mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. DOKEZO Kampeni ya 'Mchukue Mtoto Mrejeshe kwa Wazazi Wake' imefeli Mwanza? Bado wapo wengi mitaani

    Nikiwa mmoja wa Wakazi wa hapa Mwanza naishauri Serikali Serikali hasa kuanzia ngazi ya Mkoa kulitazama kwa kina hili suala la Watoto wanaoonekana Mitaani. Kumekuwa na kusitasita jinsi ya kushughulikia changamoto ya watoto wa mitaani ambao asilimia kubwa wamekuwa wakifanya kazi ya kuombaomba...
  2. Mtoto wa kaka yangu wa kwanza (First born) amebamiza 'A' za kutosha za darasa la nne mpaka nimeogopa sana, tutafute pesa Elimu nzuri ni gharama

    Wakuu this is the first time nashuhudia kijana wa kaka yangu anafanya maajabu kama haya. Kiufupi nimefurahi sana huyu angekuwa st kayumba sijui kama angepata hata A moja Elimu nzuri ni gharama wakuu. Kila mwaka inatoka mil 5 Ila matunda ni mazuri. Ukiachana na hilo anaongea kiingereza Kama...
  3. F

    Nilivyozaa mtoto wa 2 nje ya ndoa

    1.JALADA LA KWANZA Hii ni true story. Japo nina ndoa mbili lakini nimezaa watoto kadhaa nje ya ndoa.Hadithii hii ambayo ni ya kweli ni jinsi nilivyozaa mtoto wangu wa pili wa nje ya ndoa. Ni miaka 15 iliyopita nilikuwa mkuu wa taasisi moja isiyo ya kiserikali,ambayo makao yake yalikuwa nje ya...
  4. A

    Klabu za Jinsia Maskulini Zinavyomuandaa Mtoto wa Kike Kuwa Kiongozi

    Na Ahmed Abdulla, Zanzibar: Katika muktadha wa dunia ya sasa, usawa wa kijinsia umekuwa ni suala la muhimu sana, hasa linapokuja suala la nafasi za uongozi kwa wanawake. Miongoni mwa mbinu zinazotumika kukuza uwezo wa uongozi kwa watoto wa kike ni kupitia klabu za jinsia mashuleni. Klabu hizi...
  5. "Kwanini ulinizaa?" Unafikiri ni swali sahihi kwa mtoto kumuuliza mzazi hilo swali?

    Habari wakuu, Natumai mu heri na buheri wa afya ya mwili sambamba na akili. Mkihusika na kichwa cha mada hapo juu isemayao.. "Kwanini ulinizaa?" Unafikiri ni swali sahihi kwa mtoto kumuuliza mzazi hilo swali?? Ikiwa mtoto ama binadamu sote hatupati nafasi ya kuuliza kwanini tunazaliwa au...
  6. Katavi: Mwanafunzi wa Darasa la Tatu ajinyonga kwa kukosa nguo mpya siku ya Sikukuu

    Mwanafunzi wa Darasa la Tatu katika Kijiji cha Uruwila, Wilaya ya Mpanda, Mkoa wa Katavi amejinyonga kwa kutumia sweta lake alipokuwa amelala chumbani kwake. Akitoa taarifa ya tukio hilo Januari 03. 2025, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Kasta Ngonyani, amesema tukio hilo limetokea mnamo...
  7. Dodoma: Polisi yamsaka nchi nzima aliyetangaza kuuza mtoto kwenye mitandao ya kijamii kwa TSh. milioni 1.6

    Jeshi la Polisi linamtafuta kwa kuendesha msako nchi nzima mtu ambaye anaonekana kushoto mwa taarifa hii ambaye ametengeneza na kusambaza picha mjongeo (video clip) akitangaza jongeo kuwa anamuuza mtoto al aliyembeba kwa shilingi milioni moja na laki sita. Msako huo utahakikisha anakamatwa ili...
  8. Sipatii picha hio outrage ingekuwa vipi kama ndio single father angemuachia boda boda mtoto wake kupelekea maafa yake.

    Nakuambia hadi vyama vyote vya wakina mama wangepiga kelele karibia mwezi mzima. Wakina jackline na tv showz na hawa wabunge wa nafasi maalum wa kike bungeni.. "Ooh hayo ndio matokeo ya kuwatesa wanawake mnakataria watoto alafu watotonashindwa kuwalea" Lakini imewatokea kwa single mother...
  9. Soon tu aliyezaliwa 2002 hatokuwa mtoto tena

    HERI YA MWAKA MPYA 2025 aseeeeee siku zinaenda kasi sana. naona kizazi cha 90 nacho kishatoka kwenye enzi za utoto... na enzi za ujana zinaelekea kuisha kwa kizazi hichi chetu cha 90 sooon tuu hivi vidogo vyetu vya 1998,1999 ,2000,2001,2002 na hata 2003. navyo vitasema FINALY CHILDHOOD...
  10. Wakati unafunga mwaka, elewa, kabla ua ya kumtelekeza au ulimtelekeza mtoto soma hii ujue na kuelewa tafadhali

    Bill Clinton au William Blythe aliyekuwa rais wa Marekani, Jeff Bizos tajiri mkubwa duniani, Steven Jobs mwanzilishi wa Microsoft, na wengine wengi SOMA HAPA walitelekezwa na baba zao wakatokea kuwa maarufu na wenye mafanikio. Je katika mazingira haya, hawa wababa watelekezaji wana haki yoyote...
  11. Hivi inakuwaje mzazi anakua tegemezi Kwa mtoto ambaye amejitafuta Kwa jasho lake bila kumrithisha hata mbuzi mmoja

    Huwa nashangaa unakuta mzazi anakua tegemezi Kwa kijana ambae amejitafuta Kwa jasho na damu amejipata mzazi anakua analandalanda kumnyonya huyu kijana Kwa lengo kwamba amemzaa kwani huyu mzazi yeye alizaa Ili amfanye mtoto punda yaani kiasi kwamba mtoto asipomsaidia mzazi anatangaza kutoa laana...
  12. Mtoto wa senator ahukumiwa kifungo

    Mtoto wa senator wa north dacota, Ian crammer amehukumiwa kifungo cha miaka 28 jela baada ya kukutwa na hatia ya kuendesha gari kwa spidi kubwa iliosababisha ajali na kuua mtu mmoja wa miaka 53 ambae ni sheriff
  13. Sheikh Swed: Hata mtoto muislam atakayezaliwa leo tayari ni BAKWATA.

    Mwanazuoni wa kiislam Sheikh Swed Twaibu akiwa TBC akielezea katiba ya BAKWATA jinsi ilivyoshirikisha waislamu wote wa Tanzania alisisitiza kuwa waislamu wote nchini ni wana BAKWATA. Pia alienda mbali zaidi na kusema kwa Tanzania hii hamna taasisi nyingine inayoruhusiwa au yenye mamlaka ya...
  14. G

    Hivi wanaotumia milioni 3+ kwa mwezi kumlea mtoto mchanga, hizo pesa wananunua nini ambacho akina sisi tunaotumia laki 1 kwa mwezi hatununui?

    Jamani milioni 3 ni pesa ndefu. Sasa inawezaje kuisha kwa malezi ya mwezi mmoja tu ya mtoto mchanga? Mshahara wa house girl, maziwa ya formula na pampas tu ndiyo vinamaliza milioni 3? Au kuna kipi kinapelekea hiyo gharama kufika au kuzidi hapo?
  15. SI KWELI Uume wa mtoto ukidondokewa na kitovu chake huacha kusimama

    Je ni imani za kweli kuwa kitovu cha mtoto mchanga kikiangukia uume huyo mtoto atakua hasimamishi? Wajuvi wa mambo tunaomba mtusaidie.
  16. Waziri Gwajima atoa pole kifo cha Graison, mtoto wa Chief Godlove Dodoma, ataka ulinzi kwa watoto

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dk Dorothy Gwajima ametoa pole kwa wazazi wa mtoto Graison Kanyenye aliyeuawa na watu wasiojulikana, huku akiwataka wazazi au walezi kuimarisha ulinzi na usalama wa watoto. Tukio hilo lilitokea Ilazo Extension jijini Dodoma...
  17. A

    Uwezo wa kutatua changamoto za maisha na kujiajili za mtoto

    Habari jamvini. Leo nina jambo naliwaza kidogo. 80% ya mahudhui ya mitandaoni ni vichekesho na vituko na ndio wengi wanaangalia hasa hususan mabinti. Wenyewe wanaviita vibinti ya 200. Fact 2: kuna ushahd mkubwa kuwa wanaume mara nyingi ndio wanaowahi kwenda akhera madukan na kuacha wake zao...
  18. Dodoma: Mtoto wa miaka 6 auawa kikatili na watu wasiojulikana

    Mtoto wa mfanyabiashara maarufu jijini Dodoma anayejulikana kwa jina la Jojo, Graison Kanyenye (6), anadaiwa kuuawa kwa kupigwa na kitu kizito kichwani wakati mama yake akiwa matembezini usiku wa kuamkia jana. Mbali na hilo, Jeshi la Polisi limesema mwili wa mtoto huyo ulikutwa ndani ya nyumba...
  19. 5

    Picha: Mjue Abdul Halim Hafidah Ameir, Mtoto wa Rais Samia

  20. Video: Ubarikio wa mtoto wa Bilionea Mosha

    Jana nimeshangaa kuona ubarikio wa mtoto wa Bilionea Knyama KKKT peke yake tofauti na wenzetu huko Katoliki ambako ratiba ya komunio/kipaimara ni kwa wote (bila kujali kipato cha mzazi/mlezi) na sio mmoja mmoja. Shkamoo Mangi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…