Wakuu, andiko hili ni fupi sana na nimatumaini yangu Mungu anabariki popote mlipo.
Leo nipo na ujumbe kwa Rais wa Zanzibar, na kabla ya ujumbe, kwanza nimpe pole kwa kuondokewa na baba mzazi, ambaye kwetu sisi Watanzania tunamtambua kama baba wa pili wa nchi hii. Pia, nimtakie mfungo mtukufu...