sekondari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mzazi akigoma kumpeleka mtoto sekondari mnamchukulia hatua. Huyo mtoto akimaliza degree hamumuajiri. Leo hii mnawaambia warudi kusoma VETA!!!

    Enzi zetu wakati tunasoma, kwenda shule ilikuwa ni kwa lengo la kujua kusoma na kuandika tuu. Baada ya hapo ilikuwa ni optional kwako either urudi nyumbani ukaendelee na michakato mingine ya maisha, ama uendelee na shule mpaka utakapokomea. Enzi hizo ilikuwa "utafika mbali endapo una akili"...
  2. Mavunde Akabidhi Kompyuta na Printres kwa Shule 50 za Sekondari Jijini Dodoma

    MAVUNDE AKABIDHI KOMPYUTA NA PRINTER KWA SHULE 50 ZA SEKONDARI JIJINI DODOMA Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini na Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amesema kuwa katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kumekuwa na mabadiliko makubwa katika sekta ya elimu...
  3. Ujenzi wa Sekondari Mpya Musoma Vijijini: Twende kwa Kasi Kubwa

    UJENZI WA SEKONDARI MPYA MUSOMA VIJIJINI: TWENDE KWA KASI KUBWA Kumbukumbu: Naomba kuwakumbusha kwamba hivi karibuni Mbunge wa Jimbo aligawa Saruji Mifuko 150 kwa kila kijiji kinachojenga sekondari mpya. Fedha za saruji hiyo ni zile za Mfuko wa Jimbo Kijiji cha Mmahare, Kata ya Etaro kinaenda...
  4. B

    Sekondari za Vipaji Maalum, Takribani miaka 40 Tangu kuanzishwa kwake. Je umaalum wake uko kwenye nini? Hatuoni Ubunifu wowote.

    Tumejionea wenyewe kule china na mahala pengine kama ulaya Watoto wadogo wanaandaliwa kiwa Wanasayansi na mainjinia wabobezi. Watoto hao wanasukwa na kufinyangwa kiasi kwamba wanaanza kubuni na kuvumbua Mitambo na teknolojia za kipekee zenye mchango mkubwa ktk maendeleo ya kiuchumi kwenye nchi...
  5. Pre GE2025 Mbunge wa Geita Mjini, Constantine Kanyasu, atoa msaada wa kumpyuta zenye thamani ya milioni 9 Shule ya Sekondari Ihanamilo

    Mbunge Kanyasu Akabidhi Kompyuta zenye thamani ya Tsh Mil 9. Geita - Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini, Constantine Kanyasu, ametekeleza ahadi yake kwa uongozi wa Shule ya Sekondari Ihanamilo kwa kukabidhi kompyuta tano zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni tisa. Akizungumza wakati wa...
  6. School Buses: Shule za Msingi na Sekondari za Serikali

    Tanzania ! Tanzania ! Habari za muda huu wananchi wenzangu vipenzi vya Taifa letu Tanzania ! Naomba kutoa wazo na mchango wangu kwa Wizara ya Elimu Tanzania. Ikiwapendeza tunaomba huduma ya Usafiri kwa wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari za Serikali nchi nzima haijarishi Jiografia...
  7. Wazazi na Walezi Mtwara wajitolea kuchimba Msingi kwa Ujenzi wa uzio Shule ya Sekondari Chuno

    Wazazi na walezi katika Manispaa ya Mtwara Mikindani Mkoani Mtwara wamehamasika kujitolea kuchimba msingi katika ujenzi wa uzio shule ya sekondari chuno ili kudhibiti wanafunzi kuingia na kutoka shuleni kiholela. Kukamilika kwa uzio katika shule hiyo ya Sekondari Chuno kutasaidia wanafunzi...
  8. Rais Samia afungua Shule ya wasichana Tanga, apendekeza iitwe Beatrice Shellukindo

    Rais Samia akifungua shule ya wasichana Tanga Februari 25, 2025. https://www.youtube.com/live/J2zo4vUF2HA?si=CYaVU5CnldQZy8kG Rais Samia amependekeza Shule mpya ya Sekondari ya Wasichana Kilindi iitwe jina la aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kilindi kupitia CCM Beatrice Shellukindo aliyefariki...
  9. Tuendelee Kukumbushana - Ujenzi wa Sekondari Mpya Vijijini Mwetu

    TUENDELEE KUKUMBUSHANA - UJENZI WA SEKONDARI MPYA VIJIJINI MWETU Jimbo la Musoma Vijijini lenye jumla ya Kata 21 lina: *Sekondari 26 za Kata/Serikali *Sekondari 2 za Madhehebu ya Dini I - Sekondari 3 zinazojengwa na Serikali Kuu (ujenzi kukamilika: 28 Feb 2025) (i) Kijijini Butata, Kata ya...
  10. Jimboni Manonga, Shule ya Sekondari Tambalale Yakamilika kwa Shilingi Milioni 800

    PONGEZI KWA MHE. SEIF KHAMIS GULAMALI, MBUNGE WA JIMBO LA MANONGA KWA UTEKELEZAJI WA MRADI WA SHULE YA SEKONDARI YA TAMBALALE MILIONI 800 Pongezi kwa Mhe. Seif Khamis Gulamali, Mbunge wa Jimbo la Manonga, kwa juhudi zake katika utekelezaji wa Mradi wa Shule ya Sekondari ya Tambalale, ambao...
  11. A

    Je Serikali imabariki Dar es Salaam Secondary kufukuza au kuhamisha wanafunzi wanaopata daraja la IV katika mitihani ya ndani?

    Naomba mamlaka zinazoshughulika na elimu kuanzia Afisa elimu jiji LA Dar es salaam, Afisa elimu mkoa wa Dar es salaam na Waziri wa elimu, mtupatie majibu sahihi ya hiki kinachofanyika Dar es salaam secondary na baadhi ya shule za serikali kama Pugu secondary na kwa shule za msingi kinatokea kwa...
  12. Rais Samia: Ujasiriamali kuwa somo la lazima kwa Sekondari kidato cha kwanza hadi nne. Ili kuandaa vijana kujitegemea

    Rais Samia amesema kuwa Ujasiriamali litakuwa somo la lazima kwa wanafunzi wa sekondari kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne ili kuwaandaa kujitegemea. Akisisitiza kuwa mabadiliko haya ni sehemu ya mkakati wa serikali wa kuleta mageuzi katika sekta ya elimu ili iendane na mahitaji halisi ya...
  13. Leo nimeona clip ya Rah-P akiwa anarap wakati yupo shule ya sekondari. Sijui huyu dada mkubwa yuko wapi siku hizi

    https://youtu.be/Jit7E9k0K4E?si=_F1oaYEynokgjKYq Mind you, hapo kama nitakuwa sawa sawa basi ni late 90s au early 2000s. Sijui hii ni shule gani ila inaonekana kabisa sio LIKUD seko. Hata unajiuliza hao wenzake waliokuwa wana m-hype sasa hivi wako wapi, maisha yao, familia zao, kazi zao, etc...
  14. L

    DOKEZO Kero: Madarasa katika Shule Teule ya Sekondari Kigoma Ujiji yanavuja, ni kero kubwa kwa Walimu na Wanafunzi

    Naomba kuwasilisha kero kwa Mamlaka zinazohusika kwani madarasa ya Shule ya Sekondari Teule ya Kigoma Ujiji katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji yanavuja jambo linalowapa shida Wanafunzi. Wakati mvua zinaponyesha kunakosekana utulivu wa kusoma kwakuwa kila mahali panakuwa panavuja...
  15. A

    DOKEZO TAMISEMI chunguzeni rushwa na matumizi mabaya ya fedha za serikali katika shule ya sekondari Mvuti

    Nimewiwa kuandika haya kutokana na ukimya wa kile kinachoendelea katika shule ya sekondari Mvuti iliyopo Halmashauri ya Jiji Ilala katika kata ya Msongora mtaa wa Kiboga tangu mwishoni wa mwaka 2019 alipoondolewa Head Master aliyekuwepo na kuletwa Headmaster Mpya aliyepo mpaka sasa! Je nini...
  16. Michango isiyo ya hiari Kwa Maafisa Elimu Kata zote, Wakuu wa Shule za Serikali za Msingi na Sekondari, Moshi Manispaa, Kilimanjaro

    Kwa Maafisa Elimu Kata zote, Wakuu wa Shule za Serikali za Msingi na Sekondari, Moshi Manispaa, Kilimanjaro Mkurugenzi wa Manispaa, Mwajuma Nasombe, kwa mamlaka aliyonayo, anawataka watumishi wote kuchangia fedha kwa ajili ya "Get Together" ya Watumishi Wote wa Moshi Manispaa, ikiwa ni sherehe...
  17. Sekondari Mpya ya Kijijini Butata Yakaribia Kufunguliwa

    SEKONDARI MPYA YA KIJIJINI BUTATA YAKARIBIA KUFUNGULIWA Serikali yetu inajenga sekondari mpya tatu (3) ndani ya Jimbo letu la Musoma Vijijini, na kila ujenzi/mradi umepewa Tsh milioni 584 (Tsh 584m) Sekondari hizo mpya zinajengwa: (i) Kijijini Butata, Kata ya Bukima (sekondari ya pili ya kata...
  18. “Klabu ya Uzalendo: Daraja la Kuimarisha Maadili, Mshikamano, na Uongozi wa Kesho”

    Ndugu wanajamii, Katika mazingira ya sasa, uzalendo na maadili ya Taifa yamekuwa masuala muhimu sana yanayohitaji kufanyiwa kazi kwa bidii, hasa miongoni mwa vijana. Kama taifa, tunahitaji kizazi kinachothamini maadili, mshikamano, na uwajibikaji kwa maendeleo ya jamii. Kutokana na hali hii...
  19. Tuwalee vijana kwa uzalendo: Wazo la kuanzisha klabu za uzalendo katika shule za Sekondari

    Ndugu wanajamii, Kama kijana mwenye mapenzi makubwa kwa taifa langu, nimebuni wazo la kuanzisha Klabu ya Uzalendo Mashuleni. Lengo kuu ni kuwajengea wanafunzi maadili, uzalendo, na dhamira ya kuchangia maendeleo ya taifa letu. Klabu hiii zinalenga: 1. Kukuza uzalendo kupitia elimu ya...
  20. Sekondari Mpya Kijijini Muhoji: Wazazi Waamua Kutoa Chakula cha Mchana kwa Watoto Wao

    SEKONDARI MPYA KIJIJINI MUHOJI: WAZAZI WAAMUA KUTOA CHAKULA CHA MCHANA KWA WATOTO WAO Jimbo la Musoma Vijijini lenye Kata 21, lina Sekondari za Kata 26 na 2 za Binafsi. Sekondari mpya 6 zimepagwa kufunguliwa mwaka huu. Matayarisho ya kuanza ujenzi wa sekondari nyingine sita (6) yamekamilika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…