Kwa mliofanikiwa kuacha kuzagamua wake za watu mliwezaje wakuu?
I know cheap is expensive I need to get rid of such behavior
NB: Wake za watu ndio wameharibu hii taasisi ya ndoa kwa kiwango kikubwa maana kila ukimjaribu mke wa mtu imo na wengi hawatuambii kuwa wameolewa.
Kumekua na kasumba ya wakina dada wa leo kuwa na vigezo vingi sana pale wanapoangalia mwanaume wa kuingia nae kwenye mahusiano ya kimapenzi. Moja ya kigezo pendwa cha wakina dada ni hitaji la kuwa na mwanaume wa maana, hatujawahi kuambiwa mwanaume wa maana ni mwenye sifa gani ila possibly hapa...
Kitendo cha TUCTA kudhani kuwa wanamjibu Heche kuhusu wafanyakazi kuporwa haki yao ya mafao kwa kumuambia eti wamekubaliana na serikali na mjadala umefungwa hiyo ni kuwadharau wafanyakazi.
Heche hahusiki na pensheni za wastaafu ila aliongea akiwa na haki ya kutoa maoni dhidi ya wafanyakazi...
Hahahaaaaa wabongo bhana cjui ni nani anaewauzia tumbaku yaan kabla hamjavaa sox mnaanza kuvaa viatu alfu ndo mvae sox kwel viatu
vichwa box rafu Leo mmechezea sharubu za rock city sa nawafanya wafu.
Hivi kwann watanzania ni watu wa ajabu Sana ujinga ukabila ujuaji na ushamba ambao wametoka...
Hawa Sukuma Gang kila kukicha ni kukosoa kuwa Serikali ya Samia ina ufisadi ila Chadema hawaikosoi
Chadema wakikosoa tena hao hao utawasikia wakiiponda Chadema kuwa ni wapiga dili sababu walimpinga Magufuli
Wakiipongeza Serika utawasikia wakisema wamelambishwa asali, yaani wapo kama kuku...
Mmeajiriwa kufundisha. Nendeni mkafundishe. Hilo ndilo jambo linalowapa mshahara. Acheni kujifanya mna uchungu sana na watoto wa wenzenu.
Huo ni wendawazimu. Nyie fundisheni tu masomo. Tabia si kazi yenu ku deal nazo. Kama mtoto ameamua kutokuja shule mwachieni hilo jukumu mzazi wake kuhangaika...
Kwa maelezo ya Mbowe ametumia mabilioni ya fedha kuijenga CHADEMA. Kwa bahati nzuri hakuna anayekanusha haya kutoka kwa wana CHADEMA wenzake.
Swali langu wengine mchango wao ni upi au ni kama KUPE tu kwenye ng'ombe aliyenona?
Kupata mtu anayeweza kuvaa viatu vyako hakuna, sasa marafiki wengi wamejaa kuangalia unacho tu sio mengine. Omba sana ufirisike ndio utajua aina ya viatu.
Dunia tunaishi maisha ya kuangalia unacho tu mpaka mnauzi jamani, tupumzishane wakati mnatupiga vita mlitegemea kusaidiwa na nani.
Dada anasema amezaa na mumewe mtoto mmoja. Akapata kakijana mchepuko aka-fall in love nako. Baadaye akapata wazo kuwa asababishe kuvunjika kwa ndoa ili abaki na kakijana mchepuko.
Wakapanga wamwekee dawa ya kuua nguvu za kiume mumewe. Akafanya hivyo. Mume miaka 3 mashine haisimami. Si kwa ku...
Ashakum si matusi! Wivu hauwasaidii nyie watu ukweli lazima usemwe kabisa na na ni ukweli ni safi ila unauma ila ndiyo hivyo lazima niuseme tu no way kabisa wakuu.
Juzi kila mwanafamilia kwetu ameingiziwa milioni miambili kwenye akauti yake miongoni mwao ni mimi nimelamba hiyo pesa kutokana na...
Mtu anakuja na list ya maeneo yote ambayo ameyasikia sikia. Ameandika anataka akifika ukamtembeze list yake unakuta
1. Beach Kidimbwi
2. The Great
3. Daraja la Ubungo
4. Daraja la Kigamboni
5. Daraja la Manzese
6. Daraja la Coco/Tanzanite
7. Beaches zote za Kigamboni
Etc. Halafu shida akienda...
CHAMA cha Mapinduzi CCM kinapaswa ndio kiwe chama cha kwanza cha siasa kufanya mkutano mkubwa wa hadhara katika Jiji la Dar es Salaam na baadaye Mwanza, Mbeya na Arusha kama sehemu ya kuzindua mikutano ya hadhara iliyotangazwa leo na Rais Samia Suluhu Hassan.
Je, ni maeneo gani ungependa CCM...
Yaani makubwa haya kama hujui kuna mengi ya ajabu sana kwenye hii dunia.
Kuna wakati unashangaa Lakini ndio ukweli wenyewe. Binadamu ana namna mbalimbali za kujippatia Riziki.
Utakuta vishoka. Hii ya vishoka mahakamani inatia woga. Wakati wewe unahangaika kutafuta Riziki kkwa njia zako wapo...
Tuendelee na mada zetu za kukera you know how much you know hahahahaha nyie si wazazi wenu si waliamini mjini msingi kiuno? Miaka Ile DDC Mlimani Park walikuwa hawakosekani?
Niwaambie kile kipindi wazazi wa wenzenu walikuwa wananunua Maplot huko kedekede hahahahaha.
Kwangu mimi sina haja hata...
Salam wana JF.
Nina matumaini yangu wote mpo salama. Napenda kuwaeleza juu utendaji dhaifu wa mamlaka ya Ngorongoro. Jana jioni magari mawili (fuso 1 na basi 1) yalikwama na kufunga barabara, iliyopelekea wageni waliokuwa wanataka hifadhi ya Serengeti kuelekea, Ngorongoro crater, Karatu na...
Kudai haki, demokrasia, mabadiliko nk kwa njia za amani siyo kosa kokote kule duniani.
Zaidi sana Chadema mmekuwa mkidai kuheshimiwa kwa katiba ya nchi iliyopo. Kwenye madai hayo mkakubali hadi kuingia kwenye maridhiano Ili kuiweka nia yenu hadharani.
Kila mwenye macho au kujali amemwona aliye...
Wiki iliyopita Morocco waliotengeneza historia ya kuwa Taifa la kwanza Afrika kuingia nusu fainali ya Kombe la Dunia. Hatua hiyo imeifanya Simba wa Atlas kutengeneza historia ya soka lakini sasa inaisubiri Ufaransa katika nusu fainali.
Morocco wamebakisha mechi mbili tu kunyakua kombe la dunia...