mwigulu nchemba

Mwigulu Nchemba
Mwigulu Lameck Nchemba Madelu ni mwanasiasa na mwanachama wa chama cha kisiasa nchini Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mwigulu alikuwa Waziri wa Fedha na Mipango tangu 31 Machi 2021, mpaka July 2023 ambapo wizara hiyo ilivunjwa na kuwa wizara mbili yaani Wizara ya Fedha inayoongozwa na Mwigulu Nchemba na Wizara ya Mipango na Uwekezaji inayosimamiwa na Waziri Kitila Mkumbo.
  1. JamiiForums Tanzania Tazama DR. Mwigulu Nchemba, Waziri mkuu wa Tanzania alivyovyopokelewa na Rias Vladimir Putin huko Rassia

    Kwa hakika inapendeza, na unaweza kutathimi na kuhitimisha wewe mwenyewe kwa muonekano na body language hiyo kwenye video huyo muungwana ana behave, anadeserve na kuqualify kua nani huko tuendako katika siasa za kitaifa na kimataifa? In fact, amemuwakilisha vema sana rais wa Tanzania Dr.Samia...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Muhimu kwetu sote kwa pamoja ni mustakabali wa vijana wetu kutokana na uwezo mkubwa walionao. Afrika inasimama kama bara - Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    Muhimu kwetu sote kwa pamoja ni mustakabali wa vijana wetu kutokana na uwezo mkubwa walionao. Afrika inasimama kama bara changa zaidi duniani; hata hivyo, kila mwaka, mamilioni ya vijana wa kike na wa kiume huingia kwenye soko la ajira kutafuta fursa ambazo hazipo, - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Waadventista Wasabato lamshukuru Rais Samia kwa msamaha wa kodi

    ๐—ž๐—”๐—ก๐—œ๐—ฆ๐—” ๐—Ÿ๐—” ๐—ช๐—”๐—”๐——๐—ฉ๐—˜๐—ก๐—ง๐—œ๐—ฆ๐—ง๐—” ๐—ช๐—”๐—ฆ๐—”๐—•๐—”๐—ง๐—ข ๐—Ÿ๐—”๐— ๐—ฆ๐—›๐—จ๐—ž๐—จ๐—ฅ๐—จ ๐—ฅ๐—”๐—œ๐—ฆ ๐—ฆ๐—”๐— ๐—œ๐—” ๐—ž๐—ช๐—” ๐— ๐—ฆ๐—”๐— ๐—”๐—›๐—” ๐—ช๐—” ๐—ž๐—ข๐——๐—œ Bodi ya Wadhamini wa Kanisa la Waadventista Wasabato imemuomba Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Ghati Zephania Chomete (Mb), kufikisha salamu za shukrani kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Tunataka kuwa miongoni mwa wazalishaji 10 bora wa chakula duniani

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania inalenga kuwa miongoni mwa wazalishaji 10 bora wa chakula duniani kutokana na uwekezaji ambao umefanyika kwenye sekta ya kilimo. โ€œMatarajio yetu ya muda mrefu yameelezwa katika Dira ya Maendeleo Tanzania ya 2050. Chini ya lengo la kwanza...
  5. JamiiForums Tanzania Ziara ya London ya Mwigulu Nchemba: Serikali ya Uingereza yajificha. Hakuonana hata na mmoja.. Hakupata muwekezaji hata mmoja

    "Watanzania Wanahitaji kujua ni nani atakuja Tanzania, ataleta kiasi gani cha fedha, atajenga nini, ataajiri Watanzania wangapi na mradi huo utaanza lini. Hapo ndipo mafanikio ya ziara ya London yatakapoweza kupimwa kwa ushahidi si kwa idadi ya mikutano iliyofanyika na kututumia picha za...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba na Mwenza wake Bi. Neema Nchemba wakiwa pamoja na Mama Maria Nyerere katika Misa Takatifu ya Kumbukizi ya J. Nyerere

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba na Mwenza wake Bi. Neema Nchemba wakiwa pamoja na Mama Maria Nyerere katika Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius K. Nyerere, iliyofanyika leo Oktoba 14, 2026 Kanisa Kuu la Mtakatifu Epifania, Sumbawanga, Rukwa. Katika Ibada hiyo...
  7. H

    JamiiForums Tanzania ๐—ž๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ๐—ฏ๐˜‚ ๐—›๐—ฎ๐—น๐—บ๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐˜‚๐—ฟ๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐— ๐—ท๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—•๐—ฎ๐—ด๐—ฎ๐—บ๐—ผ๐˜†๐—ผ Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano w

    ๐—ž๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ๐—ฏ๐˜‚ ๐—›๐—ฎ๐—น๐—บ๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐˜‚๐—ฟ๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐— ๐—ท๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—•๐—ฎ๐—ด๐—ฎ๐—บ๐—ผ๐˜†๐—ผ Kunogile Ukae Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. ๐Ÿ•ฐ๏ธ 4:00 Asubuhi. ๐Ÿ“† Ijumaa - 16 Oktoba, 2026. Ratiba ya Ziara 1. Kutembelea eneo la uwekezaji TISEZA. 2. Kukagua ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. 3. Kuzungumza...
  8. H

    JamiiForums Tanzania British Airways kurejea Tanzania, kuanza safari Mei 2027

    Kampuni ya ndege ya British Airways imetangaza kurejesha safari za moja kwa moja kati ya Uingereza na Tanzania kuanzia Mei 2027, hatua inayolenga kuongeza usafiri wa watalii na wasafiri wa kibiashara kati ya mataifa hayo. Tangazo hilo limetolewa Oktoba 7, 2026, na Mkuu wa Masoko wa British...
  9. H

    JamiiForums Tanzania ๐——๐—ž๐—ง. ๐— ๐—ช๐—œ๐—š๐—จ๐—Ÿ๐—จ ๐—”๐—™๐—”๐—ก๐—ฌ๐—” ๐— ๐—”๐—ญ๐—จ๐—ก๐—š๐—จ๐— ๐—ญ๐—ข ๐—ก๐—” ๐— ๐—”๐—ž๐—”๐— ๐—จ ๐— ๐—ช๐—˜๐—ก๐—ฌ๐—˜๐—ž๐—œ๐—ง๐—œ ๐—ช๐—” ๐—•๐—จ๐—ก๐—š๐—˜ ๐—Ÿ๐—” ๐—ฉ๐—œ๐—˜๐—ง๐—ก๐—”๐— 

    ๐——๐—ž๐—ง. ๐— ๐—ช๐—œ๐—š๐—จ๐—Ÿ๐—จ ๐—”๐—™๐—”๐—ก๐—ฌ๐—” ๐— ๐—”๐—ญ๐—จ๐—ก๐—š๐—จ๐— ๐—ญ๐—ข ๐—ก๐—” ๐— ๐—”๐—ž๐—”๐— ๐—จ ๐— ๐—ช๐—˜๐—ก๐—ฌ๐—˜๐—ž๐—œ๐—ง๐—œ ๐—ช๐—” ๐—•๐—จ๐—ก๐—š๐—˜ ๐—Ÿ๐—” ๐—ฉ๐—œ๐—˜๐—ง๐—ก๐—”๐—  Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, Oktoba 5, 2026, amefanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Vietnam, Mhe. Nguyen Hong Dien, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), kando ya Mkutano wa 153 wa Umoja...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu afanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Vietnam

    ๐——๐—ž๐—ง. ๐— ๐—ช๐—œ๐—š๐—จ๐—Ÿ๐—จ ๐—”๐—™๐—”๐—ก๐—ฌ๐—” ๐— ๐—”๐—ญ๐—จ๐—ก๐—š๐—จ๐— ๐—ญ๐—ข ๐—ก๐—” ๐— ๐—”๐—ž๐—”๐— ๐—จ ๐— ๐—ช๐—˜๐—ก๐—ฌ๐—˜๐—ž๐—œ๐—ง๐—œ ๐—ช๐—” ๐—•๐—จ๐—ก๐—š๐—˜ ๐—Ÿ๐—” ๐—ฉ๐—œ๐—˜๐—ง๐—ก๐—”๐—  Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, Oktoba 5, 2026, amefanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Vietnam, Mhe. Nguyen Hong Dien, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), kando ya Mkutano wa 153 wa Umoja...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, alivyowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) ambapo amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, alivyowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) ambapo amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani IPU. Mkutano huo unaofanyika leo Oktoba 5, 2026 jijini Arusha...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Serikali imeweka kipaumbele katika kuwahudumia wenye uhitaji, Maafisa Maendeleo ya Jamii endeleeni kuvitambua na kuvisaji -Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    Serikali imeweka kipaumbele katika kuwahudumia wenye uhitaji, Maafisa Maendeleo ya Jamii endeleeni kuvitambua na kuvisajili vituo vya wenye uhitaji - Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amesema hayo leo 5 Oktoba, 2026 alipokuwa mgeni rasmi katika harambee...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu Mgeni rasmi Harambe ya Maendeleo ya KKKT

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo, Jumatatu Oktoba 5, 2026, ni mgeni rasmi katika harambee ya kuchangia maendeleo ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, ikiwemo kuboresha vituo vya huduma na shughuli za diakonia. Harambee hiyo inafanyika...
  14. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Tuombe Mungu atuepushe na El Niรฑo

    Tukumbuke pia kuendelea kumuomba Mungu atuepushe na tishio hili ambalo tumethibitishiwa kwamba ni jambo lililotathminiwa kitaalamu la uwezekano wa kuwepo elinino na tutumie muda wetu wa ibada kuendelea kumuomba Mungu aepushe. Mungu, yeye anaweza kutuepusha na haya yote. Dkt. Mwigulu Nchemba...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba asimikwa rasmi kuwa Kanoni Mlei wa Kanisa la Anglikana Tanzania

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Jumapili, Oktoba 4, 2026, amesimikwa rasmi kuwa Kanoni Mlei (Lay Canon) wa Kanisa Anglikana Tanzania katika ibada iliyofanyika katika Kanisa Kuu Anglikana la Kristo Mfalme Chanika, Dayosisi ya Handeni, mkoani Tanga. Dkt. Mwigulu amesimikwa katika wadhifa...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Mwigulu asisitiza umuhimu wa kurasimisha taratibu za ushirikiano katika shughuli za uchimbaji wa madini

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesisitiza umuhimu wa kurasimisha taratibu za ushirikiano katika shughuli za uchimbaji wa madini kwa kutumia mikataba rasmi, akisema hatua hiyo itasaidia kuweka wazi makubaliano ya pande zinazohusika na kuzuia migogoro. Ametoa kauli hiyo wakati akizungumza...
  17. JamiiForums Tanzania Mwigulu: Polisi msifumbie macho watu wanaojichukulia sheria mkononi

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba amelitaka Jeshi la Polisi nchini kutofumbia macho watu wanaojichukulia sheria mkononi wakati mwingine hata dhidi ya vyombo vya dola. Ametoa wito huo akiwa Mwibara mkoani Mara leo Oktoba 2, 2026 akieleza kuwa vitendo hivyo...
  18. JamiiForums Tanzania Nani yupo nyuma na Kuvuja kwa inayodaiwa kuwa โ€œConnectionโ€ ya Mwigulu Nchemba? Tutajuaje si feki?

    Je, kuna mtu ana uhakika kama ni halisi? Vipi kama ile Connection ni Ai(Akili kinemba).? Kama ni kweli, kwanini anakosa umakini vitani? Ataficha wapi sura yake?๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ Tatu: kama kweli Polisi walimshikilia Mbunge wa CCM Mariam Ditopile kwa wiki mbili kwa kinachodaiwa ni tuhuma za kwamba alihusika...
  19. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba awalainisha madereva. Wasitisha mgomo ulodumu kwa siku mbili

    Mwigulu Nchemba amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa madereva wa mabasi na malori nchini. Viongozi hao wamekubali kusitisha mgomo uliodumu kwa siku mbili, ili huduma za usafiri ziendelee kama kawaida. Hata hivyo, serikali imeahidi kuzifanyia kazi changamoto zinazowakabili madereva...
  20. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba kutinga mchana huu Stand ya Magufuli. Kutatua mgomo wa madereva

    Mwigulu Nchemba kukagua hali ya usafirishaji wa abiria na kuzungumza na wananchi pamoja na madereva. Ziara hiyo itafanyika leo, Jumatano, 30 Septemba 2026, katika Kituo cha Mabasi Magufuli, Mbezi Luis, Dar es Salaam. Anayejiita Waziri wa mambo ya ndani Patrobas Katambi hana mvuto wala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ