pamoja

Pamoja FM is a community radio station based in the slums of Kibera in Nairobi, Kenya. It was started in 2007. The slum is a lively, vibrant place and is characterised by a continuous buzz of activity. Operating from a small office at the top of a tall building overlooking Kibera, the station has close ties with the community that is actively involved in contributing to the broadcast content. Pamoja FM has received its primary funding from USAid and it focuses on community issues through debates and feature broadcasts, as well as airing a range of music shows and news.

View More On Wikipedia.org
  1. Mbunge Mavunde Pamoja na Taasisi ya Dodoma Legends Watembelea Gereza Kuu Isanga Dodoma

    ▪️Washiriki Bonanza la Michezo na Askari Magereza ▪️Watoa misaada mbalimbali kwa wafungwa ▪️Wafanya ukarabati wa Jiko lq chakula kwa Wafungwa wanawake ▪️Jeshi la Magereza lapongezwa kwa matumizi ya Nishati Safi 📍Dodoma Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde, ametembelea Gereza...
  2. Tufanye kazi pamoja

    Ndugu kuelekea kuanza mwaka 2025 Unapopanga mafanikio yatakavoendelea mwaka 2025 Naomba tufanye kazi kwa pamoja Mimi nitakufanyia kazi yako kwa uaminifu 1. Kwa anaehtji kufanya biashra ya viwashio vya moto mikoani nitakutafitia, kukufungashia na kukutumia kukufikia popote ulipo kutoka...
  3. Pamoja na kuwa na kalenda yao, na dunia kuwa na AI kuweza kutengeneza kalenda isiyofugamana na imani hizi kwanini waislam hutumia kalenda ya kikristo?

    Japo haijulikani wala kupewa umuhimu na kila mwanadamu, waislam wana kalenda yao. Waliamua kuwa na kalenda yao wakidukua Ukristo ulioanza kuhesabu tangu alipozaliwa Yesu. Pamoja na yote hayo, kwanini waislam, kisheria, wanatumia kalenda ya Kikristo? Je ni halali kwa mataifa yote kutumia...
  4. Huyu mgombea Uenyekiti wa CHADEMA Taifa kila kiongozi mwenzake mwandamizi, pamoja na Wajumbe wa Mkutano Mkuu Taifa anawona kama madui au wabaya wake

    Ni wazi ana hamaki na mawenge ya kiwango cha juu mno. Anaweweseka sana na amekosa utulivu, hana uhakika wa amani na kwakweli kujiamini kwake, mdomo na makelele kuna pungua kadiri siku zinavyokwenda. Nadhani sasa amefikia ukomo wa kufunguka yaliyokua yakimzonga moyoni mwake baada ya kuyahifadhi...
  5. Kwa pamoja njooni tuwape Wachaga Maua yao

    Hawa jamaa wanahitaji pongezi kwa namna wanaaenda kwao kurudisha kilichopatikana pamoja na kujiweka tayari kwa kuingia mwaka mwingine. Hakika kwa misafara ya magari yanayoelekea Kaskakazini especially Moshi ni dhahira tunapasaa kusema utamaduni huu umekua kivutio kikubwa sanaa ndani na nje ya...
  6. Biashara za Wanandoa: Kufanikiwa Pamoja au Kuachiana Majukumu?

    Kwa wanandoa wengi, kuanzisha biashara ya pamoja ni ndoto ya kuwa washirika wa maisha na kazi. Unapomuona mpenzi wako sio tu kama mwenza wa maisha bali pia mshirika wa biashara, inatoa nafasi ya kuimarisha uhusiano wa kifamilia na kifedha. Lakini wakati ndoto hiyo inaweza kuonekana kama...
  7. S

    Tutafakari kwa pamoja kwanini Dube na Ateba wameanza kufumania nyavu baada ya upako?

    Mpira wa Tanzania ni mgumu sana, mpira wetu ni wa kikwetu kikwetu, wakati mwingine unapowaambia watu kuwa mpira wa Tanzania hauangalia uwezo wa makocha watu wanabisha, mfano mzuri moira unaochezwa na timu yangu ya Simba utasema kuna kocha mle? Au gusa achie twende kwao kuna mpira pale? Mpira...
  8. Mama yangu Raisi Samia Suluhu Hassan, waziri wa ulinzi pamoja na waziri wa miundombinu. Tumieni DK 5 tu kusoma hili juu ya SGR

    Amani ya Bwana iwe nanyi. Roho yangu binafsi inaniuma sana kuona kuna baadhi ya watu wanahujumu huu mradi wa SGR, tena wengine ni mafundi au wanahusika kwa namna moja ama nyingine. Opinion yangu; Mh Raisi na waziri wa ulinzi tengeneza taskforce kali sana, zitungiwe sheria ndogo maalumu kwa...
  9. Freeman mbowe NI wakati sasa wakuachia madaraka pamoja na kashifa zote ulizonazo zakutumiwa na Abdul

    Kuna nyakati watu wengi walikuwa wakisema mbowe ni wakala wa ccm mda mrefu watu wengi walibisha hususani machawa wake ambao kwa sasa ndoo wanaompigania kugombea tena kiti cha mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo. Mbowe asichokijuwa Tundu lisu ana clip zote zinazoonesha wenje kwenda...
  10. Pre GE2025 Ni wazi CHADEMA sasa imegawanyika, kuirudisha kuwa pamoja ni Mbowe kutogombea uenyekiti tu

    Maneno aliyozungumza Lissu leo wakati anarudisha fomu ni mazito sana, anasema mtu aliyemleta Abdul kwake ampe pesa na akamwambia hata wengine wameshapewa pesa ndiye anagombea kuwa makamu mwenyekiti wa CHADEMA na anamuunga mkono Mbowe kuwa mwenyekiti! Katika hili jambo kama ni kweli ni baya...
  11. Hivi Tundu Lissu haoni hatari inayomnyemelea pamoja na maonyo yote? Mungu pisha mbali, anajiamini nini wakati anapambana na viumbe wasio na huruma?

    Kwa namna alivyouawa mzee Ali Kibao bila wahusika kujulikana, kutafutwa wala kuchuliwa hatua, ni mwendawazimu pekee anayeweza kujiamini mbele ya makatili na wauaji ambao wameshika kani chini ya kivuli cha watu wasiojulikana ingawa wanajulikana. Kwa kuzingatia hali na ukweli huu, nashangaa Tundu...
  12. Wakristo kuoa ni gharama sana, pamoja na kukomoana kwenye mahari.

    Nimejichanga nina milion 3 kwenye saving yangu, nilikua na malengo ya kuongeza million 2 nyingine niiwekeze sehemu, harakati fulani, hapa na pale pressure kutoka kwa wazazi juu ya kuoa, kila siku simu zinapigwa kuniulizia naoa lini, kitu ambacho sioni kwamba ni kibaya,.. Sasa kuna binti ambaye...
  13. Tunatumbukiza Mamilioni Kwenye Harusi, Lakini tunashindwa changia matibabu ya wagonjwa na tunashindwa kujichanga kwa shughuli za maendeleo ya pamoja

    Nimekuwa nikifuatilia kwa makini jinsi desturi ya kuchangia na kufanya sherehe kubwa, hususan harusi, inavyozidi kushika kasi hapa nchini. Kinachoshangaza zaidi ni kwamba ule wigo wa kuomba michango sasa umepanuka kiasi cha kutisha. Leo hii, mtu ambaye jina lako halijui vizuri anaweza kukuomba...
  14. Elon Musk ashinda tenda ya kuharibu international space station ambayo USA ilishirikiana pamoja na Urusi.

    ISS (international space station) Ni jidubwasha kubwa sana linalobeba maabara ya watafiti wa anga, lakini life expectancy yake ndio hivyo inakaribia kuisha, linatakiwa liondolewe. Na kikubwa cha kueleweka hapa ISS ilitengenezwa Kwa ushirikiano wa USA, RUSSIA, JAPAN, CANADA na EUROPE. Kwaajili...
  15. R

    TUNDU Lissu, nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA na ugombea Urais haviendi pamoja, utaachia ipi?

    Habari! Ule Utaratibu wa CDM wa kutorudia mgombea Urais ni kama jadi vile inayoendelea, Ndugu Lissu kuutangazia umma kuwa anataka uenyekiti wa CHADEMA, ajue Moja kuwa nafasi mojawapo ni LAZIMA aachie, Sasa ni ipi atakubali kuiachia kati ya 1. Ugombea Urais 2025. 2. Uenyekiti wa chama Taifa...
  16. House4Sale Nyumba inauzwa ipo Sinza A karibu na apartment za Delina .

    ENEO LINAFAA KWA APARTMENT AU MAKAZI BINAFSI LIPO SINZA A KARIBU NA APARTMENT ZA DELINA NA KITAMBAA CHEUPE ENEO NI SQM 356 ENEO LINA HATI PAZURI SANA KI BIASHARA CALL 0658124288 , Kwa ajili ya kwenda kupaona na maongezi BEI : Mil 190 na maongezi yapo kidogo .
  17. Video: Lissu na Mbowe mambo shwari, tazama wakiingia pamoja kuzungumza kuhusu tathimini ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wakuu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Freeman Mbowe akiongozana na Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho upande wa Bara Tundu Lissu kwa ajili ya kuzungumza na waandishi wa habari.
  18. X

    Jay-Z atuhumiwa kumnyanyasa kingono mtoto wa miaka 13 katika tukio la 2000 pamoja na Sean "Diddy" Combs

    Mwanamke anayedai kuwa alinyanyaswa kingono na Sean "Diddy" Combs amerekebisha kesi yake na kujumuisha madai kuwa pia alibakwa na Jay-Z kwenye moja ya party. Kesi hiyo hapo awali iliwasilishwa dhidi ya Combs mnamo Oktoba, lakini Jumapili 8th December, mwanamke huyo aliongeza Shawn Carter...
  19. Maggie Nardi, pamoja na ujumbe wake, watembelea Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA)

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) leo imepokea ziara ya Naibu Waziri Msaidizi wa Shirika la Kimataifa la Dawa za Kulevya na Masuala ya Sheria (INL), Maggie Nardi, pamoja na ujumbe wake. Ziara hiyo imelenga kuipongeza DCEA kwa mafanikio makubwa katika kudhibiti biashara...
  20. Tetesi: Diamond yupo mbioni kuzindua jumba lake la kifahari pamoja na ofisi mpya za Wasafi Media

    Za ndaaaani kabisa Msanii Diamond Platnumz yupo mbioni kuzindua jumba lake la kifahari pamoja na ofisi mpya za Wasafi Media. Ikumbukwe ofisi za sasa za Wasafi Media ni za kupanga. Hivyo mwana anataka uzinduzi wa Mjengo wake mpya ambao utakuwa gumzo jijini uendane sambamba na ofisi za Wasafi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…