status

A status symbol is a visible, external symbol of one's social position, an indicator of economic or social status. Many luxury goods are often considered status symbols. Status symbol is also a sociological term – as part of social and sociological symbolic interactionism – relating to how individuals and groups interact and interpret various cultural symbols.

View More On Wikipedia.org
  1. Hivi Kuna namna ya kublock unwanted tags za status kwenye Magroup?

    Mzuka wana Jamvi.. Siku hizi Wasap kumezuka mtindo wa hata watu ambao hamfahamiai nao kukutag kwenye grupu kuview status zao na mara nyingine bila hata kupenda na kutarajia unakuta unaview sasa wengine wanafanya Sifa wanatg kila mara , Sasa ningependa kujua kama Kuna namna ya kuzuia huu mchezo.
  2. M

    Sihukumu: mwanaume ku-post status 100 kwa siku?

    Habarini ndugu Wananzengo! Miongoni mwa vitu vinavyonishangaza na kunichukiza sana binafsi ni habits za wanaume kupenda ku post post status nyiiiiiiiingiii WhatsApp. Kwa nini inanichukiza? Kwa sababu usipo view, ama uki mute, more of them go angry with you. Au la, wanalalamika sana hali ambayo...
  3. THE BATTERY CONNECTION ERROR PLEASE CHECK BATTERY STATUS

    Habarini wakuu naombeni mnisaidie mawazo ya kwanza kuna simu (smartphone?)imechajiwa hapa kwa mpaka imefika 85% galfla imestop yani haiingizi charge kila tukichomeka kwa chaja inaleta tu ujumbe huo juu
  4. Kila siku status unapost wenzio wanaolewa we unaolewa lini?

    Habari Kuna hawa wadada ambao wao kila siku status unakuta anapost harusi za shoga zake wakati yeye bado wahuni wanapiga kisela. Najiulizaga sana uwa hawakai wakatafakari na kutamani nao waolewe kama wenzao au wameridhika na maisha ya uboyfrind na ugirlfriend? Dada acha kujichoresha mitandaoni.
  5. N

    KENYA: High Court suspends Privileges & Immunities status granted to Bill and Melinda Gates Foundation

    President William Ruto and co-chair of the Bill & Melinda Gates Foundation Bill Gates at State House, Nairobi in November 2022. Photo I PCS The High Court has issued orders suspending the Bill and Melinda Gates Foundation's special Privileges & Immunities status pending the hearing and...
  6. Ulishawahi kukataliwa pamoja na status yako? Ulijisikiaje?

    Ughonile., Kuna ile hali unasema yule mkaka/mdada nikitupia ndoano tu lazima anase lakini mwisho wa siku unapigwa kibuti kimoja saafi unabaki umeduwaa. Ukijitathmini unaona uko fresh kabisa, uko vizuri kiuchumi, handsome/mrembo, una kausafiri kako, unatokea familia yenye profile kubwa, msomi...
  7. Uraia Pacha, Wanadiaspora Mshukuruni Rais, sasa mnatambuliwa rasmi kwa Special Status ya Diaspora Tanzanite Card, una enjoy baadhi ya Haki za Uraia!

    Wanabodi Ni juzi Ijumaa niliuliza humu Kigugumizi cha nini kwenye Uraia Pacha? Shuhudia unavyowakwamisha Watanzania kuwekeza nyumbani. Miradi, mijengo ya maana ingeota kama uyoga, leo nakutana na hii hoja, uraia pacha wetu jameni ndio huu!. Haya sasa ndugu zetu wana Diaspora, mliopoteza uraia...
  8. Leo ni Sikukuu ya Wanaume Duniani ila hakuna meseji wala status za kuwapongeza. Subiria ifike siku yao!

    Nov 19 ni siku yetu tena, Duniani. Ila hauoni majigambo mitandaoni wala meseji za heri ya siku ya wanaume Duniani wala kupongezwa kwa mchango wetu katika Taifa. Ila ikifika March 8, utashangazwa.
  9. G

    Baadhi ya contacts wanaweka status za Palestina sijawahi kuwasumbua, leo nimewka Status za Israel nimevamiwa inbox bila salamu

    Tangu mwaka jana October 7 Palestina ilipoivamia Israel na kuua watu zaidi ya 1,200 kuna baadhi ya contacys zangu wamekuwa wakiweka status za kulipukwa na furaha Israel inaposhambuliwa na status za kuonyesha huruma Israel inapotoa dozi. Napenda sana kutazama status, lakini huwa nashangaa sana...
  10. Alie jiposti status akiwa chini ya kifusi ameokolewa

    Usipoteze tumaini na Imani MOYONI mwako hii ndio hukupa nguvu ya kutokata tamaa. Mungu hutushindia tulio na tumaini na imani ili tuwe mashuhuda wa kati ya walikuwa na AMANI 🙏🏿 Mungu awalinde na awakoe kwa mkono wake wa ushindi ambao bado wanalotumaini katika mazingira ya kifusi na walioko...
  11. STATUS ya makocha bora duniani

    Nini kimekushanga?
  12. Low profile( Kuishi Kawaida/ Low status)

    Low profile( Kuishi Kawaida/ Low status) Kuishi hivyo Kuna uzuri wake na ubaya wake
  13. Mpenzi wangu kaweka status WhatsApp ya kuachana na mtu ila si mimi

    Habari wakuu, Nimeamka leo nakuta mpenzi wangu kaweka WhatsApp wimbo wa Mboso uitwao Over akisindikiza na maneno na dhihaka za emoj za kuonesha anamwambia mtu ambae sio mimi. Kuna haja ya kuhoji?
  14. Msaada kuhusu status ya HESLB

    Wadau naombeni ushauri wenu, ikiwa status ya HESLB ina onyesha hivi, je unatakiwa u upload passport size picha au laah, maana kuna mdau kaniambia kwamba hautakiwi u upload picha, hiyo sehemu ni wao wenyewe wata upload, ushauri tafadhali kwa wenye kujua kuhusu hili.
  15. Applicant's Application Status Information: A-LEVEL/DIPLOMA SPONSORSHIP FORM Not Stamped.

    Habari zenu wakuu, kama inavyosomeka katika title hapo juu, hizo ni habari za mdogo wangu ambaye ameomba mkopo kupitia bodi ya mikopo kwa ajili ya elimu ya juu(heslb). Swali tunalojiuliza hiyo stamp inayohitajika ni stamp ya taasisi gani. Mwenye kujua tafadhali atujuze. Asante.
  16. Eti kwa sababu mpenzi wake ha-view status zake wala hamposti mitandaoni, ameamua kum-unfollow Instagram na maeneo mengine, ugomvi mkali umeibuka

    Ni ipi nafasi ya mitandao ya kijamii kwenye mahusiano, uchumba, na ndoa hata paibuke ugomvi, kutoelewana, kutengana, au vurugu baina ya wapenzi au wanandoa kwa sababu tu ya kuposti picha, ku-view status, au ku-unfollow? Je, migogoro hii ni matokeo ya utoto, kutokuelewa umuhimu, na matumizi...
  17. Diaspora Watapata Lini hiyo Tanzanite Status?

    Tanzania ni nchi pekee katika ukanda huu yenye wivu wa juu sana dhidi ya raia wake kiasi kuwa hairuhusu raia wake wachukue uraia wa nchi nyingine yoyote. Nchi zote zinazoizunguka Tanzania zilishaona mbali kuwa dunia inabadilika haraka na zikawaachia raia wao kuchukua uraia wa nchi nyingine...
  18. Msaada: Wale ambao ratiba ya Secretariat ya ajira inaonesha status ni ORAL pekee Ina maana hawatafanya WRITTEN?

    Kwa mwenye uzoefu na hili suala tafadhali?
  19. Timu kama Brighton inafundisha kuiishi na kuitekeleza mifumo, sera na taratibu za timu

    Hii ni moja ya timu zinazonivutia sana kwenye ligi kuu uingereza nje ya kushabikia Chelsea. Sera yao ni kukuza na kulea vipaji pamoja na kuuza kama anapatikana mteja. Kinachonivutia zaidi ni namna wanaweza kusumbua vigogo na kutawala kwa kiasi fulani ligi ya EPL japo wanakua wamepitia vipindi...
  20. S

    Ogopa kuoa mtu mwenye status ya chini. Utachapiwa mpaka na mkata nyasi za kulishia ng'ombe

    Kabla ya mwanaume kumtongoza mwanamke huwa anaangalia hadhi (social status). Hadhi ya mwanamke inajengwa na vitu vifuatavyo:-elimu, fedha, cheo na uzuri wake. Hadhi ndiyo Kinga inayochuja na kupunguza wanaume kumtongoza mwanamke. Mfano mwanamke:- 1. Mwenye shahada (ya kwanza, uzamili ama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…