muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Termination on fixed contract/ kufungua shauri CMA kwa mwajiriwa mwenye mkataba wa muda maalum

    Habari za leo wadau na wajuzi wa sheria Naomba msaada wako wa kisheria Ikiwa nimeachichwa kazi isivyo halali nilikua na mkataba wa mwaka moja Ambapo ulianza mwaka jana, Nimeachishwa kazi mwaka huu kabla ya miezi 4 ya mkataba wangu kuisha na sababu zilizotolewa sio sahihi na procedures...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ni muda sahihi Kwa waliokosa nafasi za ubunge na udiwani waende veta

    Baada ya kura za wajumbe kufanyika waliokosa nafasi za kuwakilisha vyama vyao kwenye uchaguzi wa 10.29.2024 katika ngazi za ubunge na udiwani Kwa Sasa ni muda muafaka wa wao kwenda Veta
  3. JamiiForums Tanzania Nashauri China itengwe! Ugonjwa wa Chikungunya walipuka nchini humo, visa 7,000 vyaripotiwa. Marekani yatoa onyo

    Wakuu, Kwanini China kila ugonjwa mbaya unaanziaga huko? Baada ya COVID sasa umekuja huu mwingine unaitwa Chikungunya na kuna watu 7,000 tayari wameathirika. Mnaonaje China ikatengwa ili mambo yasiwe mengi? ============================================== Zaidi ya kesi 7,000 za virusi...
  4. JamiiForums Tanzania Aisee kongole sana kwa AI, kuna vitu imenipa solution wmbavyo labda ninge gharamika pesa na muda kuvipata

    Kuanzia tiba, marekebisho, mpangilio, garden yangu, etc Mimi natumia GROK a.i, wewe mwenzangu unatumia a.i ipi?
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Humphrey Polepole aendelea kuibomoa CCM. Asema 'Huwezi kuridhiana na mwizi'

    Najua CCM ni wachafu ila sijawahi kujua kuwa kumbe ni wachafu kiasi hiki, huyu hapa Humphrey Polopole.... https://www.youtube.com/watch?v=_bT19_syqfY
  6. JamiiForums Tanzania Code za kugundua mdada anayejiharibia mwenyewe halafu anaamini wahuni wanampotezea muda

    Anakataa kila mwanaume wa kawaida kwa maneno ya “Siwezi date mtu asiye na gari.” - Wewe mwenyewe una miguu ya bure, lakini unataka gari ya mtu mwingine? Utasikia anasema “Mimi siwezi teseka na mwanaume. Nimejitambua.” -Toka huko, ulijitambua kwenye TikTok au? Wanaulizaga “What can you do for...
  7. JamiiForums Tanzania Watu wa Dar mbona kama wamekanyaga moto, hawatulii muda wote ni mwendo tu shida nini wakuu?

    Mbona watu wa Dar muda wote wako mbiombio? Shida nini hasa? Ni kama wamekanyaga kaa la moto! Kifupi imenishangaza sana. Yaani muda wote watu wa Dar wapo resi. Kila mtu ni fulu mwendo. Utaona watu hawa wanaingia kwenye madaladala wengine wanaingia shop almradi muda wote watu wapo kwenye...
  8. JamiiForums Tanzania China kuivamia Taiwan muda wowote - Makamu Wizara NJE Taiwan

    Makamu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Taiwan asema kuwa China iko karibu kuivamia, hii inatokana na mitikasi ya China kuizunguka Taiwan hivi karibuni. Je Taiwan itaweza mzuia China asifanye jambo lake? China atakubali aibishwa na Taiwan? Je washirika wa Taiwan watamsaidia?
  9. JamiiForums Tanzania Ufugaji wa nguruwe unalipa: Huu ndio muda sahihi wa kuanza! 🐖💰

    Katika harakati zetu Rubaba Media kuelimisha na kushauri wakulima na wafugaji kote nchini, tukishitikiana na Koudijs safari yetu ya hivi karibuni ilitufikisha mkoani Mara — hasa maeneo ya Tarime, Nyamongo, na vitongoji vyake. Tulikutana na wafugaji wapya na waliopo tayari waliodhamiria kwa dhati...
  10. JamiiForums Tanzania Hela cash ukiificha sehemu unakuwa na hofu muda wote unahisi umeonekana ukiwa unaificha

    Kuna zile moment unakuwa na hela nyingi ghafla halafu ulizimiss kushika mkwanja mrefu sasa kuziacha Katika account NI kama roho hairidhiki unatamani uzishike shike uzioneone yaani uwe nazo karibu cash Tu mambo ya tozo na makato na miamala kwa muda uyasahau. Sasa kimbembe kinakuja pale sehemu...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Old version ya checker ni muda tu unahesabika katika stopwatch

    Taifa huru linaundw na katiba iliyo bora Muda wa installation ya new version ya checker unahesabika,hakuna mtu atakaye amini tukio la ajabu toka nia kuundwa na waasisi wenye assigning number one,ambao kete zao zenye assigning number zimeshapigwa,hakuna atakaye amini awe rice promax one ,au...
  12. JamiiForums Tanzania Tuwe na Kiasi Kwenye Kuwasema na Kuwajadili, Maana Siasa Muda Wowote Mambo Yanabadilika! Hasa Kati kipindi Hiki Tanzu! Bado ni Asubuhi Sana!

    Pengine baada ya mkeka huu wa leo, utafungua mengi sana tuliyokuwa hatuyajui katika ulingo wa siasa za chama kikongwe, Tuwe na staha katika kuwasema waliokatwa, kwenye siasa chochote kinaweza kubadilika kwa muda wowote! na wakati usiotarajiwa! Tuwape muda...pengine ukarasa mpya wa mabadiliko...
  13. JamiiForums Tanzania Wanaosema Vitabu vya Injili vina makosa/vinapingana — kwanini wanatumia muda mwingi kuvisoma?

    Ni jambo la kushangaza sana kuona watu wanaosema kwamba vitabu vya Injili vina makosa, vimejaa contradiction, na haviaminiki — lakini hao hao ndio wanatumia muda wao mwingi kuvisoma, kuvichambua, na kunukuu mistari ya Injili. Kama mtu haamini kitabu fulani, kwa nini anakisoma kwa bidii kila...
  14. JamiiForums Tanzania Kamati Kuu CCM wapitisheni Wabunge wanaomaliza muda wao ili kuendeleza 4R

    Wabunge wanaomaliza muda wao. Walipambania Chama Enzi za DP World. Tuwarudishe Bungeni kuendeleza 4R OktobaTUNATIKI Mshana Jr Lucas Mwashambwa Mpwayungu Village
  15. JamiiForums Tanzania Chuo cha NDC chahitimisha mafunzo ya muda wa wiki 47, ujumbe watolewa "Tumieni maarifa kuimarisha ulinzi na maendeleo"

    Chuo cha Ulinzi cha Taifa (National Defence College - NDC) kimehitimisha rasmi mafunzo ya muda wa wiki 47 (kuanzia Septemba 2024 hadi Julai 2025), kwa viongozi waandamizi wa Jeshi, vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na viongozi wa Serikali, kutoka Tanzania na mataifa mengine. Mafunzo hayo...
  16. JamiiForums Tanzania Wapenzi na watumiaji wa VPN tukutane hapa wale wa free internet kuna VPN zinanguvu sana na ndo zinanifanya muda wote sikauki online

    Wale ambao kununua bando kwao ni kipengele kuna VPN ambazo unaweza kuzitumia kama mbadala wa kununua bando. Kwa wale ambao tuliwahi kutumia VPN kama 1. ursa net vpn 2. biddinet vpn 3. ommanova vpn 4. geo tunnel vpn Sina shaka nafikiri munaelewa. sasa kuna VPN zingine mbali na hizo...
  17. JamiiForums Tanzania CCM marekebisho ya Katiba yenu muda mnao, Sheria za uchaguzi muda haitoshi

    Kama kurekebisha Katiba yenu jambo ambalo ni kubwa Sana ndani ya mwaka mmoja mmeweza kufanya mara mbili, kwa nini hamtaki kurekebisha baadhi ya vifungu vya Katiba Tanzania pamoja na Sheria za uchaguzi? CCM inaogopa uchaguzi huru na wa haki kuliko inavyoogopa kifo.
  18. D

    JamiiForums Tanzania Muda rasmi kwa wanaufufuo na watu wote tutenge siku ya kufanya karamu ya kuchinja na tuachilie sadaka maalum kwa wana wa anaki waliofunga kanisa

    Majeshi majeshi! VAENI SILAHA ZOTE ZA IMANI KUPIGANA NA YULE MUOVU! Elewa neno SILAHA ZOTE (MASHINE mpya yesu na analogi za maombi ya sadaka na karamu za zamani katika agano la kale hatuwezi kuzipuuza) Kama mulivyoona ibada iliyopita wana wa anaki bado wapo na sisi kutufuata fuata! Muda wa...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli wowote kwamba kazi za IT / Computer serikalini wana muda mwingi sana wa kupumzika bila kazi ?

    Mfano niliwahi kusikia system administrator wa Chuo kazi yake kwa kiasi kikubwa ni kuangalia tu system haina matatizo (Monitoring), Anapata muda mwingi wa kupumzika, anawahi kuondoka na mshahara mzuri. Yani wakishaseti Server, Database na Network kinachobaki huwa ni kutazama kila kitu kinaenda...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Sabato imeanza baada ya jua kuzama Leo, ni siku maalumu iliyobarikiwa na Mungu kuliko siku nyingine, Niwaombe mjiweke safi kuipokea na kuiheshimu

    Ni siku bora kuliko siku nyingine ikiwamo siku ya Jumapili na ni kwa mujibu wa maandiko Exodus 20 hivyo usije na ubishi wako. Happy Sabbath all
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…