polisi

  1. L

    Polisi: Msamaha wa kutoshtakiwa kwa wamiliki wa silaha kinyume cha sheria walioanza kusalimisha silaha kuanzia Sept 1 - Okt 31

    Jeshi la Polisi nchini Tanzania limetoa taarifa rasmi kuhusu operesheni mbalimbali zilizofanyika katika kipindi cha hivi karibuni. Taarifa hiyo inatoa muhtasari wa hatua zilizochukuliwa na jeshi hilo katika kudhibiti uhalifu na kuhakikisha usalama wa raia. Katika taarifa hiyo, Jeshi la Polisi...
  2. W

    Maafisa Polisi wazuiliwa kuingia na Miili isiyojulikana Mochwari Jijini Nairobi

    Maafisa wa polisi walizuiliwa kuingiza miili isiyojulikana katika Makaburi ya Jiji la Nairobi kufuatia mvutano kati ya serikali ya Kaunti ya Nairobi na Huduma ya Polisi ya Kitaifa (NPS) Kulingana na serikali ya kaunti, hakuna nafasi katika mochuari hiyo wakidai imejaa, na ina uwezo wa kujaza...
  3. Yoda

    Kwanini Polisi wa Afrika huwa wanabeba bunduki kubwa/ mitutu/ rifles badala ya bastola?

    Karibu nchi zote za Africa polisi wanabeba mitutu/ rifles tofauti na nchi nyingi za Magharibi wakoloni wao ambao polisi wao wanatumia bastola zaidi. Hii imesababishwa na gharama za bastola au ufanisi wa mitutu?
  4. L

    Tanga: Polisi yawakamata na kuwashikilia Watu Sita kwa tuhuma za mauaji ya Watu Watatu waliokufa kwa kuchomwa Moto Msituni

  5. Damaso

    Polisi jifunze namna bora ya kuishi na jamii

    Ni asubuhi umeamka zako na unajiandaa kwa ajili ya kwenda kazini ila ghafla unasikia sauti yenye ukali mlangoni kwako ikikutaka utoke nje, unaamua kufungua unakutana na mtu ambaye amevaa jeans na jezi ya Man United pamoja na kofia nyeusi ya New York. Anajitambulisha kuwa yeye ni afisa wa Polisi...
  6. Waufukweni

    Binti kusafirishwa akiwa amefungwa Kamba kwenye basi Katavi – Moro, Polisi yatoa ufafanuzi

    Jeshi la Polisi mkoa Morogoro limetoa ufafanuzi kuhusiana na taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na Binti anayesafirishwa akiwa amefungwa kamba kwenye basi la Happy Nation 519 DXH inayotokea Katavi Mpanda kwenda Morogoro ambalo limeondoka Dodoma asubuhi ya leo Oktoba 2...
  7. JanguKamaJangu

    Polisi yamshikilia Staa wa Man. City, atuhumiwa kukwapua simu ya shabiki

    Kiungo wa Manchester City, Matheus Nunes anashikiliwa na Polisi akituhumiwa kukwapua simu ya shabiki ambaye alitaka kumpiga picha wakati alipokuwa msalani kwenye ukumbi wa starehe usiku. Licha ya taarifa hizo kujulikana leo Oktoba 2, 2024, Nunes (26) raia wa Ureno ambaye alisajiliwa na City kwa...
  8. Chachu Ombara

    Iringa: Polisi yakana madai ya kada wa CHADEMA, Vitus Nkuna kushambuliwa na wasiojulikana barabarani, yasema alisababisha ajali kutokana na ulevi

    Jeshi la Polisi mkoani Iringa limemkamata kada wa Chadema, Vitus Nkuna kwa kusababisha ajali mnamo Septemba 30, 2024. Kamanda wa Polisi, SACP Allan Bukumbi, ameeleza kuwa Nkuna alikuwa anaendesha gari akiwa na kiwango kikubwa cha ulevi, hali iliyosababisha kugonga gari la kampuni ya KINGS. Hata...
  9. Pdidy

    Polisi Arusha kuchunguza Tukio la Kifo cha Mtu mmoja Eneo la Moivaro

    Juzi kati nasoma mtoto wa miaka 54 kamuua mama yake kisa maki za urithi; ======= Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linafanya uchunguzi wa kifo cha David Mollel mwenye umri unaokadiriwa kuwa kati ya miaka 50 hadi 55 mkazi wa Baraa Jijini Arusha aliyekutwa amefariki dunia, huku mwili wake ukiwa...
  10. USSR

    Tuliombe Jeshi la Polisi kuzuia mkutano huu wa TLS hapa Ubungo Plaza kuhusu watu waliopotea

    Najua polisi makao makuu mpo humu na mnapitia haya hawa wanasheria wamepanga kukutana na vyombo vya habari vya nje na ndani kuwaaminisha watu kuwa Rais Samia ndio anahusika na kuteka watu . Wanataka kuchafua image ya taifa letu lenye amani na utulivu mkubwa kwa kesi mbili tatu za kupotea kwa...
  11. Mwamuzi wa Tanzania

    Serikali msitutoe kwenye reli kwa hukumu ya kifungo cha maisha kwa maafande wahuni, bado tunawaza utekaji wa kutumia silaha za kivita mchana

    Mimi binafsi kila jambo nalipa nafasi yake, sehemu yake na muda wake. Sio mjinga kwamba jambo B linaweza kunisahaulisha jambo A. Wewe ukinitukana leo halafu kesho unipe elfu 10 ya chai ninaweza kuipokea lakini haitanitoa kwenye case ya matusi uliyonitukana jana. Serikali bado tunasubiri...
  12. mdukuzi

    Ukifikisha umri wa kustaafu(miaka 60) na hujawahi kulala selo au kuitwa polisi kwa mahojiano wewe sio mpambanaji

    Ukiondoa chawa, high profile leaders, watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama, makada wa CCM na watoto wa mama. Waliobaki kama ukifikisha umri wa kustaafu miaka 60,uwe umejiajiri au umeajiriwa na katika harakati zako za upambanaji hujawahi kulala kupango au kuitwa polisi kwa mahojiano,wewe...
  13. JanguKamaJangu

    Polisi na TANROADS - Arusha wafanya ukaguzi wa maeneo hatarishi kwa ajali

    Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarni Mkoa wa Arusha kwa kushirikiana na wakala wa Barabara (Tanroads) Mkoa wa Arusha katika kuhakikisha wanadhibiti ajali za barabarani wameendelea na ukaguzi wa maeneo hatarishi ambayo yanatokea ajali za mara kwa mara huku wakiweka wazi kuchua hatua za...
  14. USSR

    Polisi wajue hakuna mjinga wa kuamini hili

    Ukisoma kwa umakini unapata ukakasi kabisa ,naona kuna kitu hakipo sawa hapa USSR
  15. Tlaatlaah

    Zitto Kabwe aunganishe nguvu na vile vyama 13 vya siasa vilivyopinga maandamano haramu ya Chadema yaliyopigwa marufuku na Polisi

    Hii italeta pumzi mpya, changamoto mpya kwa ccm, mageuzi, na uelekeo mpya wa upinzani nchini. Hata hivyo, Hatua hiyo muhimu itategemea sana, utashi na utayari wa uongozi wa vyama hivyo vya kisiasa nchini, kuweka maslahi ya Taifa mbele, na kuweka kando tofauti zao za kisiasa, usaliti, ubinafsi...
  16. Lady Whistledown

    Serikali yaikingia kifua Polisi Mauaji ya Waandamanaji

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Kithure Kindiki, amesema Polisi pekee hawastahili kulaumiwa kwa vifo vya waandamanaji waliopigwa risasi wakati wa maandamano ya 25 Juni, 2024 ambayo yalihusisha majengo ya Bunge la Nairobi yakivamiwa Akiongea mbele ya Kamati ya Usalama wa Taifa ya Bunge, Kindiki...
  17. Cute Wife

    Pre GE2025 Serikali yakwamisha tena dhamana ya Boniface Jacob (Boni Yai)

    Serikali imekwamisha tena uamuzi wa hatima ya dhamana ya meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob maarufu ‘Boni Yai’ baada ya kuibua maombi mengine mapya kuwa wanataka kuwasilisha kiapo cha ziada leo Alhamisi Septemba 26, 2024. Hakimu Mkazi Mfawidhi, Franco Kiswaga alitarajia kutoa uamuzi juu...
  18. Vichekesho

    Ushauri: Jeshi la Polisi liajiri watu wenye angalau Degree 1 yenye GPA ya kuanzia 3.5 na kuendelea

    Tunataka jeshi la wasomi wenye GPA kubwa ili wakifanya mambo ya hovyo tuwe na haki zote za kuwanyooshea kidole. Mtu aliyeishia form 4 na kupata division 4 hawezi kulaumiwa kwani upeo wake hauwezi kuwa wa juu. Muda wote atahitaji kutumia nguvu kuliko akili katika utatuzi wa changamoto...
  19. Abdul Said Naumanga

    ARUSHA: Polisi yadaiwa kumuua mfanya biashara Johnson Joseph mbele ya familia yake kwa kushushiwa kichapo huku akiwa amefungwa pingu

    Credit kwa WasafiTv👇🏼 https://youtu.be/dl-pDpB8K2Y?si=AssMQvmbRoW28ILy Johnson Joseph, mkazi wa Murieti, jijini Arusha, na mfanyabiashara wa vyuma chakavu, anadaiwa kuuawa na watu wawili waliodai kuwa maafisa wa polisi katika mtaa wa Eso, kata ya Ungalimited. Tukio hilo linadaiwa kutokea...
  20. Mindyou

    Shambulio la risasi laitikisa Ofisi ya Kampeni ya Kamala Harris huko Arizona. Polisi watoa tamko!

    Ofisi ya kampeni ya mgombea urais wa Marekani, Kamala Harris, huko kwenye mji wa Phoenix ilishambuliwa kwa risasi na kusababisha uharibifu kwa majengo na madirisha huku hakuna majeruhi walioripotiwa. Tukio hilo lilitokea usiku wa manane, siku chache kabla ya ziara ya Harris jimboni humo, na...
Back
Top Bottom