Hii nchi imeshakua mali ya watu fulaniAbdul ameenda kufanya udalali wa rasimali za Tanganyika! 🤔
Usultani umerejea tena. Mtoto wa Rais ana delegation yake. Na anaweza kujadiliana na wakuu wengine wa nchi juu ya uwekezaji!Mtoto wa Rais Samia, Abdul Hafidh Ameir na Ujumbe wake akaribishwa Ikulu ya Entebbe kujadili sekta binafsi zinzvyoweza kunufaisha nchi hizi Mbili
View attachment 3656616
View attachment 3656615
View attachment 3656614
Mtoto wa fisadi ni fisadi kama mamake, huyu siku Tanganyika tukirudisha uhuru wetu atakiona cha moto
Kwenye katiba yetu mtoto wa rais ana mamlaka gani?.Mtoto wa Rais Samia, Abdul Hafidh Ameir na Ujumbe wake akaribishwa Ikulu ya Entebbe kujadili sekta binafsi zinzvyoweza kunufaisha nchi hizi Mbili
View attachment 3656616
View attachment 3656615
View attachment 3656614