rais

  1. B

    Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye alithibitisha dhamira ya Burundi katika kuleta amani nchini DRC

    27 February 2025 Ikulu ya Gitega Burundi RAIS WA BURUNDI , EVARISTE NDAYISHIMIYE, ABADILI MSIMAMO WA BURUNDI KATIKA KULETA AMANI NCHINI DRC, Rais Evariste Ndayishimiye akutana na mabalozi wa kigeni wanaowakilisha nchi zao nchini Burundi kwa mara ya pili mwaka huu 2025, na kuleta mapendekezo...
  2. C

    DOKEZO Rais Samia kesho anahutubia Mkwakwani shule zote mapumziko

    Wadau, niko Tanga mjini hapa na katika pitapita zangu nimekutana na vijana wakizungumza kwa furaha kwamba kesho hakuna shule ni mapumziko. Nikafikiri nimepitwa na nyakati kuna holiday halafu sijui, nikamuuliza kijana mmoja kwa nini hakuna shule akanijibu mwalimu mkuu kawatangazia kuwa rais Samia...
  3. Cute Wife

    Pre GE2025 Wananchi wasusia intro ya maombi ya viongozi wa dini kuomuombea Rais Samia, wajitokeza wao na bodyguards wao!

    Wakuu, Kunazidi kuchangamka huko, maombi ya kina kuhani Mussa na chawa wengine kwenye dini yana dalili kubwa ya kubuma kesho, leo wamejitokeza wao na bodyguards wao kupiga maombi kwaajili ya Rasi Samia. Wananchi wanazidi kuamka... mpaka mama anamuita waziri Mh. Rais mchezo!
  4. Stephano Mgendanyi

    Rais Samia: Serikali Inaendelea na Ujenzi Barabara ya Amani - Muheza

    RAIS SAMIA: SERIKALI INAENDELEA NA UJENZI BARABARA YA AMANI - MUHEZA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa Serikali inaendelea na ujenzi wa barabara ya Amani - Muheza (km 40) kwa kiwango cha lami ambapo Serikali inaendelea kutafuta fedha...
  5. Roving Journalist

    Pre GE2025 Tanga: Rais Samia agawa mitungi ya gesi (LPG) na kuzungumza na wananchi wa Muheza

    Tanga: Rais Samia akigawa mitungi ya gesi (LPG) na kuzungumza na wananchi wa Muheza, Tanga Februari 27, 2025. https://www.youtube.com/live/f7YdbNKOKTs?si=3P4VZ7EdvyNewX9Q Ester Barua ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Magila iliyopo Muheza mkoani Tanga akiwa kwenye kiti cha Rais Samia...
  6. Cute Wife

    Pre GE2025 Rais Samia kufurahia maigizo ya mipasho na vichambo unavyotoa kwa wananchi inaelezea ni kwa jinsi gani hufai kuwa Rais

    Wakuu, Yaani Rais Samia unawapa kazi kubwa kweli chawa kukusafisha:BearLaugh::BearLaugh::KEKLaugh:, kila wakianza kupiga hatua kuanza kuondoa tope unaenda kuogelea kwenye dimbwi kabisaaa usionekane hata ukucha. Yaani wanafanya maigizo ambayo yanakukandamiza wewe na kuzidi kuonesha picha...
  7. L

    Rais Samia Akipata Chai Ya Motomoto Na Vitumbua Kabla ya kuendelea Na Majukumu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo Mkoani Tanga

    Ndugu zangu Watanzania, Kama Mnavyojua Rais wetu ni mtu wa kazi,ni mtu wa kupambana kutwa nzima .akiingia kazini anakuwa ameingia na inakuwa ni kazi juu ya kazi kwa siku nzima bila kupumzika. Kwa hiyo mapema kabisa Leo kabla ya kuendelea na ziara yake ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya...
  8. Pascal Mayalla

    Je Wajua Japo Baba ni Kichwa cha Nyumba, Mama Anaweza Kugeuka Kichwa Akawa Baba?. Wajua Rais Samia ni Mwanamke , ni Mama, Kwa TZ ni Kichwa ni Baba?.

    Wanabodi, Nawasalimu kwa jina la JF. Angalizo la uchangiaji, hili ni moja ya mabandiko yangu ya kuwaanda Watanzani kisaikolojia kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu, nakushauri, ukiusoma uzi huu, ukijiona kama huuelewi elewi, jipitie zako tuu kwa amani, usiparamie kuchangia, ila kwa vile jf ni...
  9. GENTAMYCINE

    Tafadhali naomba kama kuna yoyote ana Picha ya Rais Samia akienda 'Kuhani' Msiba wa Waziri wake Mchengerwa aniwekee hapa

    Nitashukuru mno kwani nimejaribu kwa Kuhangaika kuitafuta sijaiona hivyo pengine Lucas Mwashambwa au ChoiceVariable wanaweza kuwa nayo.
  10. jingalao

    Hongera Rais Samia hatimaye Wavuvi wa Pwani umeanza kuwakumbuka

    Kwa miaka mingi wavuvi wa Pwani ya Afrika mashariki walitelekezwa na baadhi yao ilibidi wajiunge na biashara haramu ya kuvua kwa kutumia mabomu au kusafirisha "Sukari" Leo hii umewatambua na kuwakumbuka kwa kuwapa boti 30+ Ombi langu ni moja tu...wapelekee meli za uvuvi wajiajiri kwenye kazi...
  11. Stephano Mgendanyi

    Rais Dkt. Samia: Barabara ya Bagamoyo - Pangani - Tanga na Daraja la Pangani Kufungua Mkoa wa Tanga Kiuchumi

    RAIS DKT. SAMIA: BARABARA YA BAGAMOYO - PANGANI - TANGA NA DARAJA LA PANGANI KUUFUNGUA MKOA WA TANGA KIUCHUMI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa dhamira ya Serikali ni kuufungua na kuunganisha Mkoa wa Tanga na ushoroba wa Ukanda wa...
  12. M

    Waganga wa Pangani waiumbua Yanga mkutano wa Rais leo, aibu kubwa sana hii

    Leo imethibitika huko Pangani kwenye mkutano wa Rais kuwa Injinia anashindaga huko kusaka waganga kwenye mechi za Simba vs Yanga, yaan waganga hao kazi yao ni kufifisha nyota ya wachezaji wa Simba na kuzipeleka kwao. Ina maana kuwa timu hii ina mambo ya ulozi sana kiukweli. Sio Pangani tu hata...
  13. M

    Waganga wa Pangani waiumbua Yanga mkutano wa Rais leo, aibu kubwa sana hii

    Leo imethibitika huko Pangani kwenye mkutano wa Rais kuwa Injinia anashindaga huko kusaka waganga kwenye mechi za Simba vs Yanga, yaan waganga hao kazi yao ni kufifisha nyota ya wachezaji wa Simba na kuzipeleka kwao. Ina maana kuwa timu hii ina mambo ya ulozi sana kiukweli. Sio Pangani tu hata...
  14. Stephano Mgendanyi

    Rais Samia Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Barabara ya Bagamoyo - Pangani - Tanga na Daraja la Mto Pangani (M 525)

    RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI BARABARA YA BAGAMOYO - PANGANI - TANGA NA DARAJA LA MTO PANGANI (M 525) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Barabara ya Bagamoyo (Makurunge) - Pangani - Tanga: sehemu ya Mkange...
  15. Waufukweni

    Aweso amuumbua Eng. Hersi mbele ya Rais Samia kwa kudai huwa anaenda Pangani Kuroga mechi za Watani wa Jadi (Simba na Yanga)

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso amuumbua Rais wa Yanga SC, Eng. Hersi Said kwa kudai kuwa huwa anaenda kuroga mechi ya Watani wa Jadi (Simba na Yanga) ili washinde "Pangani ilikuwa kama Kisiwa, ili mtu aje Pangani lazima aje kwa makusudio maalum, aje kuzika, amesikia labda kuna mganga mzuri wa...
  16. Roving Journalist

    Rais Samia afungua Shule ya wasichana Tanga, apendekeza iitwe Beatrice Shellukindo

    Rais Samia akifungua shule ya wasichana Tanga Februari 25, 2025. https://www.youtube.com/live/J2zo4vUF2HA?si=CYaVU5CnldQZy8kG Rais Samia amependekeza Shule mpya ya Sekondari ya Wasichana Kilindi iitwe jina la aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kilindi kupitia CCM Beatrice Shellukindo aliyefariki...
  17. robbyr

    Pre GE2025 Makonda anajishusha hadhi sana na kumdhalilisha Rais

    Kiukweli nilianza kuvutiwa na Paul Makonda ila hivi karibu hasa vita anavyompiga mbunge wa Arusha mjini kwa kweli naona ni ushambaa na pia hajakomaa. Makonda ajitafakari matendo yake kwani kiongozi aliyemteua ni mtu msikivu na asiyependa ugomvi kwa watendaji wake. Kupata taarifa na matukio ya...
  18. Waufukweni

    Ally Mohamed Keissy: Nilitaka tubadili Katiba ili Magufuli awe Rais kwa miaka 15

    Aliyekuwa Mbunge wa Nkasi Kaskazini (2010-2020), Ally Mohamed Keissy, amefafanua sababu zilizopelekea msukumo wake wa kutaka kubadili Katiba ili Magufuli awe Rais kwa miaka 15.
  19. Ojuolegbha

    Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Bwawa la Umwagiliaji Mkomazi.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametimiza ndoto ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kwa kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Bwawa la Umwagiliaji Mkomazi. Mradi huo unatarajiwa kuwanufaisha Wananchi zaidi ya 20,000 Wilayani Korogwe. Mradi huo...
  20. Ojuolegbha

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Korogwe kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Korogwe kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Chuo cha Ualimu Korogwe mkoani Tanga tarehe 24 Februari, 2025.
Back
Top Bottom