palestine

  1. Palestine vs California

    Tunamwachia Mungu
  2. LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran

    Nimeona nije na uzi maalum wa kupeana updates wa vita mpya inayotarajiwa kulipuka kati ya Iran na Israel muda wowote kuanzia sasa Inaonekana inayokuja mashariki ya kati itakua sio ya mchezo Yemen tayari keshaandaa wanajeshi laki 4 Iraq kuna wanajeshi laki 2 na nusu Hezbollah wapo zaidi laki...
  3. Israel inalindwa na maombi ya watakatifu ulimwenguni wakiwemo wa pPalestine na Wairan

    Dua, maombi, mifungo ya Mara kwa Mara ndiyo Siri ya mafaniko ya Israel. Taifa la Israel linaombewa Sana duniani na mataifa yote. Jambo la kushangaza hata wa Palestina na wairan wakristo wanaomba kwa ajili ya Israel. Moseb Hassan Yosep, mtoto wa muasisi wa HAMAS ni miongoni mwa wa Palestina...
  4. Ya Israel na Palestine: Nimeamini Dunia Hii Tunafuata Sheria za Wakubwa Pekee, Si za Mungu

    Habari wakuu wa Jf poleni na majukumu ya kazi na simanzi ya Janga letu la pale Kariakoo. Ukifuatilia muenendo wa Vita huko Gaza ni dhahiri kabisa nafsi yako itakuuma na Mauwaji ya haraiki kila kukicha huku Dunia ikikaa kimya pasi zuio au katazo lolote dhidi ya dhulma hii ya wana Gaza. Je ni...
  5. K

    Uonevu tangu 1948 Palestine

    Waziri mkuu wa Zamani wa Israel Golda Meir anathibitisha kuwepo kwa taifa la Palestine. https://youtube.com/shorts/EIIKBbl9F2U?si=Fq2OslOjpmOpTMuv
  6. Maajabu ya Israel (Taifa lipo katikati ya dunia )

    Taifa la Israel lipo katikati ya dunia kigeographia. Ni karibu kwenda Asia, Africa, Europe. Mungu alichaguwa eneo hili ili litumike kwa ajili ya kueneza habari zake Ilikuwa rahisi kuleta injili Africa, Asia na Europe. Mungu ni fundi Wapagani kama kawaida yao watabisha
  7. Unaweza kudhani huu ni uzio Trump alijenga border na Mexico ila upo katika Border ya Misri na Gaza. Wamisri hawataki ukorofi wa watu wa Palestine

    Wanajua show wakimbizi wa gaza waliofanya lebanon na Jordan. Wanajua jinsi wakimbizi wa gaza waishio marekani wanavyoondana na kuvunja amani huko. Wanajua #freepalestine ni utapeli
  8. Mataifa ya Afrika tulipa uhuru kirahisi, Palestine wanakwama wapi?

    Vuguvugu la Uhuru barani Africa lilianza baada ya ww2. Mwishoni mwa miaka ya 50s, tayari baadhi ya mataifa yakaanza kupata Uhuru tena kwa njia rahisi sana. By 1980, tayari karibia mataifa yote yalikuwa huru Nchi za Asia na Latin America, ni Hivyohivyo. Kwa utajili wa Africa, wazungu...
  9. Mtazamo wa PLO Lumumba kuhusu vita ya Israel na Palestine

    P.L.O. Lumumba ni profesa wa Kenya anayejulikana kwa maoni yake makali kuhusu masuala ya kisiasa. Katika mazungumzo kuhusu vita vya Israeli na Wapalestina, anasisitiza mengi muhimu kwa mataifa kwa ajili ya suluhu. Fuatilia ili upate ufahamu mzuri kuhusu mzozo huu.👇🏿 Mzozo wa Israeli na...
  10. Prince wa Saudi Arabia Salman: Mambo ya Palestine hayanihusu. Najihusisha zaidi ya Nchi yangu

    Prince wa Salman wa Saudi Arabia amesema kuwa hataki kujihusisha na mgogoro wa Palestine. Ana nchi yake na anapaswa aangalie mambo yanayohusu nchi yake. ========== Saudi Arabia's Crown Prince Mohammed bin Salman told US Secretary of State Antony Blinken that he does not personally care about...
  11. Hakujawahi kuwepo taifa la Palestine. Pata crush course kidogo

    1. Kabla ya Israeli, kulikuwa na mamlaka ya Uingereza, sio taifa la Palestina. 2. Kabla ya Mamlaka ya Uingereza, kulikuwa na Ufalme wa Ottoman, sio dola ya Palestina. 3. Kabla ya Ufalme wa Ottoman, kulikuwa na dola ya Kiislamu ya Wamamluk wa Misri, sio taifa la Palestina. 4. Kabla ya dola...
  12. Kwenye mzozo wa Palestine na Israel, wawili hawa, nani alikuwa na malengo muhimu dhidi ya mwenzake? Je, yametimia?

    Kuna maswali mengi sana kuhusu mgogoro wa nchi hii ya Israel na mamlaka ya bandari ya Palestine Palestine ndiyo wa kwanza kuvamia Israel, bila shaka hawa ndio walikuwa na malengo mahususi dhidi ya Israel Wapalestine wa Tandale, wao wanakwambia, baada ya Wazayuni kujibu mapigo, eti...
  13. Palestine Islamic Jihad kupeleka wapiganaji Lebanon kuongeza nguvu iwapo Israel itatangaza vita vya wazi na Hizbullah

    Kuishi kwa uhasama na jirani zako au kwa kuonesha kwamba wewe ni mbabe daima kuna madhara makubwa. Na hapa ndicho ninachopenda kukitolea taarifa kufuatia tangazo la kundi la Palestine Islamic Jihad (PIJ) kusema limeazimia kupeleka wapiganaji nchini Lebanon kupitia tawi lake la Syria ili...
  14. Hali ya Palestine itakuwa mbaya zaidi Trump akishinda uchaguzi Marekani

    Raisi Biden Ana msimamo wa wastani kuhusu suala la Palestine. Trump ni tofauti kabisa. Yeye ni pro Israel na Netanyahu kindakindaki. Kwa hivyo akishinda uchaguzi, Hali ya Palestine itakuwa mbaya zaidi. Trump anaunga mkono Vita dhidi ya Hamas Tuombe Amani
  15. Statement of ICC Prosecutor Karim A.A. Khan KC: Applications for arrest warrants in the situation in the State of Palestine

    On the basis of evidence collected and examined by my Office, I have reasonable grounds to believe that Yahya SINWAR (Head of the Islamic Resistance Movement (“Hamas”) in the Gaza Strip), Mohammed Diab Ibrahim AL-MASRI, more commonly known as DEIF (Commander-in-Chief of the military wing of...
  16. K

    Mwendesha Mashkata wa ICC aomba Hati ya Kukamatwa kwa Netanyahu na Waziri wake wa ulinzi kwa uhalifu wa kivita huko Palestine

    Mwendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita, ICC, ametoa maombi ya kukamatwa kwa Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na kiongozi wa Hamas katika Ukanda wa Gaza kwa uhalifu wa kivita. Mwendesha mashtaka, Karim Khan KC alisema kuna sababu za msingi za kuamini kwamba...
  17. G

    Vita vya Palestine na Israel ni vita ya kugombania Ardhi na mipaka yao kwa miaka maelfu Kabla ya ukristo na uislam, ni ujinga kudhani nivita ya kidini

    Wakuu kwa kifupi Vita ya Israel na Palestine ni ya Karne nyingi zilizopita kabla ya ukristo na dini nyingine Na kinachagombaniwa siku zote ni maslahi ya hayo mataifa mawili Na historia inaonyesha Kuna kipindi Israel inapigwa na kutaliwa na Palestine haswa pale wanapomwasi Mungu wao Na pia Kuna...
  18. N

    Nani anastahili huruma kati ya Israel na Palestine?

    Sina maelezo mengi wote wenye akili timamu tumeona biasness, hypocrites, na double standard nyingi kwenye huu mgogoro. Media coverages ni full of biasses kila mmoja amechukua upande, je nani anastahili huruma. Alianza kushambuliwa israel kisha akajibu mapigo je who deserve sympathy.
  19. Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

    Zanzibar watalii wanne wa Ki Israel wametimuliwa baada ya kuleta fujo ndani ya hotel baada ya kuona gari la manager wa Hotel Hiyo Ina stika za Free Palestine 🚨🇮🇱🇵🇸 FOUR ISRAELIS were KICKED OUT OF A HOTEL in Tanzania for complaining about the "FREE PALESTINE" badge on the manager's car. Four...
  20. Jeriko Palestine mji mkongwe zaidi duniani

    1. JERICHO -PALESTINE Baadhi ya wataalamu hudai kuwa huu ndio mji mkongwe zaid duniani...mji huu ulikuwepo zaidi ya miaka 6800 kabla ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo. Wataalamu wanasema kuwa hapo awali watu waliishi kwa kuhamahama kwahyo mji wa Jericho ndio ulikuwa wa kwanza duniani kwa watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…