sauti

Sauti Sol are a Kenyan afro-pop band formed in Nairobi, Kenya by vocalists Bien-Aimé Baraza, Willis Chimano and Savara Mudigi in 2005. Initially an a cappella group, guitarist Polycarp Otieno joined before they named themselves Sauti.Sauti Sol released their debut studio album Mwanzo on 1 November 2008, to critical acclaim. Their second studio album, Sol Filosofia, was released on 25 February 2011, earning the group a number of accolades and nominations in the process. On 18 June 2012, the band released a self-titled extended play in collaboration with South African rapper and record producer Spoek Mathambo. Their third studio album, Live and Die in Afrika, was released online on 21 November 2015 as a free download, available for 48 hours as an early Christmas present.The band has had several successful tours in Africa and Europe, topped Kenyan charts and gained international attention with shows in Europe and the US, as well as television appearances and various accolades and nominations, including their 2011 concert performance in Kenya with South African a cappella group Ladysmith Black Mambazo. The band has also received both local and international accolades and nominations, including at the Kisima Music Awards, the Channel O Music Video Awards, the MTV Europe Music Awards, and the BET Awards.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rwanda wanaanda Formula One, Kenya wanawakaribisha Bayern na Ajax, Tanzania Samia anatosha

    Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) imechangamka ile mbaya, mambo yako moto fire, marais wa nchi wanachama wapo busy hapa na pale. Lakini ukweli mchungu ni kuwa kuna marais wa nchi majirani wanaopiga hatua za kiwango cha dunia huku wengine tukibaki kuwa watazamaji wa mechi za wenzetu. Ukiangalia...
  2. JamiiForums Tanzania Nimechoka Kusoma PDF za Chuo Usiku Kucha? Nimejenga AI Inayosoma PDF na Kuwa Sauti ya Kiswahili na Kiingereza Bure

    Habari wadau, Natumai mko poa Kama wewe ni mwanafunzi wa Chuo, mwalimu, au unapitia PDF nyingi za kazi, umeshawahi kuchoka macho? Mimi binafsi nimekuwa na shida hii kwa muda mrefu. Niko na ma-PDF zaidi ya 50 ya vitabu na notes za mitihani, kusoma kila ukurasa usiku kucha macho yanauma. Wiki...
  3. JamiiForums Tanzania Gwiji wa Sauti za Katuni Eric Bauza Afariki Akiwa na Miaka 46

    Eric Bauza, mwigizaji maarufu wa sauti za katuni, ameripotiwa kufariki akiwa na umri wa miaka 46, akiacha urithi mkubwa katika tasnia ya sanaa za kuigiza sauti. Alijulikana kwa kuigiza sauti za wahusika maarufu kama Bugs Bunny, Daffy Duck, Porky Pig, Tweety na Marvin the Martian. Katika maisha...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Heche anatukumbusha wosia wa Nyerere kuhusu vijana tunaopata elimu kusaidia jamii zetu masikini, kuzisemea. Tusipofanya hivyo sisi ni wasaliti

    Heche anatukumbusha wosia wa Nyerere na wajibu wa vijana wanaopata elimu bure. Those who receive this privilege have a duty to repay the sacrifice which others have made. They are like the man who was given all the food in a starving village in order to have strength to bring back supplies from...
  5. JamiiForums Tanzania Ukitazama hii video utasikia hawa mabinti wadogo wanasema "ficha bwana ako ndani, ndio tushavamia hivyo"

    Dr am 4 real PhD what happened to our youths, my brother? Ukitazama hii video utasikia hawa mabinti wadogo wanasema "ficha bwana ako ndani, ndio tushavamia hivyo"
  6. JamiiForums Tanzania Umewahi kuisikia sauti ya mungu? Unatambuaje akikujibu maombi?

    Wanaosema wamejibiwa maombi na mungu au wameongozwa na roho Mtakatifu huwa wanajuaje ? Huwa wanasikia sauti yake mungu?
  7. K

    JamiiForums Tanzania SEHEMU YA PILI: "Candidat Na Biso Mobutu"—Anatomia ya Wimbo, Sauti za Tumbo na Angalizio kwa Tanzania

    Katika sehemu ya kwanza, tuliona jinsi mfumo wa "Uchawa" ulivyo na mizizi ya kihistoria inayovuka mipaka ya Tanzania na kurudi nyuma hadi katika utawala wa kiimla wa Zaire chini ya Marshal Mobutu Sese Seko kwenye uzi BIASHARA YA UCHAWA: Kutoka kwa Franco wa Zaire Hadi Kwenye Media na Mitandao ya...
  8. JamiiForums Tanzania "Huu Sio Wakati wa Unyonge,ni Wakati wa Kuunguruma Kwa Sauti Kubwa, Kuthibitisha Maana Halisi ya Utawala wa Sheria", - Hatubabaiki- Rais wa TLS

    Wanabodi, Msikilize Rais wa TLS, Wakili Boniface Mwabukusi Atuma Salaam nzito https://youtube.com/shorts/D8VgSlxC6Uw?si=JOjb2R7WjtdwsBbf Ni kama ametangaza vita. Mzee Pasco Rejea za Pasco kumhusu Rais wa TLS...
  9. O

    JamiiForums Tanzania WATAALAMU WA BEAT MBONA MIMI NAHISI NYIMBO NYINGI ZA SOUTH HASA AMAPOANO NA KWAITO HAZINA SAUTI NZURI YA WAIMBAJI KATIKA USIKIVU KAMA BONGOFLEVA

    je hii ni shida au ndo maamuzi yao wazalishaji wa nyimbo hizo maana unakuta jitu linacheza club ukiliuliza ni kinaimba. Nlasambaa, nakasolembwaa x2 kah yaani sauti iko chini biti kuliko bongofleva atleast inakuwa juu ya biti au ni style sio kwamba wanakosea
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hivi wafanyabiashara wa barabarani hawawezi kuuza bila kufungulia sauti ya spika juu?

    Naishi Mbagala, na nina dukuduku pamoja na maoni binafsi ambayo ningependa yawafikie wananchi wenzangu na mamlaka husika, ili ikiwezekana hatua zichukuliwe na marekebisho yafanyike. Kumekuwa na tabia ya wafanyabiashara, hasa wale walio pembezoni mwa barabara, kutumia redio zenye matangazo ya...
  11. JamiiForums Tanzania Njoo tujifunze biology:Je unafahamu eneo lnapotoka sauti yako?

    Hapo ndipo sauti huwa inatokea, huo weupe kuzunguka tundu ndio zinazoitwa vocal cords, na hilo tundu linaitwa glotis..hapo ndipo hewa huwa inapita kuingia na kutoka kwenye mapafu... hilo ndio koo.. . ukisikia mtu anaongea kwa sauti ya kukwaruza tatizo huwa lipo hapo, mara nyingi huwa kuna...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Sauti Iliyopo Nyuma ya Kivuli: Wasifu wa Erma Franklin, Uhusiano wake na Aretha, na Uchambuzi wa Kisaikolojia wa "Piece of My Heart"

    Habari za wakati huu Wana-JamiiForums (Wana-JF). Leo katika Jukwaa la Burudani (Entertainment), ningependa tuwajadili magwiji wawili wa muziki wa Soul ambao ni ndugu wa damu, pamoja na uchambuzi wa kina wa wimbo wa kihistoria unaofahamika kama "Piece of My Heart" (ambao kwa mkanganyiko wa...
  13. JamiiForums Tanzania Ushindi wa Jihan unaonyesha watanzania wanaweza kuungana kwa pamoja kufanya jambo. Wanashindwa nini kutumia sauti hio kubwa kudai mabadiliko.

    Watanzania ni moja ya watu walio active sana mitandaoni Africa, Ushindi wa Jihan hauathiri maisha yao lakini wamepush hadi kimataifa. Nguvu kama hii ikitumika kumpazia Sauti hata Tundu Lisu tu anaweza achiwa mara moja. Kwa umoja huu wanaweza kudai mabadiliko kuanzia kila kona. Lakini...
  14. JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja bila Humphrey Polepole: Sauti yake ilikuwa ya kinabii

    Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana maisha ya watu waliokemewa na Humphrey Polepole kujua yanaendeleaje kwa kweli licha ya watu hao kuwa na hela nyingi sana lakini nimegundua maisha yao ni magumu sana kisaikolojia kwani wanaishi kwa hofu sana na wengi wao mambo yanawaendea vibaya. 1...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Kwa waislam msalaba ni alama ya laana tuangalie namna unavyotugusa

    Ukisimama au kulala chali na kunyosha mikono yako, unatengeneza msalaba. Ndege zinazotumika kwenda hija ni alama ya msalaba Mitaa tunayokazita kadhilika Nyumba tuishimo mapaa yake yamejaa alama hii Makutano yote yana alama hii Ongeza alama yako ya msalaba halafu tuangalie kweli kama imani hii...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Kwa maendeleo ya teknolojia na sayansi bado tunahitaji vipaza sauti misikitini na makanisani kweli?

    Hoja iko wazi. Naomba niwasilishe.
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tunaomba mtupazie sauti, Watumishi wa Umma ngazi ya Kata, tunateswa na Madiwani, Watendaji na Uongozi wa CCM

    Tumeajiriwa kama wataalamu wa Kata, lakini baadhi ya Watendaji wa Kata wanatulazimisha kubaki ofisini na kufanya majukumu ambayo kimsingi ni yao. Hali hii inaturudisha nyuma kimaadili na kiutendaji. Tunachangishwa michango ya chama, wakati kwa maadili ya utumishi wa umma, wataalamu tunapaswa...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Pwani, Mkuranga eneo la Mipeko tunateseka na umeme mdogo kwa zaidi ya miezi miwili

    Tunaomba mtupazie sauti sisi wakazi wa Pwani, Wilaya ya Mkuranga, eneo la Mipeko maarufu kama Msikiti wa Kipati, kutokana na tatizo la umeme hafifu (Low Voltage ya takriban 133V). Tumeshatoa taarifa mara kadhaa TANESCO, na tuliambiwa kuwa inahitajika kufungwa transformer mpya kutokana na...
  19. JamiiForums Tanzania Aliyekuwa member wa Sauti Sol, Willis Chimano, amtambulisha Boyfriend wake!

    Dunia inaenda kasi sana!
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Hospitali ya Kinyonga, Wilaya ya Kilwa tunakumbana na changamoto nyingi, tunaomba msaada wa Serikali na TAKUKURU

    Habari za majukumu, wanajukwaa la JamiiForums. Tunaomba mtupazie sauti sisi watumishi wa Hospitali ya Kinyonga, Wilaya ya Kilwa, Mkoa wa Lindi, kuhusu changamoto mbalimbali za kiutumishi na kiutawala zinazotukabili. Kwanza, watumishi hatujawahi kulipwa stahiki za nauli za likizo. Aidha, fedha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…