Naomba kuuliza kwanini nauli za kutoka Dar kwenda mikoa mingine zinatofautiana na zile za kurudi hasa vituo vya njiani kwa mfano, hivi majuzi nilipanda bus moja kutoka Morogoro kwenda Mbeya nikalipa Tshs 45,000, jambo la kushangaza wakati narudi nilipokwenda kukata tiketi kwenye bus lilelile...