Jeshi la Polisi nchini Tanzania limetoa taarifa rasmi kuhusu operesheni mbalimbali zilizofanyika katika kipindi cha hivi karibuni. Taarifa hiyo inatoa muhtasari wa hatua zilizochukuliwa na jeshi hilo katika kudhibiti uhalifu na kuhakikisha usalama wa raia.
Katika taarifa hiyo, Jeshi la Polisi...
Maafisa wa polisi walizuiliwa kuingiza miili isiyojulikana katika Makaburi ya Jiji la Nairobi kufuatia mvutano kati ya serikali ya Kaunti ya Nairobi na Huduma ya Polisi ya Kitaifa (NPS)
Kulingana na serikali ya kaunti, hakuna nafasi katika mochuari hiyo wakidai imejaa, na ina uwezo wa kujaza...
Karibu nchi zote za Africa polisi wanabeba mitutu/ rifles tofauti na nchi nyingi za Magharibi wakoloni wao ambao polisi wao wanatumia bastola zaidi.
Hii imesababishwa na gharama za bastola au ufanisi wa mitutu?
Ni asubuhi umeamka zako na unajiandaa kwa ajili ya kwenda kazini ila ghafla unasikia sauti yenye ukali mlangoni kwako ikikutaka utoke nje, unaamua kufungua unakutana na mtu ambaye amevaa jeans na jezi ya Man United pamoja na kofia nyeusi ya New York. Anajitambulisha kuwa yeye ni afisa wa Polisi...
Jeshi la Polisi mkoa Morogoro limetoa ufafanuzi kuhusiana na taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na Binti anayesafirishwa akiwa amefungwa kamba kwenye basi la Happy Nation 519 DXH inayotokea Katavi Mpanda kwenda Morogoro ambalo limeondoka Dodoma asubuhi ya leo Oktoba 2...
Kiungo wa Manchester City, Matheus Nunes anashikiliwa na Polisi akituhumiwa kukwapua simu ya shabiki ambaye alitaka kumpiga picha wakati alipokuwa msalani kwenye ukumbi wa starehe usiku.
Licha ya taarifa hizo kujulikana leo Oktoba 2, 2024, Nunes (26) raia wa Ureno ambaye alisajiliwa na City kwa...
Jeshi la Polisi mkoani Iringa limemkamata kada wa Chadema, Vitus Nkuna kwa kusababisha ajali mnamo Septemba 30, 2024. Kamanda wa Polisi, SACP Allan Bukumbi, ameeleza kuwa Nkuna alikuwa anaendesha gari akiwa na kiwango kikubwa cha ulevi, hali iliyosababisha kugonga gari la kampuni ya KINGS.
Hata...
ajali
chadema
iringa
jeshi
jeshi la polisi
kada
kada wa chadema
kusababisha
kutoka
mkoani
mtandaoni
polisi
rpc
siasa za chadema
siasa za tanzania
taarifa
vitus nkuna
wasiojulikana
watu wasiojulikana
Juzi kati nasoma mtoto wa miaka 54 kamuua mama yake kisa maki za urithi;
=======
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linafanya uchunguzi wa kifo cha David Mollel mwenye umri unaokadiriwa kuwa kati ya miaka 50 hadi 55 mkazi wa Baraa Jijini Arusha aliyekutwa amefariki dunia, huku mwili wake ukiwa...
Najua polisi makao makuu mpo humu na mnapitia haya hawa wanasheria wamepanga kukutana na vyombo vya habari vya nje na ndani kuwaaminisha watu kuwa Rais Samia ndio anahusika na kuteka watu .
Wanataka kuchafua image ya taifa letu lenye amani na utulivu mkubwa kwa kesi mbili tatu za kupotea kwa...
Mimi binafsi kila jambo nalipa nafasi yake, sehemu yake na muda wake. Sio mjinga kwamba jambo B linaweza kunisahaulisha jambo A.
Wewe ukinitukana leo halafu kesho unipe elfu 10 ya chai ninaweza kuipokea lakini haitanitoa kwenye case ya matusi uliyonitukana jana.
Serikali bado tunasubiri...
Ukiondoa chawa, high profile leaders, watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama, makada wa CCM na watoto wa mama.
Waliobaki kama ukifikisha umri wa kustaafu miaka 60,uwe umejiajiri au umeajiriwa na katika harakati zako za upambanaji hujawahi kulala kupango au kuitwa polisi kwa mahojiano,wewe...
Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarni Mkoa wa Arusha kwa kushirikiana na wakala wa Barabara (Tanroads) Mkoa wa Arusha katika kuhakikisha wanadhibiti ajali za barabarani wameendelea na ukaguzi wa maeneo hatarishi ambayo yanatokea ajali za mara kwa mara huku wakiweka wazi kuchua hatua za...
Hii italeta pumzi mpya, changamoto mpya kwa ccm, mageuzi, na uelekeo mpya wa upinzani nchini.
Hata hivyo,
Hatua hiyo muhimu itategemea sana, utashi na utayari wa uongozi wa vyama hivyo vya kisiasa nchini, kuweka maslahi ya Taifa mbele, na kuweka kando tofauti zao za kisiasa, usaliti, ubinafsi...
Waziri wa Mambo ya Ndani, Kithure Kindiki, amesema Polisi pekee hawastahili kulaumiwa kwa vifo vya waandamanaji waliopigwa risasi wakati wa maandamano ya 25 Juni, 2024 ambayo yalihusisha majengo ya Bunge la Nairobi yakivamiwa
Akiongea mbele ya Kamati ya Usalama wa Taifa ya Bunge, Kindiki...
Serikali imekwamisha tena uamuzi wa hatima ya dhamana ya meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob maarufu ‘Boni Yai’ baada ya kuibua maombi mengine mapya kuwa wanataka kuwasilisha kiapo cha ziada leo Alhamisi Septemba 26, 2024.
Hakimu Mkazi Mfawidhi, Franco Kiswaga alitarajia kutoa uamuzi juu...
Tunataka jeshi la wasomi wenye GPA kubwa ili wakifanya mambo ya hovyo tuwe na haki zote za kuwanyooshea kidole.
Mtu aliyeishia form 4 na kupata division 4 hawezi kulaumiwa kwani upeo wake hauwezi kuwa wa juu. Muda wote atahitaji kutumia nguvu kuliko akili katika utatuzi wa changamoto...
Credit kwa WasafiTv👇🏼
https://youtu.be/dl-pDpB8K2Y?si=AssMQvmbRoW28ILy
Johnson Joseph, mkazi wa Murieti, jijini Arusha, na mfanyabiashara wa vyuma chakavu, anadaiwa kuuawa na watu wawili waliodai kuwa maafisa wa polisi katika mtaa wa Eso, kata ya Ungalimited. Tukio hilo linadaiwa kutokea...
Ofisi ya kampeni ya mgombea urais wa Marekani, Kamala Harris, huko kwenye mji wa Phoenix ilishambuliwa kwa risasi na kusababisha uharibifu kwa majengo na madirisha huku hakuna majeruhi walioripotiwa.
Tukio hilo lilitokea usiku wa manane, siku chache kabla ya ziara ya Harris jimboni humo, na...