nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nafanya delivery ya kuweka Playlist ya nyimbo za dini kwenye Flash ambayo utasikiliza kwa siku tano hujamaliza

    Nafanya delivery ya kuweka Playlist ya nyimbo za dini kwenye Flash. Ukiplay playlist nzima utasikiliza kwa siku tano hujamaliza. Sifa ya Playlist Ni nyimbo zote nzuri sana pengine hujawahi kusikiliza. Kwakweli utaburudika utaabudu kufurahi na kupata amani ya moyo wako. Piga hii namba...
  2. Jiji ni barabara nzuri, nje ya hapo ni vijiji

    Najua kwa hakika kabisa kwamba, kupanda hadhi kwa maeneo, mfano mji kuwa manispaa na manispaa kuwa Jiji Kuna vigezo vyake. Mfano , idadi ya watu, Pato la eneo husika, na sababu nyingine nyingi za kisiasa ambazo sijui kwa hakika zinaingiaje kwenye kupandisha eneo hadhi. Sababu zao zinaweza kuwa...
  3. Gari nzuri na dereva kutoka Dar mpaka ifakara

    Habari Tarehe 4 April Nina safari ya kwenda Ifakara na mgeni wangu. Tunaenda ifakara,kutembelea baadhi ya project tunalala na kesho yake kurudi. Nahitaji usafiri 4 wheel,dereva mzoefu na bei ya kwenda na kurudi jumla. Tutakua watatu au wawili. Mwenye kuweza nicheki Dm au comment nikucheki.
  4. Inasemekana hii ndio gari nzuri ya kuanza nayo maisha.

    Kwa sisi wazee wakungaunga mtonyo wajuzi wanasema ist ndio gari nzuri ya kuanza nayo maisha. Wajuzi wameenda mbali na kusema ulaji wa mafuta wa gari hili ni mdogo sana. Hata service zake ni uhakika.
  5. D

    GPA ya 3.9 ni nzuri kwenye fursa za kazi?

    Nilikua naomba kuuliza kama GPA ya 3.9 kama ni nzuri kwenye fursa za kazi
  6. Ni kweli mpira tumecheza vizuri kocha kafanya kazi nzuri ila quality ya wachezaji ni mbovu

    Kwa namna wachezaji wa simba walivyokuwa wanacheza ni wazi kabisa kocha hapa hatuna deni nae shida ni quality ya wachezaji wenyewe ni ya kuchechemea. Magoli 7 ya wazi yamekoswa yani alhy amepiga shoot moja na hilohilo limekuwa goli. Wachezaji wa simba mnawatukanisha sana viongozi wenu isee na...
  7. Hivi TV za Mewe ni nzuri kweli?

    Nilikuwa ninacheki Tv ya kununua, nikashangaa Mewe ni Tv cheap sana. Yani Hisense,LG, TCL inch 55' kariakoo wanauza around 1.2M halafu Mewe yenye sifa hizo hizo wanauza laki 8. Sasa nikajaribu kuwauliza wauzaji ila wakasema kuwa hazitofautiani hata ubora ni jina tu. Wanasema Mewe wako vizuri...
  8. Taarifa nzuri sana kutoka iringa usikose kusoma

    Kamwene: Hali ya hewa iringa leo ni nzuri sana hakuna Baridi na jua linawaka vizuri sana. Bei ya komoni ni sh 300 kwa lita 1, ulanzi ni sh 400 kwa lita, pia kuna promosheni ya Ulanzi kwa vilabu vyote Lita 2 inauzwa kwa sha 700. Bei ya kande kibakuli kimoja ni sh 100 pilipili bure, upande wa...
  9. Kwa bajet ya 500 napata simu gani nzuri?

    Wakuu kama kichwa kinavosema, Preferred brands ni Samsung na Xiaomi
  10. Jipatie Hereni na Cheni kwa bei nzuri sana

    Hellow Wapendwa wa Jamiiforums, Nina Hereni na cheni nzuri sana za kuvutia na hazifubai, kuwasha, n wala kuchubuka. Hereni utapa kutoka kwetu kwa kiasi cha Tsh 12,000 na cheni kwa sh 10,000. Wewe mdada jipende jamani,vaa pendeza uonekane,wakaka mnunulie mkeo,mpenzj wako au jata crush wako...
  11. Ni free VPN gani kwa sasa ni nzuri kutumia?

    Kuna App muhimu mahitaji kuinstall ila hila za wazungu wamezibana Kwa device IP za Africa. Nimeingia App store ili NI download VPN Kwa ajili ya kufunguwa zile App lakini kila nikisoma review naona malalamiko ni mengi, sasa nimekuja hapa Kwa Wataalam mnisaidie nipakuwe VPN ipi iko vizuri? bayankata
  12. U

    Kuna internation school Gani nzuri Dodoma

    Napata shida sana baada ya kuhamishwa kikazi kuja dodoma nahitaji international school mkoa wa Dodoma , Kwa mnaojua nisaidieni nipeleke wanangu
  13. Marekani kujenga bandari Gaza ni kuzuga. Hana nia nzuri na Wapalestina

    Watu wanakufa sasa kwa njaa Gaza na kuna malori ya misaada kwa mamia kwenye mipaka ya Gaza ambayo yameshindwa kuingia huko kikwazo ikiwa ni ruhusa ya Israel. Marekani kwa kujionesha kuwahurumia wanaokaribia kufa njaa imekuwa ikidondosha misaada michache ya michache ya chakula na sasa imesema...
  14. App nzuri ya kuscan kutoka picha kuwa pdf

    Wakuu nahitaji Application ambayo ni easy kutumia inayoweza kupadili Image/picture kuwa pdf tena kwa kuunganisha kabisa
  15. Katika Michezo 5 ya hivi Karibuni Mashujaa wana Form nzuri kuliko Simba na Msimamo unaonekana

    Hiii sio Bahati Mbaya. Diamond Platnum aliwahi Imba Nyimbo Moja inaitwa. Mdogomdogo.
  16. Je, Gari hii inafaa kwa kufanyia BOLT, Uber, Faras, Nk?

    Habari za muda huu waungwana. Kuna hii gari ndogo inayo fahamika kwa jina la Daihatsu Mira (year 2007/2008). Nimeipenda jinsi ulaji wake wa mafuta ulivyo mdogo kulinganisha na gari nyingi ndogo ndogo kama ist, vits, nk. Ningependa kufahamu kama gari hizi zinatambulika na Bolt, Uber, nk. Uimara...
  17. Hayati Ali Hassan Mwinyi alikuwa hadithi nzuri na ya mfano miongoni mwa Watanzania

    Nilikuwa darasa la pili mwaka 1992, Shule ya msingi Bungo pale Morogoro mjini, nilipomuona kwa mara ya kwanza Rais Ali Hassan Mwinyi akishuka kwenye helkopta viwanja vya Gymkhana kuelekea uwanja wa Jamhuri kwenye sherehe ya Mei Mosi, niliendelea kumsikia kwenye taarifa ya habari na kumsoma...
  18. K

    TV gani smart nzuri nitapata kwa bajeti ya 600k-700k?

    Wakuu msaada wenu hapa. Nataka nivute TV ya bei ndogo naomba ushauri wenu. Ipi nitapata kwa bajeti hiyo na itakuwa na ubora kiasi wa kuridhisha?
  19. 10 bora ya WanaCCM wanaokifanyia chama kazi kubwa hapa JF

    Wafuatao wanastahili maua yao kwa kazi kubwa ya kukipigania CCM hapa JF. Hawa ni legends wa Chama kilichobeba matumaini ya watamzania wote yaani CCM. Wamefanya kazi kubwa ya kukieneza chama JF kwenye upinzani mkali. 1. Lizaboni 2. Bia yetu 4. Lucas mwashambwa 3. MamaSamia2025 4. USSR 5. Etwege...
  20. R

    Phone4Sale Google Pixel 6A inauzwa kwa bei nzuri

    Sim aina ya Google Pixel 6A used but in good condition. Ram 6 GB Internal storage 128 GB Single sim card Size 6.1 inches Network 5G Bei 500,000/= Protector cover bure Nipo Tabata Segerea
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…