taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wanavyuo waambiwa watoe taarifa za viashiria vya vitendo vya ukatili wa Kijinsia na unyanyasaji

    Wanafunzi wa Shule za Sekondari, Vyuo vya Kati na Vyuo Vikuu Mkoani Mbeya wamehimizwa kutoa taarifa za viashiria vya vitendo vya ukatili wa kijinsia na unyanyasaji. Akizungumza katika uzinduzi wa kampeni ya "Tuwaambie kabla hawajaharibiwa" iliyofanyika Septemba 25, 2024 katika uwanja wa Ruanda...
  2. Swali: Kama askari wa Tanzania hawawezi kupiga risasi 32 na kukosa shabaha. Kwa nini Tigo walitoa taarifa za Lissu kwa maafisa wa serikali?

    Simple mathematics
  3. G

    Walebanoni wameua watoto wao makusudi watumike Kama Kinga ya vita kwa hizbola, kulinda magaidi na wewe ni gaidi na taarifa wakipewa na Israel

    Israel ilitoa taarifa mapema ya kushambulia maeneo lakini wakaamua kubaki na wanawake wao na watoto ili wauawe iwe Kinga kwa Hizbola INgawa mbinu hii Israel imeilewa ndo maana hawataki kulea magaidi Nashauri UN ipige maarufuku kitendo hiki cha kikatili Cha kutumia watoto na wanawake Kama Kinga...
  4. TMDA yatoa tahadhari kuhusu taarifa ya Dawa za ARV'S kutumika kunenepesha mifugo

    TAHADHARI YA MATUMIZI HATARI YA DAWA ZA KUFUBAZA MAKALI YA VIRUSI VYA UKIMWI (ARV'S) KUNENEPESHA MIFUGO 1. Mamlaka imepata taarifa juu ya uwepo wa baadhi ya wafugaji wanaotumia vibaya dawa za kufubaza makali ya Virusi vya UKIMWI (ARV's) ili kunenepesha mifugo yao. 2. TMDA inapenda kukemea...
  5. Kukosoa Taarifa za Mange Kimambi na Msimamo wa Serikali ya Tanzania

    Kukosoa Taarifa za Mange Kimambi na Msimamo wa Serikali ya Tanzania Katika miaka ya karibuni, Mange Kimambi ameibuka kuwa mmoja wa watu maarufu kwenye mitandao ya kijamii akijipambanua kama mwanaharakati wa kisiasa na kijamii, hasa akilenga kupinga sera na uongozi wa Serikali ya Tanzania. Hata...
  6. Taarifa ya Israeli Defense Force (IDF) kwa Umma.

    Hawa watu sio wa mchezo asee...
  7. Kwanini Kwenye wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan, taarifa kuhusu wazazi wake hazionekani mara kwa mara?

    Kwenye wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan, taarifa kuhusu wazazi wake hazionekani mara kwa mara. Hii inafanya iwe vigumu kwa umma kujua ni watu wa aina gani waliomlea. Kawaida, mizizi ya kiongozi ni muhimu katika kuelewa maadili na mitazamo yake, lakini katika kesi hii, habari hizo...
  8. Mwingine Auawa; Jeshi la Polisi Fanyeni Uchunguzi na Mtupe Taarifa.

    Pichani ni kijana aitwaye Aziz Alumini Njombi wa huko wilaya Nanyumbu. Huyu kijana hajihusishi na siasa wala mambo ya uanaharakati na kazi yake ni afisa usafirishaji a.k.a bodaboda. Mnamo tarehe ya jana yaani 19/9/2024 alitekwa na mtu aliyembeba kama abilia ila inasemekana hakuwa abilia bali...
  9. Usahihi wa Maamuzi unategemea Usahihi wa Taarifa, na kinyume chake

    Parable 02|15-16/24| Katika mazingira yakudadisi au kulichambua jambo fulani( ni kama tulikua tuna fuatilia kanuni/taratibu/sheria/sera flani flani) . Sehemu ile tulikua watu zaidi ya wawili, tulilichambua lile swala uchambuzi ukaonyesha tuko sahihi na hasa mkuu Wa idara alioneshwa kuamini...
  10. Taarifa za habari kutoka kwenye media zetu zinaboa sana

    Yaani miaka nenda Rudi ukitazama ITV, TBC, ZBC, clouds, wasafi Habari ni zile zile za matatizo. 1. Video 2. Watu kutekwa 3. Mafuriko. 4 Matatizo ya maji 5. Mlipuko wa magonjwa, kipindupindu, suala 6. Upungufu wadawa 7. Ugomvi wa wakulima na wafugaji 8. Ufisadi. 9. Ubakaji 10 Njaa n.k 11...
  11. Taarifa Muhimu kwa Wote walioomba kazi kada ya Ualimu

    Taarifa Muhimu kwa Wote walioomba kazi kada ya Ualimu zilizotangazwa na Sekretarieti ya Ajira, tafadhali soma kwa makini na fuata maelekezo! Muwe na siku njema
  12. Fursa adimu ya kuwa mmiliki wa kiwanja cha bei poa Mikocheni A, Pata taarifa zaidi"

    " Ni fursa adimu kuwa mmiliki wa kiwanja cha bei poa huko Mikocheni A. Kiwanja hiki kina ukubwa wa 1500sqm na kina hati miliki, kwa hiyo unaweza kuwa na uhakika wa umiliki wako. Kiwanja hiki ni muhimu sana kwa ajili ya ujenzi wa apartments, office block, au hata ukumbi wa starehe. Bei yake ni ya...
  13. R

    Mweye taarifa official atusaidie kuhusu oral Interview ya TABIBU DARAJA LA PILI (Clinical Officers) kuhairishwa

    Kuna habari zinasambaa kuwa interview ya tabibu daraja la II (Clinical Officers ) imehairishwa mpaka Ijumaa tarehe 13/9/2024. Mwenye uhakika na tarifa hiyo atusaidie with evidence.
  14. Hivi unatambua ndoto mbaya sometimes zinakupa taarifa za ugonjwa wako katika mwili?

    achana na mambo ya sihri/uchawi mwanadamu ni kiumbe kikubwa sana ila kwa bahati mbaya hatujitambui sisi ni nani. ndani ya miili yetu there's something called Subconscious mind it work as server katika mfumo wako wa ubongo unakawaida wa kuleta kukusanya na kuleta taarifa hasa ukiwa...
  15. DC Sengerema afafanua taarifa ya kivuko kimoja kusimama kutoa huduma Kigongo - Busisi

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kueleza kuwa kuna changamoto kubwa ya foleni eneo la Busisi kwa Watu wanaohitaji kuvumia kivuko kuvuka tangu usiku wa kuamkia jana Agosti 29, 2024, akidai Kivuko hakifanyi kazi, upande wa Serikali umeeleza kinachoendelea. Mwanachama huyo alidai hali hiyo...
  16. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Toeni taarifa za bidhaa zisizo rasmi

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Watanzania watoe taarifa kwa mamlaka husika pindi wanapokuta kuna bidhaa zisizo rasmi zimeagizwa kutoka nje, zinazalishwa au zinasambazwa nchini. Ametoa wito huo Bungeni leo (Alhamisi, Agosti 29, 2024) wakati akijibu swali la Mbunge wa Hai, Saasisha Mafue...
  17. Mkeo akikupa taarifa ya mpangaji mwenzenu wa kiume kumuomba namba utachukua hatua gani?

    Kwa mfano kuna mpangaji mpya amewasili mnapoishi ila baada ya mwezi akamuomba namba ya simu mkeo kwa siri kwamba lengo wewe usijue tena alivyo mshamba akatumia kimemo na ushahidi upo wa kimemo na mkeo akamnyima na akaja kukusimulia wewe ila kwa kuogopa kugombanisha mpangaji na mkewe akakuomba...
  18. Kijijini hakuna siri na taarifa husambaa haraka sana

    Wakuu nimeamua kuileta hii habari kama thread sio story ya kutunga ni kweli ilinitokea kipindi cha nyuma kidogo miaka ya 2008. Ilishawahi kunitokea hiyo Kijijini aisee. Nimetoka zangu Dar nikaenda Kijijini basi bhana kulikuwa kuna Pisi kali ya maana na kuna jamaa alikuwa anaigharamia Mimi...
  19. L

    Puuzeni taarifa za uteuzi wangu. Mimi ni Mwanachama wa kawaida na wala sina cheo ndani ya CCM

    Ndugu zangu Watanzania, Nimesikitika sana ,kuumia sana,kuhuzunika sana na kusononeshwa sana na taarifa za uongo,uzushi, uchonganishi na ufitini zilizoletwa humu jukwaani na mwana jukwaa zinazosema ya kuwa Mimi nimeteuliwa au kupewa nafasi ndani ya CCM. Niseme ya kuwa taarifa hizo ni za uongo...
  20. Taarifa za Wapalestina zinasema kuwa jeshi la Israel halikumkomboa Farhan Al-Qadi, bali aliachiliwa huru na Hamas na kutekwa kimakosa.

    Wanaukumbi. Kama kawaida ya Jeshi la Israel kwa kujisifia ujingq. ⚡️🇮🇱 NDANI TU: Norit Yohanan - Kan Kiebrania: Taarifa za Wapalestina zinasema kuwa jeshi la Israel halikumkomboa Farhan Al-Qadi, bali aliachiliwa huru na Hamas na kutekwa kimakosa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…