Juzi tarehe 21st of February, kash Patel ameidhinishwa kuwa chief of FBI huko marekani. Sasa kama kwaida ya wabongo sisi , kwa mbwembwe tukaanza kusambaziana propaganda, mara oh... ni mtanzania , sijui mama yake ni mtz, mara blah blah kibao. Tangu lini mtanzania mbantu akawa na jina la kash...