mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Pre GE2025 Hivi wanasiasa wa CHADEMA wakihamia CHAUMMA leo, sheria inawaruhusu kuwa wagombea kupitia CHAUMMA kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu?

    Habari wadau! Kama kumbukumbu zangu ziko sawa, sheria ya uchaguzi ilifanyiwa mabadiliko enzi za Mwendazake lengo ni kudhibiti watu kuhamia vyama vingine uchaguzi unapokaribia. Kwa kumbukumbu zangu, kuna mdau ambao mwanachama anatakiwa awe mwanachama wa chama husika Kama kigezo cha kuruhusiwa...
  2. Kuanzia mwaka 2030 Dkt. Nchimbi ataishi maisha ya kipweke angali kijana kama ilivyo kwa Obama, Sumaye na Vuai Nahodha

    Kuna vyeo vya kisiasa ukishavifikia huwezi tena kusonga mbele,inakuwa ndio climax ya mafanikio yako. Tanzania haijawahi kuto Rais ambaye amewahi kuwa PM au VP,imeonekana kama ndio kautaratibu wakubwa wamejiwekea. Pia soma - CCM yamchagua Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza katika...
  3. S

    Siku ya birthday yake alikejeli: Vitoto vinakufa angali vidogo. Miwili baadae akafa. Huyu nae hata mwaka anaweza asimalize baada ya kukejeli marehemu

    Nakumbuka kwenye birthday yake ya kutimia miaka 75 kama sikusoe, namba moja mstaafu kutoka Butiama, alikejeli watoto wadogo wanaokufa wakiwa bado wadogo. Kama namnukuu sawa sawa, alisema, "vitoto vyetu vinakufa angali bado vidogo....." Kauli hii binafsi iliniumiza na kunishangaza sana ingawa...
  4. Kijana hivi viwe vipaumbele vyako kwa mwaka 2025

    Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️ Kijana tumeuanza mwaka mpya 2025, hivi ndivwe vipaumbele vyako:- 1. Uwe mwaka wa kuoa na kuazisha familia. 2. Usiwe mwaka wa kujenga na kununua visivyohamishika mfano (Kiwanja, nyumba, mashamba Bali 3. Uwe mwaka wa kununua vyenye kukufanya mwenye...
  5. Mwaka 2020 polepole alisema anayetaka fomu ya urais amfuate magufuli huku anacheka kwa dharau na kebehi na samia anafanya kilekile kwa utofauti

    Mkutano wa ccm umempitisha Rais samia kama mgombea wa nafasi ya urais lakin unamlaumuje Samia ilihali mwanzilishi wa haya yote ni magufuli na wapambe wake Mwaka 2020 polepole huku anacheka kwa kebehi na dharau alisema anayetaka fomu ya urais amfuate magufuli lilikua ni tukio lililochukuliwa kwa...
  6. Nahhitaji mchumba mwanamke alie tayari anicheki tuyajenge huu mwaka nataka kuoa

  7. Kwa Wapenzi wa Teknolojia: Mwaka 2025 utakua mwaka wa AR na Smart-glasses.

    Smart-glasses na Argumented Reality glasses zimeanza kitambo ila bado hazijafika "peak" ambayo mtu atatamani kununua. Tokea enzi Google alileta Smart-glasses zake 2013 akawa anawauzia developers tu kwa $1,300 ila hazikufika sokoni nadhani project ikifeli. (Google Smart-glasses ya 2013)...
  8. Simba ni mwakarobo, je Yanga ni mwaka?

    Simba ni mwakarobo, je yanga ni mwaka.....? Tusaidianeni tuwapatie jina hawa wazee wa four figure na calculator.
  9. Mikakati ianze kuhakikisha Heche na Lema hawashindi jimbo lolote watakalogombea mwaka 2025

    Nashauri mikakati mikali ifanyike kuhakikisha Hawa jamaa bunge walione kwenye TV tu. Hata kama itachukua gharama kiasi gani. Ni watu wa hovyo wanaopenda vurugu na magomvi
  10. G

    Bilionea Mulokozi hulipa kodi ya bilioni 7 kwa mwaka. Je, wewe una mpango wa kulipa Kodi kiasi gani kusukuma maendeleo ya nchi yetu?

    Kulipa Kodi ni wajibu wa kila mwananchi. Tulipe Kodi kwa maendeleo ya nchi yetu. Mkurugenzi wa MAT superbrand hulipa Kodi na tozo mbalimbali za thamani ya bilioni hadi Saba kwa mwaka. Je, wewe kama mtanzania mzalendo unapanga kulipa Kodi kiasi gani kama tozo na Kodi mbalimbali ili maendeleo...
  11. Mambo ya msingi kabla ya kwenda usaili wa WALIMU sekretarate ya Ajira mwaka 2025

    Mkuu Twende Wote Hapa😁 If you're preparing for a teaching interview, you're about to embark on an important journey that can shape your career. Whether you're new to teaching or an experienced educator, there are key elements that you need to understand. In this guide, we’ll walk you through...
  12. Utabiri Mzito: Mwaka wa 2025 ni mwaka Tanganyika kuamua hatima yake

    Hayawi hayawi ndivyo ndelemo za 2025 zitakavyokuwa huu ni mwaka mwaka wa Tanganyika. Si rahisi rahisi rahisi ndivyo itakavyokuwa. Sumu haionjwi kwa ulimi, ni gusa unate, gusa unuke na usiponuka unaondoka kama Member, misifa mingi wakati huna agano na Mungu kwa uhai wako. Leo Kiko wapi...
  13. Kwa Wale Mnaotaka Kuwekeza Mwaka Huu Pitieni Hapa Hii Idea Inaweza Kuwafaa

    Kama unataka kuwekeza kwenye ufugaji samaki basi anza kufikiria kwenye uuzaji wa Vifaa vinavyotumika kwenye ufugaji samaki (fish farming facilities) au uzalishaji wa mbegu bora ya samaki (sato na kambale), huku ndipo kuna maslahi zaidi kuliko kufuga samaki na baadae kuuza samaki kama kitoweo...
  14. Ipi simu bora kati ya iphone 12 pro na Samsung Galaxy A35 mwaka huu 2025?

    Leo nimeenda dukani kununua Galaxy A35 yenye storage ya 256 GB na kwa bahati mbaya sikuipata. Katika kuangaza macho nikaiona iphone 12 pro used ina battery health ya 86%. Nikavutiwa kuikagua na kweli bado ina vitu kadhaa vinavyovutia ila sikushawishika kuinunua hiyo pamoja na kuwa na bei sawa...
  15. M

    Nguvu uliyotumia kusambaza umbea itumie mwaka huu kusambaza bidhaa

    KUWA MMBEA UTATAKIWA : 1.Uwe na habari nyingi za watu ( za kweli au uongo) 2.Ujuane na watu wengi 3.Uwe na salio la kutosha kwenye simu 4.Uwe na nguvu ya kuongea kwa muda mrefu. 5.Usiwe na hasira za haraka pale ukiwekwa mtu kati kusutwa😊 SIFA HIZO ZA MMBEA NYINGI NI SIFA ZA MFANYABIASHARA...
  16. I

    Marekani yaelekea kuachana na mafuta ghafi ya Saudi Arabia kuanzia mwaka huu wa 2025

    Mwaka jana, Riyadh ilifunga ofisi yake ya mafuta New York - ishara ya kuelekea kutoweka kwa mafuta ghafi ya Saudi huko nchini Marekani. Shukrani kwa mapinduzi ya shale na kuongezeka kwa tasnia ya mafuta ya Canada, uagizaji wa mafuta ghafi kutoka Marekani ulishuka hadi chini kabisa katika karibu...
  17. M

    Kafulila: Anayetaka kuwekeza TANESCO na aje,Tanzania inajengeka kwa Kasi mno mwaka 2050 tutahitaji zaidi ya Megawatt 60K wakati leo tuna Megawatt 4K

    == Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika Kipindi Cha One on One Cha Wasafi TV amesema haya, " Tanzania katika miaka 25 ijayo inatarajia kujenga Uchumi mkubwa karibu mara mbili ya Uchumi wote wa Africa ya Kusini ya leo...
  18. Rais Samia tuongoze mpaka mwaka 2045 Mimi kama msemaji wa wananchi nakuomba

    Rais huyu mpendwa ameshushwa na Mungu tunafurahi uwajibikaji wake Mimi kama msemaji wa wananchi tunaomba tena Kwa kukupigia magoti daktari Samia Suluhu Hassan utuongoze mpaka mwaka 2045 Mama unaupiga mwingi wananchi wanafurahia sana kwakua wanaishi maisha Bora sana mtaani na wamegundua...
  19. Channel ten..rekebishen tangazo la mkutano WA ccm mwisho mmeandika tar mwezi Mwaka 2024Siku ya pili ♌

    Polen najua n MAKOSA ya kibinadamu Si mbaya tukayasahihisha Nimeangalia tangazo linasema kutakuwa na mkutano WA kamati kuu ccm Dodoma ANGALIEN mwishoni mmeandika tar mwezi sawa Mwaka 2024 badlaa ya 2025 Naamini tutaona tofauti Thx
  20. Baada ya Nyerere kuighafirisha TANU mwaka 1967, Inawezekana Tanzania ikapata zawadi ya chama makini zaidi baada ya uchaguzi wa CHADEMA

    Historians wanalijua hili. The glory of Tanzania ilikuwa kabla ya mwaka 1967 ambapo kwa mara ya kwanza nchi yetu ilipata chama makini chenye watu Makini kilichojulikana kwa jina TANU. Kwa ukanda huu wa Afrika hakukuwa na chama makini kama TANU chini ya Mwenyekiti Julius Kambarage Nyerere na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…