Mtanange mkali Leo.
Kinyanganyiro: Ligi Kuu Tanzania Bara - NBC
Mwenyeji: Singida Black Stars ya Singida
Vs
Mgeni : Simba SC ya Dar es salaam
Uwanja: CCM Liti Singida.
Muda : Saa 10Jioni.
Tukutane saa 10 Jioni kwa Maelezo ya mchezo huu.
VIKOSI VYA LEO.
Updates...
00' Mpira umeanza...
Happy Holiday! Natumaini mnaendelea vizuri wana-Jamiiforums. Msukumo wa kuandika andiko hili umetokana kuangalia mechi tatu, pale ambapo Yanga amekutana na Mashujaa, Tanzania Prisons na hii mechi yake ya mwisho dhidi ya Dodoma Jiji.
Nimekua shabiki kindaki ndaki wa mpira wa Tanzania...
Simba Sports wanashuka dimbani kwenye soku ya mkesha wa krisimasi kumenyana na maafande wa JKT katika dimba la KMC
Je, Dozi ya goli 5 alizotoa Simba kwa Kagera ataendeleza kwa maafande?
Mechi ni Saa 10:15 jioni kupitia Azam Sports 1HD
Usikose uhondo huo
Katika siku nyingine, siku ya Jumapili ya tarehe 22/12/2024 timu ya Young Africans almarufu wananchi watakuwa dimbani KMC complex kuzitafuta alama tatu dhidi ya Tanzania prisons almarufu kama wajela jela.
Timu ya Young Africans inajitafuta kurudi kwenye makali yake baada ya kupata vipigo...
Mtanange mkali sana leo.
21/12/2024.
MCHEZO WA LIGI KUU TANZANIA BARA.
Uwanja : Kaitaba Stadium Kagera.
Mwenyeji : Kagera Sugar FC
Mgeni : Simba SC ya Dar Es Salaam
Muda : 10 jioni.
KIKOSI.
KIKOSI CHA SIMBA
Klabu ya Coastal Union imethibitisha kuvunja mkataba na aliyekuwa mlinda mlango wao, Ley Ngumbi Matamp ambaye alikuwa golikipa bora wa msimu wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara msimu uliopita kwa makubaliano ya pande zote mbili.
Taarifa ya leo Desemba 10, 2024 ya leo kupitia ukurasa rasmi wa klabu...
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰
🏆 #NBC Premier League
⚽️ Namungo FC 🆚 Young Africans SC
📆 30.11.2024
🏟 Majaliwa Stadium, Ruangwa Lindi
🕖 6:30PM(EAT)
KIKOSI CHA NAMUNGO KINACHOANZA
KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA.
Tukutane hapa kwa Updates...
Updates...
18:31 Mpira umeanza kwa kasi ya Wastani hapa .
Umiliki ni...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam imewaachia huru wafanyakazi wawili wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Johnson Kato (57) na Gasper Kimaro (30) waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu.
Mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Beda Nyaki, Wakili wa Serikali...
Vinara wa Ligi Kuu ya NBC Mnyama Mkubwa Mwituni, Simba Sports leo watashuka dimbani kupambana dhidi ya wenyeji wao Pamba Jiji katika mchezo utakaopigwa katika dimba la CCM Kirumba huko jijini Mwanza.
Pamba Jiji ataweza kumzuia mnyama? Je, Simba ataweza kuendeleza wimbi la ushindi?
Wana Simba...
Wakuu kuna mahali nadai senti zangu sasa asubuhi nilitaarifiwa kwamba wametuma muamala kutoka akaunti yao ya CRDB kuja akaunti yangu ya NBC. Nimepita mchana kwa wakala pesa haijaingia. Nikapiga customer care NBC wakasema muamala haujawasili. Namuuliza mdada wa customer care kwa kawaida...
Kwa kitendo chao cha kumkanda utopolo kwake tena dar es salaam kwenye uwanja wa kapeti wakiwa na mashabiki wao na wachezaji wao wote muhimu, tunasemaje Tabora United mnastahili heshima ya kuitwa timu kubwa hapa Tanzania. Tukumbuke timu kubwa hapa Tanzania zilikuwa ni mbili tu: Simba SC na Ihefu...
⚽️ Young Africans SC🆚Azam FC
📆 02.11.2024
🏟 Azam Complex
🕖 12:00 Jioni
Kikosi kinachoanza dhidi ya Azam FC
Mpira umeanza
Dakika ya 3
Yanga SC wanashambulia kwa kasi
Dakika ya 5
Dube anakosa nafasi ya wazi
Dakika ya 14
Max anafanyiwa madhambi
Dakika ya 17
Aziz k anakosa nafasi ya wazi...
Msikilizaji anataka kusikilizwa mpira kuanzia mwanzo hadi mwisho na Kila tukio uwanjani. Kuna wakati mpira umenza lakini TBC hawatangazi mpira bali wanatangaza vitu vyao vingine kabisaaaaaa (wadhamini wao). Wanakuja kutangaza hata orodha ya wachezaji wakati mpira una dk 5.
Kwanini matangazo ya...
Yaani baada ya kuona TFF imemchagua Kayoko kuwa mwamuzi katika mechi ya Derby ya Kariakoo moja kwa moja nikajua Simba hashindi mechi hii.
Yaani kila nikirejea picha za tukio ambalo ameizawadia Yanga freekick sioni kosa alilolifanya Okejepha. Na baada ya kuona Chama ameingia na anaenda kupiga...
Nimeona mtandaoni Mkuu wa kitengo cha Digital, Crown Fm ameandika kuwa Mara ya mwisho Yanga SC kufungwa kwenye Ligi Kuu ni Oktoba 4, 2023 bado siku 3 itimize mwaka mmoja pasipo kupoteza mchezo kwenye Ligi Ligi Kuu ya NBC PL.
Eti wadau huyu anasema kweli au anatupanga maana huwa naona kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.