Hali ni mbaya sana mtaani, siku hizi wadada wengi wa miaka 19-22 tayari ni single mothers

Hali ni mbaya sana mtaani, siku hizi wadada wengi wa miaka 19-22 tayari ni single mothers

Balqior

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2021
Posts
3,490
Reaction score
10,749
Habarini,

Unakutana na mdada unampenda, mnakua kwenye talking stage labda kwa miezi kadhaa, mnaongea vizuri tu mna click, unapenda tabia yake na muonekano wake, unaanza kusema huyu Mungu akipenda tutaishi kama wapendwa, unaanza ku-imagine future nae.

Baada ya muda uhalisia unakupiga na kitu kizito, unakuja kugundua huyo mdada ana mtoto tayari, unajiuliza mda wote huo inakuaje mtongozaji hujawahi muona wala kumsikia baba wa mtoto kwenye maisha ya binti, binti bado anaishi kwao hapo ushaweka matarajio, attention, time etc mwishowe mwanaume unaishia kuvunjika moyo..ingekua ni heri toka mwanzo ujue kua huyu tayari ashatolewa mahari, au yuko kwenye serious relationship, ndo upange kama unasuka au unanyoa..

Kama mmekutana kimjini mjini wadada wengine huenda mbali zaidi na kumficha mwanaume mpya ukweli kua tayari ana mtoto, mwanaume unakuja gundua baadae sana kuwa mdada unae date nae tayari ana mtoto.

Mungu alituagiza ndoa kwanza ndo mengine yafate, tukakaidi amri zake, matunda yake tunaanza yaona.. 🙆🏾‍♂️

Vijana wa kiume wa hovyo kwenye 1 na 2, kazi kuharibu, hata kama baby mama ni kichomi hudumia mtoto wako, kuwa karibu kwenye maisha ya mwanao, sababu ndo bomu ushalivaa, umaskini si kisingizio
 
Malezi mabovu, mabinti wadogo wanaachiwa uhuru wa kuzunguka hovyo kama mbwa koko asie na makazi. Ukuchanganya na wazazi wa kizazi kipya hasa ukute mama nae ni singo maza asie na malezi ndio kwisha habari wanaweza shea hata bwana.
 
Nature is always right.
Umri huo mayai yameshaiva na yanataka kurutubishwa.
Alaumiwe baba kwa kuto andaa mazingira kupokea wajukuu ktk mfumo tuliozoea.
 
Mkuu hii Hali IPO nchi nzima.Nilifika Kijiji kimoja Hali ni mbaya mpaka sio poa.
Iphone zimechangia sana binti anatamani kumiliki Iphone 17,yuko tayari kufumuliwa marinda zote ili apate Iphone

Pia watoto wengi mijini na vijijini wanatoa tiGo Kama hawana akili nzuri.
 
Tatizo lipo hasa kwenye malezi.

Wazazi ni zao la circle hiyo hiyo unategemea mtoto atakuwaje akikua? Zzidi ya kufanya kama mama au baba yake?

Kuzaa na kulea mwenyewe, anatafuta kazee kamoja anakakamua kanmfungulia saloon kisha anajiita strong woman
 
Habarini,

Unakutana na mdada unampenda, mnakua kwenye talking stage labda kwa miezi kadhaa,
Talking stage miezi kadhaa? ? ?

Na bado with all that talking no kids were talked about!

Stop talking!

Talking too much nothing meaningful. Go read a book or something. Maybe you were friend zoned and didn't realise it. Actually hii yako ni acquaintance-zoned.

Ndo maana kutwa kulialia coz people be wasting their whole time with all the wrong people.
 
Raha ya mechi ianze sifuri buana, una piga shoot kali baadae una mna toa kitu safi.

Masuala ya ankoli, mjomba, bro tupa kule
 
Malezi, hali ya uchumi na ulimbukeni wa starehe ndio sababu kuu
 
MUONGOZO from your sister from another mother (to you "mnaopigwa"):

Talking stage mwisho siku moja.

By the end of the day you should've realised if you're moving to the seriously dating or they're not for you.

Save your time. Save your soul.
Save your body. Save your heart. Save your peace of mind.

People waste too much time with the wrong people, too much time....too much.

Red flags huwa ziko from DAY ONE.
Nopes zinapaswa kuwekwa wazi from day one.

May the Lord be whichy'all.
 
Mi huwa nawalaumi sana...
Kama unajijua una date na mwanaume jobless hana mbele wala nyuma an una date na mkaka yeye kazi yake kurusha nyimbo kwa memory.

Alafu na binti ulivyo zamwamwa unajaribu kumpa jamaa show siku za danger unategemea nn..

Mabinti kiufupi wengi wanahitaji elimu ya uzazi wa mpango..
Mi nikiona binti kabla sijamla anazungumzia mambo ya kinga na masuala ya uzazi huwa nafurahi sana tena naweza mpa hata bonus ya kulala kwangu week....

Lakini unakutana na lingine yaan sijui ni ulimbukeni et anakwambia mara condom inaumiza , mara mafuta ya condom yana nini sijui na sababu kibao then akipata mimba anakataa kutoa ahahahahahah oyaaa natoa mtu mimba kwa bisi bisi...

Wanasema usicheke.mamba kabla ujavuka mto jamn naomba kuuliza pia hivi inakuaje pia sisi ma men an ww unampa mtu mimba na unajua kabisa ww upande wa kuoa huwezi na huna kipato why unajikuta una nyege sana..

Nataka iwekwe sheria kwa wanaume wanaokataa mimba au kuacha wanawake single maza wahasiwe
 
Sioni tatizo kama hana uhusiano wa kingono na huyo baba wa mtoto, hawa wanawake wamekutana na mambo mengi, ukimkuta ametulia na anampenda Mungu, oa.
 
Back
Top Bottom