Nafasi za Ajira
Kituo: Wakuru Specialised Clinic
Mahali: Temeke, karibu na Hospitali ya Temeke
Wanahitajika wafanyakazi wafuatao:
Daktari Bingwa (Internal Medicine)
Nurse (ANO)
Laboratory Technician
Pharmacy Technician
Kwa mawasiliano zaidi, tafadhali piga simu kupitia namba: 0783070792.