sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. Inafikirisha sana sababu za Yanga kuachana Gamondi

    ...Maisha ya Makocha wa Football kwenye Timu huwa hayategemei mafanikio uliyowapa huko nyuma bali mwenendo wa timu kwa wakati huo. Maisha ya Makocha wa Klabu za Simba na Yanga huwa hayategemei rekodi uliyoiweka kwenye klabu bali kelele za Mashabiki na maamuzi ya viongozi kwa wakati huo. Na hii...
  2. 0

    Ipi sababu ya TCRA kuomba maoni ya wanachi kwa ujio wa Starlink? Hii haiwezi ikawa njia ya kuikataa?

    Nimeona huko TCRA wanaomba maoni ya wanachi kwenye kupitisha kibali cha Starlink kufanya kazi Tanzania Ipi sababu ya kufanya hivi na Je, hii haiwezi ikawa njia ya kuja kuikataa Starlink na kusingizia wananchi ndio wameikataa. Hatujawahi ona TCRA ikiomba maoni ya wanachi kwa makampuni kama...
  3. M

    Gamondi ameondolewa kutokana na sababu muhimu, matokeo ya uwanjani ilikuwa ni nyongeza tu ya kumnyoa!

    Kuna wengi wasiojua kiini kikuu kilichofanya gamond aondolewe na kufungashiwa virago, wengi wao wanadhani sababu kuu ni kufungwa na Azam na Tabora united, icho kitu akikuwa kipaumbele kwenye tathmini ya viongozi kwakuwa Mpira unayo matokeo matatu,,lakini kwa mujibu wa source ya ndani kabisa...
  4. P

    Salam kutoka Marekani: Mkisikia nimerudi bila damu ni kwa sababu ya masuala kama haya

    Sijawahi kutoa damu ila kwa hii hela mimi niogope kutoa damu iliweje. Fikiria ukitoa damu unapata dola 10. Nikitoa mara kumi nakuwa na dola 100. Sasa chukua dola mia, nikienda kumuua Yanga akicheza na Tabora hiyo hela itakuwa sh ngapi? Haya bado pia hapo nakuwa nimeingia kwenye bahati ya...
  5. Sare za Chadema zaanza kugombewa Kariakoo, Haifahamiki Sababu yake

    Hii ndio Taarifa mpya zinazozunguka kote mitandaoni, jioni ya leo kwa saa za Tanzania Unaambiwa Mauzo ya nguo hizo yamepanda ghafla hadi kuwatia hofu wauzaji wake, Si Magwanda wala Madela. Bado haijajulikana sababu hasa za mauzo hayo kupanda haraka kiasi hicho, Bali wadau wanaona labda kujaa...
  6. U

    Uzi maalumu wa riwaya zilizojipatia umaarufu mkubwa ndani na nje ya tanzania na sababu za kupigwa marufuku

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika hapo juu Mimi nianze na Rosa Mistika mtunzi kezirahabi marufuku kwa kukiuka maadili Jioni njema
  7. Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Fedha (ANIF) la Guinea ya Ikweta, Baltasar Ebang Engonga, amenaswa kwenye kashfa nzito na kubwa zaidi ya ngono nchini humo. Inayohusisha zaidi ya video 400 za ngono. Wanawake waliomo kwenye video hizo ni pamoja na wake za viongozi wengi...
  8. Nahisi hii inaweza kuwa sababu kuu ya Elon Musk kuwachukia Democratic!

    Pamoja na kulenga biashara zake, pia suala la mwanae lilimuumiza sana na anaamini mitazamo ya kiliberali ya democratic ilichangia kwenye hilo! https://www.washingtonpost.com/business/2024/07/26/musk-transgender-vivian-grimes/ This is actually why Elon went against the democrats. He believes...
  9. ACT: Wagombea wetu hawajateuliwa kwa sababu zisizo na mashiko, tunamtaka Waziri wa TAMISEMI awarejeshe

    TAARIFA KWA UMMA Chama cha ACT Wazalendo kimeendelea kupokea taarifa zinazoonesha wagombea wetu mbalimbali Nchini hawajateuliwa kwa sababu zisizo na mashiko kwa mujibu wa Kanuni za Uchaguzi. Mchakato huu wa kuwatengua wagombea unakwenda kinyume na misingi ya haki, uwazi na usawa wa kidemokrasia...
  10. Wanawake wengi wana siku zao za kununa bila sababu

    📖Mhadhara (59)✍ Je, wajua? Wanawake wengi wanakuwa na siku za kununa bila sababu. Bila shaka unaishi na ndugu yako wa kike, mfanyakazi mwenzako wa kike, mkeo, mchumba, au mpenzi wako na huwa kuna siku anaamka amenuna bila sababu (yaani hayuko sawa kama siku zote). Kama tabia hiyo inajirudia...
  11. Hakuna tena sababu ya kukaa kwenye mahusiano kwa miaka 5 halafu mwanaume anakwambia anataka kuoa mwanamke mwingine!

    Hakuna tena sababu ya kukaa kwenye mahusiano kwa miaka 5 halafu mwanaume anakwambia anataka kuoa mwanamke mwingine! Dalili zote za mwanaume ambaye anakutumia zinaanza kuonekana ndani ya miezi 3 ya mahusiano. Shida inakuja tu kuwa, baada ya miezi 3 ya mahusiano, wanawake wengi ni vigumu kuona...
  12. Waafrika wanaoshangilia ushindi wa Trump kwa sababu ya misaada kupunguzwa ni wavivu wa kufikiri.

    Kuna kundi kubwa la Waafrika waliofurahia na kushangilia sana ushindi wa Trump, kila nikisikia au nikisoma sababu wanazozitoa kumuhusudu Trump naona kama mfumo wao wa umeme kichwani una hitilafu, Tuangalie hoja moja ya kupunguzwa msaada na utegemezi wetu kwa mfano Wale wanaosema misaada ya US...
  13. M

    Kweli nchi yetu bado ni ya ulimwengu wa 3, kwa sababu umeme tu bado ni tatizo

    Ni ndani ya jiji muhimu la kibiashara la Dar es Salaam, lakini umeme unakata bila taarifa je kwa mikoani yawezekana karibia kila siku umeme unakata. Soma pia: Tatizo la umeme mkoani Tabora
  14. Wanawake ndio sababu ya vijana kupenda kulelewa na Mashangazi

    Hi Ninyi wanawake ndio sababu ya vijana kupenda kulelewa na mashangazi. Mtoto wa kike unapata wapi ujasiri wa kumlea mwanaume wakati wewe umeeumbwa kutunzwa na mwanaume kaaumbiwa kutafuta pesa atunze familia Matokeo yake ndio haya watoto wadogo wanaangaika na vikongwe uku kisa kufwata uwepesi...
  15. Uchunguzi wangu unaonyesha wanaume wengi hufa mapema kwa sababu hawakupendwa na wake zao

    UCHUNGUZI WANGU UNAONYESHA WANAUME WENGI HUFA MAPEMA KWA SABABU HAWAKUPENDWA NA WAKE ZAO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Watu wengi hujiuliza Kwa nini Wanaume hutangulia Kufa Kabla ya Wake zao. Imefikia hatua jamii imeshakuwa na mtazamo huo kuwa Mwanaume lazima atangulie Kufa Jambo ambalo...
  16. Nini sababu ya taa kuendelea kuwaka hata zikizimwa?

    Yaani taa zangu hata nikizima bado zinawaka kwa mbali Huyo muingiza umeme alipokuwa anaweka umeme alisema fundi amekosea wiring ndio maana Nimemuita huyo mpiga wiring mwenyewe anasema hakuna tatizo ni kawaida (means ameshindwa kujua tatizo) Sisi wengine tuna tabia ya kutopenda mwanga basi...
  17. M

    Kuna haja na kila sababu ya kuipumzisha CCM maana ni kama inalizamisha taifa

    Habari zenu ndugu wana jukwaa letu pendwa. Kama mada inavyojieleza ukiangalia mambo yanavyoendelea nchini unaona kabisa kuna kila sababu ya chama cha mapinduzi kuwekwa likizo maana hawana mbinu tena za kuliendeleza taifa hili. Nina sababu zifuatazo kuisupport hoja yangu katika hili. 1. Chama...
  18. Udini ndio sababu inayoifanya Africa kushindwa kuendelea

    Dini hizi mbili kuu zilizokuja na Majahazi ndio zinafanya mpaka sasa tunashindwa kusimama na kuwa wa moja. Mfano: Baadhi ya maeneo hapa Tanzania wanachagua kiongozi kwa kuangalia Dini yake. upewi kipaumbele kama wewe sio wa Dini yao. Kwa upande wa ukabila bado kuna changamoto kidogo hasa kwa...
  19. J

    Sababu za kusameheana

    Sababu za kusameheana Msamaha ni Nini Biblia inaposema achilieni nanyi mtaachiliwa (Luka 6:37) ina maana gani Neno msamaha, halina tofauti sana na neno ‘kuachilia’ au ‘kufungulia’. Unapomsamehe mtu aliyekukosea ni sawa na umemwachilia huru katika moyo wako. Huna deni naye tena, anakuwa...
  20. Kukosekana kwa uzalendo wa kweli miongoni mwa Watanzania ndio sababu ya CCM kushinda kila uchaguzi. Nov 2024 CCM itashinda, Oct 2025 itashinda tena

    Kwa tafsiri sahihi isiyogemea chama chochote cha siasa UZALENDO ni hali ya mtu kuipenda nchi yake na kuwa tayari kuifia. Kwa nyongeza ni pale raia anafikia hatua ya kupambana na mtu yeyote bila kujali cheo, hali au mali alizonazo ikiwa tu mtu huyo atahatarisha au kuweka rehani mali za umma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…