mtaani

  1. Tanzania ukisoma hadi chuo ni kama laana mtaani

    Nisikuchoshe usinichoshe, bila kumsifu mama wala chama hata kama una masters, degree au diploma of honor Yani GPA ya nne ma straight A's huku mtaani ni laana tu kwanza unakuwa case study pili hupati michongo maana kila mtu anaona unaenda kumuovertake kwenye ugali wake ukienda kujiajiri ndio...
  2. Mishe gani ambayo inachukuliwa poa mtaani ila wanaoifanya wanapiga vibunda?

    Mishe gani ambayo inachukuliwa poa mtaani ila wanaoifanya wanapiga vibunda?
  3. Wife ameanza kuuza juice mtaani vipi nimruhusu au Nimpige marufuku

    Mimi Kazi yangu Ni mwalimu ila hapa katikati nimeamishwa shule nyingine mtaani x. Sasa namuona wife nae amenza kuuza juice kwa kutembeza mtaani nimuache au nimkataze! Mke anavutia sana napatwa na wasi wasi sana nisije pigwa na kimbunga hidaya.
  4. Natamani sana biashara ya kudaka mitumba na kuitembeza mtaani!

    Wakuu nisaidieni kunipa mbinu,nina ka mtaji kama laki hivi nataka daka mitumba kadhaa na kupita nayo kitaa kuizungusha, Mm ni mgeni mwanza ila nataka hii iwe starting point yangu ya kuijua mwanza, ni eneo gani zuri nitapata hii mitumba na je ni sehem zipi nzuri naweza tembea mitumba yangu...
  5. Picha: athari ya mvua Huko mtaani kwako Hali ipoje?

    Mitaa yetu pamoja na mvua kuathiri maeneo yote ikiwemo miundombinu bado kuna baadhi ya wahuni wanafurahia Hali hiyo ya mvua maana ni fursa kwao
  6. Pata unlimited bundle kwa bei nafuu

    Wadau nimekua na idea ya biashara ila naombeni, niwashirikishe mlitafakari kwangu naona linaweza kulipa sana!!. Wazo lenyewe bila kupoteza mda ni: HUDUMA YA WI-FI YA UNLIMITED KULIPIA KWA MWEZI Tufanye hivi kama upo maeneo ya biashara, chuo, maofisini au popote ambapo kuna watu wenye matumizi...
  7. H

    Kwa hii idadi ya noti za tsh 10,000 ziazotoka kila dakika kwenye ATM kuna ulinganifu kweli na noti nyingine mtaani?

    Salam humu. Hizi noti zinasumbua Sana mtaani kwenye mzunguko wa pesa hasa kwenye biashara.Nahisi zimekuwa nyingi idadi tofauti na noti nyingine. Sasa hivi ukienda kwenye ATM hawatoi kabisa noti za elfu tano.Yaani wanakwambia kabisa tunatoa mafungu ya kumi kumi tu.Na hata ukienda ndani ya benki...
  8. A

    DOKEZO IGP Wambura, kuna Askari wako Mpanda wamevamia Wananchi mtaani na kuwachapa kwa waya bila maelezo

    Mimi ni kijana ambaye ninajishughulisha na shughuli halali za kawaida na ninajipatia kipato halali, ninaomba niwasilishe kilichotokea mtaani kwetu Mkoa wa Katavi, Kitongoji cha Makanyagio Mjini Mpanda mnamo tarehe 3 Aprili 2024. Tukiwa mtaani hatuna hili wala lile, watu wakiwa wanaendelea na...
  9. Wale wa kulakula hovyo hivyo vyakula vya mtaani! Mnalishwa vilivyounguzwa na kemikali

    Huyu jamaa anaunguza karanga kwa kutumia kemikali ya "sulphuric acid" na kutembeza mtaani! Karanga! Karanga! Waswahili hatutaki shida ya mambo ya kuthibitishwa ubora tunaona tunanyanyasika!
  10. E

    Maisha yamekuwa mwiba mtaani

    Wasalaam Wakuu, kila mmoja hapa anashuhudia mtaani kulivyo kugumu , hasa kwa wasaka tonge kama mm Sasabasi, ajitokeze mwana mwenye dili ngumu ili tushiriki wote hiyo ‘National cake ‘. Niko tayari Wasiotakiwa hapa ni wafuatao; Wale wa fanya kazi halali Mlioko kwenye system , hamtakiwi kabisa...
  11. Tunaoishi mikoani wengi tunaishi kwenye vijiji maana mtaani unajulikana kila kitu

    Dar ndo mkoa wa kipekee unaishi na mtu nyumba moja ila mnakutana weekend tu maana kila mtu anatoka alfajiri anarudi usiku. Ila mikoani huku unaishi na watu wanajua kila kitu kukuhusu mtaani kila kukikucha unakutana na maneno mapya mixer kusengenyana.inshort mikoani huku mitaani ni kama tuko...
  12. Tunayaona Mtaani: Mwanaume Bora kuzeeka ukiwa single kuliko kuteseka uzeeni kwa kuoa mafisi ama tumbili

    Fisi na tumbili hawana huruma nyakati za mavuno. Mwanaume ukiamua kukataa kuoa uwe na msimamo. Usije ukajichanganya uzeeni ama jua la jioni ukatepeta ukataka kuoa hawa wanawake, mabinti, ama wadada aina ya fisi na tumbili. Bora ya chawa kuliko Hawa viumbe wanafanya vituko vya maumivu bila...
  13. Kila ripoti ya CAG inapotolewa ubadhirifu wa pesa ni mkubwa lakini pesa hizo mtaani na kwenye mzunguko hakuna

    Madudu na mawashawasha ya ripoti za CAG nyingi tunasikia ubazilifu mkubwa kila kona pesa ambazo zimetumika vibaya ila cha kushangaza huku mtaani hakuna mwenye pesa kwa wale mimi na wewe. Kipindi cha jakaya angalau tumeona pesa ilikuwepo na maisha kwenye mzunguko ukilinganisha JPM na Samia...
  14. W

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala atoe ufafanuzi hii kodi ya taka inayodaiwa mtaani bila risiti

    Mwenyekiti anakwambia uwe na shimo la kuchomea taka nyumbani unafanya, hujaakaa vizuri wanapita watu wanataka utoe elfu tano ya taka kwa mwezi na wanasema ni maagizo ya Mkurugenzi, tunataka ufafanuzi
  15. Nimerudi shule japo umri umenitupa mkono

    ok
  16. MJADALA: Tukutane hapa wale wazee wa kunyakua pisi mpya mpya zikitua tu maeneo iwe kazini, bar au mtaani. Mbinu, uzoefu, changamoto na tahadhali.

    Jay z anakwambia "Let's just stay in the moment. Smoke some weed, drink some wine. Reminisce, talk some shit, forever young is in your mind" Leo mabaharia wale wazee wa kutabaruku pisi mpya mpya tukutane hapa. Hii inawahusu wale wanaume ambao sisi ili kujiona kwamba ndio wafalme wa zizi/kundi...
  17. Hizi blender za Kenwood ambazo zimezagaa mtaani ni Original kweli?

    Wakuu, Kuna hizi blender za Kenwood ambazo maduka mengi tu mtaani wanaziuza Tena kwa bei rafiki kwelikweli, je hizi blender ni Kenwood kama Kenwood tunayoifahamu au mchina keshafanya yake? Na je zinadumu kama tuijuavyo Kenwood? Make nimesikia mtu anasema Zina shida ya kuvuja lile jagi lake
  18. Pesa mtaani zimepotelea wapi? Je, biashara yako inaendaje?

    Wakuu habari zenu, Wakati wa utawala wa Mkapa kuna hali ya ukata wa pesa ulijitokeza tukauita UKAPA. Wakati wa JK kiasi flani mambo yakalainika japo ufisadi ulikuwa juu sana na mfumuko wa bei. Kila mtu aligeuka dalali. Pale Mnazi Mmoja wakazaliwa madali wenye vitambi na kiburi, huwezi uza gari...
  19. Mtaani kuna vibaka, serikalini kuna majambazi!

    1. Kama Mkuu wa Kituo cha PolisI anaweza shirikiana na wenzake wakaiba hela kisha wakamuua kabisa mtu, 2. Mfanyabiashara aliefariki "Kwa kujupiga risasi" anakwambia polisi alimpigia afisa wa TRA akimwambia "Njoo kuna deal kubwa", na afisa akaja akiwa kavaa pensi na ndala akiongozana na askari...
  20. BoT yasema Noti za Tsh. 10,000 zimeongezeka mtaani hadi Tsh. Trilioni 6.3

    Ripoti ya Dondoo za Takwimu za Robo mwaka inayotolewa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeonyesha ongezeko kubwa la thamani na mzunguko wa noti ya Sh10,000. Ufuatao ni mwenendo wa thamani ya mzunguko wa noti za Sh10,000 mtaani. Desemba 2018 ➡ Sh3.6 trilioni Desemba 2019 ➡ Sh4 trilioni Desemba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…