mpya

  1. Yaani mpunga na mahindi yalivyokubali shambani, mavuno yatakuwa makubwa, halafu mtu aniambie niandamane, sijui katiba mpya, siingii mtego huo

    Mwakani ni kula wali tu, ugali kama wote, halafu mtu aniambie niandamane nikapigwe rungu, huo wali ntaulaje? Mimi hapa nimemaliza katiba ya maisha yangu, hiyo nyingine haiwezi niletea wali mezani. Imejaa kugawana madaraka tu, na nikiangalia sioni kama ntapata cheo chochote
  2. SPECIAL THREAD: Heri Ya Sikukuu ya Christmas 2024 Na Mwaka Mpya 2025.

    Welcome On board... Nawatakia wadau wote wa JamiiForum, wakiwemo members na non members na Uongozi mzima Wa JF, ukiongozwa na Director Maxence Melo, heri ya sikukuu ya Christmas 2024 na mwaka mpya 2025. Bwana Yesu amezaliwa kwa ajili yetu, basi tuende tukahubiri upendo na amani, kwetu na kwa...
  3. Mimi na mapito yangu, mimi na imani mpya ya Uislam

    Angalizo; Andiko hili halilengi kubagaza Imani ya mtu yeyote, wala kutweza utu wa yeyote yule... Hili ni andiko la shuhuda fupi na ukuu wa Mungu dhidi yangu baada ya kubadili dini.. Ni hiyari yangu kuyaandika machache hapa... Katika kipindi cha miaka mitano, Yani kutoka mwishoni mwa mwaka...
  4. Hadi sasa kwa maoni mitandaoni, Karibu 90% wanamtaka LISSU ambebe sura ya chadema mpya.

    Wafia Chadema mitandaoni karibu wote wako upande wa LISSU. Watu wanaoikosoa Serikali bila kuwa na mlengo wa chama wako na Lissu. Inaonekana picha ya Upinzani mitandaoni ni chama kisicho na ukaribu kabisa na watawala. Yaani ule wa kupinga na kuponda. Chochote nje ya hapo unahesabika ni CCM au...
  5. Movies mpya kali sana!!

    Ninataka nikatafute CD nianze biashara ya kuweka movies, nisaidieni majina ya movies kali sana za siku za hivi karibuni zinazovutia sana watu wengi. Aksanteni nyote!!
  6. Heri ya xmass na mwaka mpya guys

    Napenda niwe wa kwanza kuwatakià heri ya xmass na mwaka mpya . Mambo mengi muda mchache . So xmass na sìku hzi kuingia hùmu nì kidogo sana . Nawatakia furaha na amani kwenye huu msimu wa xmass Ikiwemo matabaka mbalimbali . https://youtu.be/Ncw-MHA2Mdw?si=iV6UsDnp6wYi2NAj
  7. Kumbe hatuhitaji Katiba mpya kuwaondoa CCM madarakani, tatizo tunaongozwa na viongozi waroho

    Wakuu... Kumbe wala hatuhitaji Katiba Ili kuiondoa CCM madarakani kama tulivyokuwa tukiaminishwa,. Pamoja na Katiba mbovu tuliyo nayo sasa bado CCM wanaweza kung'oka madarakani , Tatizo letu ni Viongozi waroho wa Fedha na vyeo ndio wanaotuponza , wao ndio wanatukwamisha maana wamekubali...
  8. STAMICO lilipata kandarasi tatu (3) mpya za uchorongaji madini kama ifuatavyo

    Katika kipindi cha Julai 2023 hadi Machi 2024, Shirika la Madini Tanzania STAMICO lilipata kandarasi tatu (3) mpya za uchorongaji madini kama ifuatavyo; Kampuni ya Fluxing Resources ya Chemba - Dodoma yenye thamani ya shilingi milioni 650, mgodi wa Shanta Gold Mine - Singida yenye thamani ya...
  9. Mwanajeshi wa Marine (USA) aliamua kuacha kazi jeshini na kuanza kazi mpya kama mwalimu wa high school

    Mwanajeshi wa Marine (USA) aliamua kuacha kazi jeshini na kuanza kazi mpya kama mwalimu wa high school, sasa kabla mwaka wa masomo haujaanza aliumia mgongo na akatakiwa avae plaster cast(piopi zile wanazovaa waliovunjika), akafungwa plaster cast iliyozunguka sehemu ya juu ya mwili wake...
  10. Kwa wale mnaokuja kula Christmas vijijini, zingatieni yafuatayo

    1. Huku pia tuna TV lakini chaneli zetu ni TBC na ITV hakuna mambo ya kuangalia series na TV tunawasha kuanzia saa 12 jioni baada ya kutoka shamba, acheni shobo. 2. Mje na dada wa kazi huku hakuna mtu wa kubeba mtoto wako anaye deka-deka. 3. Hakuna kuchotewa maji ya kuoga, ndoo ya maji kutoka...
  11. Marcus Rashford asema yupo tayari kuondoka Man United ili kupata changamoto mpya

    Mshambuliaji wa #ManchesterUnited, Marcus Rashford amesema yupo tayari kupata changamoto mpya nje ya klabu yake na kusisitiza kuwa hata ikitokea ameondoka hatajisikia vibaya. Amesema hayo wakati ambapo amepoteza nafasi katika kikosi cha kwanza chini ya Kocha Ruben Amorim, pia inadaiwa kuna...
  12. D

    Blanketi la ujima liondolewe katika mfumo mpya wa elimu

    BLANKETI LA UJIMA LIONDOLEWE KATIKA MFUMO MPYA WA ELIMU. Serikali ya nchi yetu kupitia wizara ya elimu ipo katika maandalizi ya sera mpya ya elimu ambayo inamabadiliko makubwa na kwa kiasi kikubwa imejikita katika kutengeneza watanzania ambao watapata elimu na mafunzo ya mapema ya kuwawezesha...
  13. I

    Serikali mpya ya Syria inajipanga kurejesha mahusiano na nchi za magharibi huku ikiipa Iran mkono wa kwaheri

    Ufaransa yarejesha bendera katika ubalozi wa Damascus huku mamlaka mpya ya Syria ikijenga mawasiliano na nchi za Magharibi. Ufaransa ilipandisha bendera yake katika ubalozi wake wa Damascus siku ya Jumanne kwa mara ya kwanza baada ya miaka 12 na maafisa wa Umoja wa Ulaya walijitayarisha...
  14. M

    Kuelekea kutafuta Katiba mpya na Sheria bora za Uchaguzi, maoni yangu ni haya

    Ndugu zangu Watanzania, nimeona nitoe maoni yangu machache tunapoelekea kutafuta Katiba mpya na Sheria bora za Uchaguzi. Mimi nilidhani tufanye yafuatayo:- 1. Kiundwe chombo cha kitaifa kitakachoongoza na kuratibu hii movement. - Chombo hiki kitokane na angalau Watanzania wa makundi...
  15. Nawatakieni heri ya mwaka mpya wana JF wote na kuwaombea waliotangulia

    Mwisho wa mwaka unakaribia. Wanangu wapendwa, naomba nichukue fursa hii kuwatakia heri ya mwaka mpya na kuwaombea wale wote waliotangulia mautini. Nawaombea na kuwaomba tuzidi kupendana kupenda kufikiri. Tupambane na kila adui wa fikra kama vile uchawa, ukunguni, ukiroboto, unune, na ufisi na...
  16. Mbunge Byabato Awafariji Watoto Yatima 200 Kupitia Tamasha la Bukoba Mjini Mpya 2024

    MBUNGE BYABATO AWAFARIJI WATOTO YATIMA 200 KUPITIA TAMASHA LA BUKOBA MJINI MPYA 2024 📌 Lengo ni kuwapa faraja katika msimu wa sikukuu 📌 Vitabu, Madawati, Vitanda vyatolewa 📌Wananchi wajitolea kuchangia Damu Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini, Wakili Stephen Byabato, kwa kushirikiana na wadau...
  17. Kongole Chadema! Kiongozi ni yule anayejua njia, anaonyesha njia, kutengeneza njia pale hakuna njia!

    Uongozi, hufafanuliwa kama uwezo wa mtu binafsi, kikundi, au shirika wa kushawishi njia mbadala na si kufuata tu njia aliyoikuta hata kama njia hiyo inaelekea kuzimu. Hatua ya Mbowe naye kutangaza kutetea nafasi yake, mimi naipongeza kwani itakiwezesha Chadema kuitafsiri falsafa yake ya...
  18. Mbowe hana mpango mkakati mpya wa mabadiliko kwa uchaguzi wa 2025.

    CHADEMA mkimchagua Mbowe awe mwenyekiti tena tegemeeni uchaguzi wa 2025 kuwa kama wa 2024, 2020 na 2019. Mbowe hana mbinu mpya au hamasa ya kushawishi mabadiliko ya uchaguzi 2025, Lissu ndio mtu sahihi wa kuongoza na kuleta mabadiliko mwakani. Mbowe alifaa kuwa mwenyekiti enzi za JK ila sio...
  19. S

    Shilingi ya Kitanzania yapata nguvu ghafla. Je, huu ni mwanzo mpya?

    Wiki hii imekuwa ya kipekee kwa uchumi wa Tanzania, kwani shilingi ya Kitanzania imeimarika kwa takriban 10% dhidi ya Dola ya Marekani. Mnamo Desemba 7, 2024, shilingi ilikuwa ikibadilishwa kwa takriban 2,580 TZS kwa USD 1, lakini sasa imeshuka hadi 2,294 TZS kwa USD 1 kufikia Desemba 14, 2024...
  20. UWEKEZAJI MPYA 💥💥

    Today's 2nd withdrawal 🔥 MPYA KABISA! FURSA YA KIPEKEE YA KUWEKEZA! 🔥 Kuna platform mpya na ya kibunifu inayokupa nafasi ya kuwekeza na kufaidika! 🚀 Hii ndo nafasi yako ya kuanza mapema na kuonja faida kubwa! ✅ BONUS YA 2,000 TZS unaposajiliwa mara ya kwanza. ✅ Kiwango cha uwekezaji: Kuanzia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…