwa mkoa je tuelekee utete kununua tena baada ya kuahidiwa kua mkoa?

    Wale hustlers Mnakumbuka baada ya tetesi Chato kua mkoa tulinunua viwanja vya beach bei Kali, Leo hii maeneo Yale yameshika hata wa kukupa milioni moja eneo la beach hayupo, Sasa na utete twende tukanunue au tupapotezee maana haya mambo huchanganya Sana Utete unakwenda kuzaa mkoa WA rufiji...
  17. RC wa Tanga: Kuna vijana 30,000 wako nyumbani wanalelewa na dada na mama zao. Walipoulizwa wamesema hawatafuti ajira

    Wakuu, Vijana wa Tanga mna salamu zenu huko kutoka kwa RC wenu. =========================================== Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe Balozi Dkt Batilda Burian amesema Halmashauri ya Jiji la Tanga bado kuna Changamoto ya Vijana wenye Umri kati ya Miaka 15-35 ambao wanataka kulelewa na Mama...
  18. Wachina wasio na vibali vya kufanya kazi nchini,wazidi wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya.

    Uhamiaji na Changamoto za Kijamii Wilaya ya Chunya Katika kipindi hiki, tumeweza kushuhudia mabadiliko makubwa katika hali ya uhamiaji nchini Tanzania, hasa katika maeneo ya vijijini kama Kijiji cha Itumbi, Kata ya Matundasi, Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya. Katika muktadha huu, ni muhimu...
  19. KERO Arusha ni mkoa ambao una barabara mbovu sana

    Mkuu wa mkoa wa Arusha anaonekana kushughulika sana na masuala ambayo hayaleti tija kubwa kwa wananchi. Mkoa wa Arusha una changamoto kubwa ya maisha magumu kwa wakazi wake, hali inayozidi hata mkoa wa Lindi, ambao unaelezwa kuwa miongoni mwa mikoa yenye hali duni kiuchumi. Mgawanyiko wa...
  20. Mtambue Shemsa Mohammed (M/K CCM Mkoa wa Simiyu) Katika Meza ya Viongozi Mashuhuri wa Kisiasa

    MTAMBUE SHEMSA MOHAMED M/KITI CCM MKOA WA SIMIYU KATIKA MEZA YA VIONGOZI MASHUHURI WA KISIASA DUNIANI Ameandika Comrade Msauzii (0769086992) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed Seif amekuwa kiongozi bora katika kukijenga chama cha Mapinduzi. Juhudi zake zinafananishwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…