Hello bosses and roses
Leo nimeona niandike kuhusu hili swala sababu nasikia wengi wakilalamika, sio majumbani, sio makazini.
Hivi je ulishajisikia ile hali kwamba hauumwi ugonjwa wowote ule ila:-
1. Hauna hamu ya kufanya chochote kile
2. Mda wote unajisikia umechoka, yaani kila siku almost...