njia

Tao-Njia is a studio album by American jazz trumpeter Wadada Leo Smith which was recorded in 1995 and released on the Tzadik Records' Composer Series.

View More On Wikipedia.org
  1. Uhamisho wa watumishi kwa njia ya Mfumo tunaomba u-refrect teknolojia mpya, kwa maana ya Kasi na uharaka zaidi

    Nitumie fursa hii kuishukru serikali yetu kwa huu mfumo wa ESS kwakweli nasema kutoka moyoni mwangu. God bless this 6th regime
  2. Njia ya kwenda mbinguni ni nyembamba inahitaji utulivu, umakini na utilivu! No shortcut!

  3. C

    Msaada kuhusu kusoma kwa Njia ya Masafa (Distance Learning)

    Wakuu, nipo huku Mtwara ndani ndani,natamani kujiendeleza kielimu ngazi ya degree kwa kozi za Afya. Naomba mnielekeze chuo kizuri cha nje ya nchi ambacho kinatoa elimu kwa njia ya masafa na kinachotambulika na TCU. Napokea pia ushauri wa kozi nzuri za Afya ambazo mtu anaweza kusoma kwa njia ya...
  4. Njia rahisi za kuyapima mahusiano yako

    Kila mtu anataka kuwa katika upendo, lakini si kila mtu yuko tayari kujitolea kweli. Hapa kuna njia rahisi za kujaribu ikiwa ni upendo wa kweli: Mtihani wa Ukweli: Mapenzi ya kweli ni ya uaminifu. Ikiwa unaficha mambo kutoka kwa mpenzi wako, inaonyesha kuwa huna upendo wa dhati. Kuwa...
  5. Mnatumia njia gani kupata visa ya USA na CANADA?

    Maana sielew, nimeomba zaidi ya mara mbili kwanzia mwaka Jana, nchi ya kanada na marekani kwa wakati tofauti kotee nakuwa unsuccessful Ndugu zangu mnafanyaje kupata wenzetu maana Kila kigezo ninacho mpaka bank statement yangu imenyooka vzr tu Ila linaenda lofa la kigoma porini huko linapata...
  6. Pre GE2025 CCM wamchangia Lissu Milioni 5 atengeneze gari lake. Lissu azipokea

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi amewaongoza wajumbe wa NEC alioongoza nao ziarani mkoani Mwanza na wanachama wa chama hicho mkoani humo wamemchangia Shilingi Milioni Tano Makamu Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA, Tundu Lissu ili kufanyia matengenezo gari yake. Pia...
  7. KERO Boda boda waache kupita katika njia za watembea kwa miguu

    Katika kuadhimisha wiki ya nenda kwa usalama barabarani 2024. Tuitumia wiki hii kuwalinda watu wanaotembea kwa miguu katika njia maalumu zilizotengenezwa kwa ajili ya wao kutembea kwa uhuru. Maana wapo boda boda na baadhi ya bajaji ambao sio wastaarabu huacha njia zao na kutumia njia maalumu...
  8. P

    Njia za kuzuia wizi kwenye Biashara yako

    Njia za kuzuia wizi kwenye Biashara yako. Wizi ni miongoni mwa vitu vyenye kurudisha sana nyuma Biashara zetu. Kuweza kudhibiti wizi kwenye Biashara sio kazi nyepesi kabisa. Lakini unatakiwa kupambana sana mpaka ukae sawa kwenye Biashara yako. La sivyo wewe utateseka kisha wafanyakazi wako...
  9. Njia ya gharama nafuu na uhakika ya kusafirisha mizigo kutoka Dar kuja Mwanza

    Wakuu Nafanya biashara ya kuchukua mzigo Dar. Changamoto ni gharama za usafiri unajikuta faida inaishia kwenye nauli. Nielekezeni njia rahisi ya kusafirisha mizigo kutoka Dar kuja Mwanza kwa bei rahisi ila uhakika. Achana na magari vishoka, wale wa kuunganisha unganisha wezi sana.
  10. Unatumia njia gani kutuliza hasira zako?

    Hello my people,kama tujuavyo kila mwanadamu ana hasira by nature hasa pale anapokwazwa na mtu au jambo fulani ambalo halimpendezi. Binafsi nikiwa na hasira huwa naenda kulala nasinzia nikija kuamka walau zimepungua, au kama mtu akijua amenikera basi asiendelee kuongea. Je wewe una-handle vipi...
  11. Uliwahi kuwa Tinnitus na ukapona? Tusaidie njia ulizotumia

    Kuna hii hali masikio kupiga kelele kama vile kengele, muungurumo, etc Inaweeza kuambatana na masiko kuuma, pressure masikioni, kichwa kuumwa, etc. Kama uliwahi kupatwa na hili janga ukapona tunaona utusaidie njia ulizotumia. Karibuni
  12. M

    Njia ya kudhibiti kunguru wananirudisha nyuma

    Mm nimfugaji wa kuku na Bata ila napata changamoto ya kunguru kula vifaranga na mayai bandani wakimuona kuku katoka kutaga wao wanaingia yani ni mwendo wa kuviziana tu niwahi mm Yai au kunguru nimejaribu kuwa winda na manati nimefeli nimeweka sumu kwenye mayai niliyoyatoboa lakini bado wanadunda...
  13. K

    Felix Simbu: Nilikuwa siijui Njia vizuri kwenye Olympic Paris 2024

    Nimemskia mwanariadha wetu Felix Simbu Clouds Fm akisema alikuwa haijui njia vizuri alikuwa anakimbia tu kuwafuata wengine na akafanikiwa kumaliza nafasi ya 17 kwenye Marathon. Huyu jamaa siyo mara ya kwanza kuleta vimbweka C.c GENTAMYCINE Serikali imkamate na kumuhoji Felix Simbu kwa...
  14. Pre GE2025 Njia nyeupe kwa Ezekia Wenje makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa

    ikiwa hali ya kisiasa nchini na mipango mikakati kuelekea uchaguzi mkuu 2025 itakwenda kama ambavyo iko hivi sasa, basi ni dhahiri mgombea makamu Mwenyekiti Chadema taifa atabaki Ezekia Wenje pekee.. Je, ni ishara ya pumzi mpya, fikra mpya, mawazo mapya, harakati mpya na zama za hayati Chacha...
  15. Alphonce Simbu: Hatukwenda kuiangalia njia(Olimpiki 2024), tuliiona tu kwenye Mtandao

    Mwanariadha Alphonce Simbu alipotua Nchini akitokea Ufaransa alihojiwa na hii ni sehemu ya maelezo yake kuhusu sababu za yeye kutofanya vizuri na kushinda Medali kwenye Michezo ya Olimpiki 2024 Jijini Paris: "Kwanza kabisa tulitakiwa tujijue njia ambazo tutatumia kukimbia hata miezi miwili...
  16. T

    Njia rahisi ya kuangalia AzamTV Max kwenye Android/Google TV

    Hii ni kwa ajili ya TV na device zinazotumia Android/GoogleTV tu hii haisupport app ya Azam bila shida nyingi za sideloading. Mfano ni Chromecast, Mi TV stick/box, baadhi ya TV za Sony, Hisense, TCL, Nvidia Shield etc. Hii haihusu TV za Samsung (Tizen), AppleTV, LG (WebOS), VIDAA OS, na TV Box...
  17. Natumia njia Gani kati ya hizi kupokea hela?

    Kuna hela kidogo nimezipata mtandaoni Sasa Kuna hizi njia za ku withdraw kama Kuna anayejua inayosupport apa bongo anipe details 👇
  18. A

    KERO Treni SGR imeziba njia za wa kazi Dodoma Makulu

    Ni jambo la kusikitisha kwa reli ya kimataifa kama hii ambayo inadaiwa kutumia viwango vya kimataifa kuziba njia za wakazi wa Makulu na kusababisha watu kuhama kwa muda kwani hakuna njia ya kuingilia wala kutokea serikali ifike haraka kutatua changamoto hio kwa wakazi wa Makulu Dodoma mjini.
  19. Pamoja na kipigo chote hicho, jeshi la Marekani lasema halitaweza kuwazuia Houth kwa njia ya vita.laomba itafutwe njia mbadala kupambana nao.

    Tamko la aina hiyo limeshatolewa huko nyuma na makamanda wa jeshi la Marekani na ikaonekana kama ni utani.Kwa mara nyengine limetolewa na kamanda mkuu wa vikosi vya wanamaji wa Marekani eneo la mashariki ya kati,vice admiral George Wikoff. Katika hoja zake kamanda huyo amekumbusha kuwa vikosi...
  20. G

    Trump njia ni nyeupe, Biden na Harris wanaenda kuangukia pua, Waliyataka wenyewe hawana pa kulalamika

    Ni baadhi ya vitu mbavyo Biden na Harris sambamba na Democrats wamevifanya vitavyomsafishia njia Trump. Mfumuko wa bei, Maisha yamekuwa ghali zaidi kipindi cha Biden na Harris Hakuna kitu kinawaumiza wamarekani middle class na class za chini zaidi kama mfumuko wa bei. Mafuta, umeme...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…