raia

The Australian Institute of Architects (officially as the Royal Australian Institute of Architects, abbreviated as RAIA) is a professional body for architects in Australia. The post-nominals of FRAIA (Fellow) and RAIA (Members and organisation abbreviation) continue to be used.

View More On Wikipedia.org
  1. Kilio Cha Wananchi : Changamoto za kukosekana kwa usalama wa Raia na Mali zao, Kuelekea uchaguzi mkuu, Njia panda ya Himo Wilaya ya Moshi- Kiliman

    Utangulizi Katika eneo la Njiapanda ya Himo, Wilaya ya Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro, wananchi wanakabiliwa na changamoto kubwa zinazohusiana na usalama. Kilio hiki kimekuwa kikubwa, kwani vibaka, wezi, na wanyang’anyi wamekuwa kero ya kimataifa. Hali hii imesababisha wananchi kutokuwa na amani...
  2. Russia ya wahifadhi raia wanaokimbia kuuwawa na magaidi yanaodhaliwa na Israel huko Sryria

    LATAKIA: SYRIA Russia imeruhusu raia wa jamii ya Alawite wanaokimbia mauaji ya Utawala wa Magaidi uliosimikwa na kufadhiliwa na Israel kuingia ndani ya kambi ya Jeshi Khmeimim Air base Latakia 🚨🇷🇺🇸🇾 Russian Federation Troops at Russia's Khmeimim airbase, Latakia region, has opened its doors...
  3. Hivi kwenye jela za Tanzania kuna raia wa haya mataifa ?

    Kama kichwa kinavyosema , je kwenye jela za Tanzania hapa kuna raia wa hizi nchi wanaotumikia kifungo? 1.Marekani 2.uingereza 3.Canada. 4.Saudi Arabia 5U.A.E 6.N.K Tafadhalini naomba mnijuze, Lengo la kuuliza hivi ni.kwa sababu kuna kautafiti kangu binafsi nafanya😊
  4. Tuvalu: Ifahamu nchi yenye urefu wa Kilomita 12 na mtaa mmoja raia wake wote wanafahamiana

    Ina urefu wa Kilomita 12 Ina kituo kimoja cha polisi Ina sehemu moja tu ya kupata huduma za mawasiliano Ina bank moja tu Ina hotel moja tu Raia wake kwa sehemu kubwa wanafahamiana wote Airport yake hutumika kwa football pia Karibu Tuvalu
  5. Nchi inapigwa sana hii, maghorofa ya Jeshi Mwenge, yanapangishwa kwa raia

    Haya magholofa ya jeshi yaliyoko Mwenge Kijijini, Dar es Salaam, yamekuwa yakipangishwa kwa raia. Wajanja wachache wamekuwa wakijinufaisha na majengo hayo ambayo yamefanyiwa ukarabati mkubwa na jeshi. Gharama ya kupanga nyumba hizo ni kuanzia laki tano na kuendelea, namna utakavyojiingiza...
  6. China ni maswahiba wa Urusi ila raia wake wamajaa Marekani kuliko Urusi!

    Ilitegemewa kutokana na urafiki mkubwa na ujirani uliopo kati ya China na Russia basi raia Wachina wangejaa kwa wingi zaidi Russia kuliko sehemu nyingine ila hali ni tofauti kabisa. Kuna raia takribani milioni tano na nusu wa China nchini Marekani wanoishi na kufanya kazi huko wakati kuna raia...
  7. Goma: Raia waandamana kupinga uwepo wa MONUSCO na majeshi ya nje

    Leo hii, tarehe 17 Februari 2025, mjini Goma, asubuhi ya leo kumekuwa na maandamano; lengo likiwa wanajeshi wa UN waliopo Congo,hususani Goma, kwa zaidi ya miaka 20, waondoke, na kwamba usalama wao watahakikisha unatokana na wao wenyewe. Si MOUNUSCO tu, bali na jeshi la SAMIDRC(Afrika kusini...
  8. Raia mmoja wa Burundi awahimiza wenzake kuwa makini na viongozi wao

    https://x.com/WilsonLixon/status/1890756407906939004
  9. Nini chanzo cha raia wengi wa Nigeria kuwa matapeli wa kimataifa waliokubuhu duniani?

    Raia wengi wa Nigeria wamekuwa wakihusishwa na utapeli kila kona ya dunia kuanzia nchi za Africa, Uarabuni, Ulaya hadi Marekani. Kwa nini Nigeria imekuwa ikizalisha matapeli wengi hivi wa kimata8fa tofauti na nchi nyingine za Africa?! Utapeli ni kama kipaji huko Nigeria?!
  10. Watu aina ya Mpina, Lissu, Gwajima, Ndugai, Bashiru, Makonda ,Bashungwa, Heche, Biteko Mwabukusi ,wakiongoza Nchi , Kila Raia atakua na Furaha !!.

    Na Nchi itakua na Maendeleo makubwa sana Kwa nyanja zote . Hawa watu unapofatilia Maisha yao , Utendaji wao wa kazi Kwa nafasi zao, Maono yaliyo Ndani ya hotuba zao, Kanuni, Imani ,falsafa na Itikadi zao kulihusu Taifa hili , utagundua kua Tuna watu tunaopaswa kujivunia kua nao kama Taifa. Ila...
  11. Raia Goma wakusanyika kuwapokea viongozi wapya

    Leo tarehe 6 January 2025, katika uwanja wa mpira wa Umoja huko Goma, raia wamefulika baada ya kualikwa kuwatambua viongozi wao wapya. Tofauti na matarajio, umati wa watu uliopo nje, unazidi uwezo uwanja huo. Link hapa, ni hali ilivyo kwa sasa nje ya uwanja huo. Mkutano huo wenye ajenda ya AmA...
  12. B

    Mkutano wa Uchaguzi ulijaa Raia kutoka Asia ya Mbali na Uchina. Hii ina maana gani kwa siasa zetu?

    Ktk Dunia hii ambayo mbabe ni Mtu mwenye uchumi imara na ustawi wa watu tumezoea kuona Nchi za Asia ya mashariki na mbali ikijikita hasa kwenye siasa za uchumi na maendeleo. Ni ktk hali hiyo tumeona China huwa haiingili wala kujihusisha na siasa za nchi nyingine. Kwa Lugha nyingine huwa hawana...
  13. Wawili wakamatwa kuhusiana na taarifa ya raia wa kigeni kutekwa na kupigwa Arusha

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watuhumiwa wawili kuhusiana na taarifa inayosambaa katika mtandao wa kijamii ikieleza kunusurika kuuawa, kutekwa na kupigwa nyundo kichwani kwa raia mmoja wa kigeni aitwaye Suzan Mary Shawe (75) raia wa Afrika Kusini. Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa...
  14. Hongera Trump kwa kutia saini Amri ya Utendaji inayoidhinisha kufukuzwa kwa watu wasio raia wa US wanaounga mkono mashirika ya kigaidi kama vile Hamas

    Kwa sisi wana marekani tulioko yombo vituka tunakupongeza sana. Walambe wote kaka, waje wakaandamane kwenye nchi zao zinazo support uoaji wa mabinti wadogo wa miaka 9...
  15. Watanzania wengi ni wajinga, mtu anapokubali kuwa raia wa Tanzania halafu ana kipaji badala ya kufurahia wao wanachukia.

    Miaka 2 nyuma niliandika sana mitandaoni kuwa serikali impe uraia Mayele . Mayele ni hazina. Kuna wachezaji majuzi wamepewa uraia kuna watu wanakwazika. Hii ni roho ya kichawi. Tanzania ina mapori mengi hayana watu. Tukigawa kwa square meter bado kila Mtanzania ataweza kumiliki eneo kubwa la...
  16. A

    DOKEZO Raia wa Rwanda wamejazana kama wapo kwao. Mamlaka husika waondoeni haraka

    Wakuu, hii imetokana na mambo kadha wa kadha ni kama mwezi mmoja umepita nilienda kwenye mgahawa mmoja local kuchukua chakula majira ya saa 3 usiku, wakati nimefika nikakuta vijana wawili ambao ni wahusika wa ule mgahawa wanaangalia taarifa kwenye simu yao na wapo makini sana. Taarifa hiyo...
  17. W

    Ni kwanini Hamas huwa wanakimbilia mahandakini na kuwaacha raia wakati jeshi la Israel huwapa kwanza usalama raia kwenye mahandaki

    Wakati makombora yanarushwa kutoka Gaza kuelekea Israel, Jeshi la Israel huwa wanawaisha raia kwenda kwenye mahandaki. Hamas hali ipo tofauti, huwa wanakimbilia kwenye mahandaki na kuwaacha raia watajijua wenyewe WHY ???
  18. IGP anapaswa kujitathmini. Utekaji wa raia umezidi.

    Watu wanapotea bila maelezo. Mpaka leo Deusdedit Soka hajulikani yuko wapi. Abdul Nondo ametekwa juzi. Watu wanauliza maswali hawapati majibu. Juzi ametekwa mtu Mbezi,mfanyabiashara,muuza Bucha,Daudi,I forget his name,ameuawa, mwili wake umetupwa Bagamoyo. Familia yake ikasema Polisi imewazuia...
  19. R

    Ikiwa KAZI ya Serikali ni kulinda raia, Kwanini Dr Slaa asipewe dhamana na kulindwa?

    Hellow Tanganyika, Mnajaribu kutuambia umma kwamba uraiani hakuna ulinzi na USALAMA wa raia? Kwamba korokoroni ndio Mahali salama? Kwamba tuache nyumba zetu uraiani ,tuje kupata ulinzi murua korokoroni? Ndugu Bashungwa, majibu tafadhali 🙏 Karibuni!
  20. Utafiti: 90% ya raia wa Marekani na Uingereza hawana uwezo wa kumiliki nyumba za tofali

    Kuna siku ndugu yangu anayeishi uingereza aliniambia, inashangaza sana kwa nchi kama Tanzania ambapo mchanga unapatikana kila mahali halafu bado kuna watu hawachangamki kujenga na kumiliki nyumba. Kwakuwa mchanga ni rasilimali adimu sana hasa uingereza na sehemu nyingi za Marekani, huwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…