Kwa wanaojua mpira vizuri Yanga ya sasa imebadilika Nyumbani wanaupiga mwingi ila ugenini wanaupiga mwingi zaidi,binafsi naona Mamelod watapigwa chuma kuanzia 2 mpaka 4 na hamtaamini.
Nawapongeza simba kwa mchezo mzuri,tutambue mpira si bahati ni tekiniki.