Habari wanaJF,
Niende kwenye point, nimekuwa na tatizo la kuahirisha vitu nivipangavyo. Siyo kwamba siwezi ila ukifika muda tu najikuta tu labda nafanya kitu then nasema nikimaliza nitafanya. Nitaendelea hivyo hivyo mwishoni nasema kesho. Kesho inafika narudia nilichofanya leo. Hili ni tatizo...