tec

The TEC Awards is an annual program recognizing the achievements of audio professionals. The awards are given to honor technically innovative products as well as companies and individuals who have excelled in sound for television, film, recordings, and concerts. TEC is an acronym for Technical Excellence and Creativity.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh Mziwanda: Waraka wa Baraza la Maaskofu TEC unatia hasira

    Kiongozi wa Taasisi ya Asaalam Islamic Foundation Sheikh Muharram Mziwanda ameeleza kuwa waraka uliotolewa na Baraza la maskofu nchini TEC unatia hasira, amesema haki ili ipatikane lazima ufuate misingi.
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Ikongo: TEC wamehusika kwa asilimia 90 kuratibu vurugu za tarehe 29 Oktoba

    https://youtu.be/B5pHrjsXXDM?si=YrhU152Q9lyY-CLR
  3. JamiiForums Tanzania Je, wajua CCT (Christian Council of Tanzania) ilianzishwa 1934 wakati TEC (Tanzania Episcopal Conference) ilianzishwa 1969?

    Tanzania ina historia ndefu ya ushirikiano wa madhehebu mbalimbali ya Kikristo kupitia mashirika yenye misingi ya kijumuiya na kidini. Mbali na mchango wa makanisa binafsi katika jamii, kuwepo kwa mashirika kama Christian Council of Tanzania (CCT) na Tanzania Episcopal Conference (TEC)...
  4. JamiiForums Tanzania Sheria ya Mashirika ya Dini kuomba msamaha wa kodi waagizapo vifaa ndio hasira ya TEC wanataka waingize vitu bure bila kodi

    Hii sheria ya TRA imeyagusa mashirika mengi ya kidini maana yalikuwa yanatumika kama uchochoro wa wafanyabiashara kuingiza bidhaa nchini bila kulipa kodi. Shirika la kidini linapaswa kuwasilisha maombi kwa Commissioner General wa Tanzania Revenue Authority (TRA) kabla ya kuleta vifaa ili...
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Historia za waraka wa TEC kwa Utawala wa Mkapa na Magufuli

    Kipindi cha utawala wa Hayati Rais John Pombe Magufuli (Novemba 2015 – Machi 2021), Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) lilitoa matamko na waraka kulaani mauaji, utekaji nyara, kutoweka kwa watu, na kutoa maonyo makali kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu, hofu nchini, na hatari ya...
  6. JamiiForums Tanzania TEC na Wakristo na Waislam Safi hakuna Kurudi Nyuma : Tuliposema Maridhiano kabla ya Uchaguzi, walitubagaza, Wamepora Uchaguzi wataka Maridhiano!

    Hakuna Hakuna Hakuna MARIDHIANO baada ya Mauaji ya Halaiki, HAKUNA HAKUNA !!.
  7. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tafakuri ya Waraka wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC)

    TAFAKURI YA TAFAKARI YA BARAZA LA MAASKOFU TANZANIA (TEC) ILILOTOLEWA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 15 TAREHE 2025 Mwandishi, H.M Mponda (Msema Kweli) MA, Digital International Relations & Diplomacy Mtanzania Mzalendo. Utangulizi. Ndugu Watanzania wenzangu, panapotokea jambo zito katika taifa ni...
  8. JamiiForums Tanzania Maandamano yasiyo na ajenda ni Wizi na Uhaini. TEC, CCT BAKWATA, WALOKOLE na WASABATO wakemee

    Nimekaa na kutafakari kwa kina. Kumeibuka makundi ya vibaka na majambazi kutoka kona zote za Tanzania kutumia mwanya wa maandamano kuharibu na kufanya ujambazi. Maandamano yasiyo na ajenda, yasiyo na kiongozi ni kujaribu kutaka kuleta uasi bila sababu. Maandamano lazima yawe na ajenda na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania TEC wafutiwe usajili

    Kama ilivyotoke kwa makanisa ya Gwajima. Wanaangiza taharuki kwa jamii
  10. JamiiForums Tanzania The Interfaith Standing Committee on Economic Justice and Integrity of Creation (ISCEJIC) Acheni Tofauti Zenu (CCT, TEC, BAKWATA) Kaeni pamoja

    Utangulizi The Interfaith Standing Committee on Economic Justice and Integrity of Creation (ISCEJIC) ni mpango wa ushirikiano ulioundwa na mashirika makuu ya kidini nchini Tanzania: Baraza la Kikristo Tanzania (CCT) Mkutano wa Maaskofu Tanzania (TEC) Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA)...
  11. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 TEC: Kukataa majeruhi wasitibiwe, kufichwa na kunyimwa miili ni kinyume na sheria, watu wapewe maiti za ndugu zao wazike

    Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) kupitia kwa Rais wa TEC Askofu Wolfgang Pisa limetoa tafakuri ya pamoja ya Maaskofu wa Kanisa hilo, kufuatia tafakari na sala walizofanya kwa takribani siku nne (4) kuanzia Novemba 11 hadi 14, 2025 kwa matukio yalyotokea nchini Oktoba 29, iliyogubikwa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 TEC: Hasira za wananchi zimechangiwa na kukosekana kwa sehemu ya wao kupeleka malalamiko pindi haki zao za msingi zinapokiukwa

    Kanisa Katoliki Nchini, kupitia kwa Rais wa TEC Askofu Wolfgang Pisa limetoa tafakuri ya pamoja ya Maaskofu wa Kanisa hilo, kufuatia tafakari na sala walizofanya kwa takribani siku nne (4) kuanzia Novemba 11 hadi 14, 2025 Wamesema kuwa hasira za wananchi zimechangiwa na kukosekana kwa sehemu ya...
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Mamlaka zikiri waliouawa ni ndugu zetu, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wawajibishwe

    Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Askofu Wolfgang Pusa ametoa wito kwa mamlaka kulaani mauaji yaliyotokea wakati wa Uchaguzi na kuwasihi kukubali kuwa waliouawa ni ndugu zetu. Aidha, Askofu Pisa amesema , "Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wote wawajibike, au kuwajibishwa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 TEC: Maandamano si uhalifu yanatambulika kikatiba, inasikitisha waandamanaji wote waliwekwa kwenye kundi la wahalifu kupewa adhabu ya kifo

    Kanisa Katoliki Nchini, kupitia kwa Rais wa TEC Askofu Wolfgang Pisa limetoa tafakuri ya pamoja ya Maaskofu wa Kanisa hilo, kufuatia tafakari na sala walizofanya kwa takribani siku nne (4) kuanzia Novemba 11 hadi 14, 2025 TEC wameeleza kuwa maandamano si uhalifu. Yanatambuliwa na Katiba...
  15. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) wametoa tamko yaliyotokea Oktoba 29, 2025

    Leo tarehe 15/11/2025, Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), kupitia Rais wake Askofu Wolfgang Pisa, limetoa tamko zito kufuatia matukio yaliyojitokeza wakati na baada ya uchaguzi mkuu Oktoba 29 na siku iliyofuata TEC imekemea vikali utekaji na mauaji ya raia yaliyijitokeza wakati wa...
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 TEC: Maandamano yaliyotokea nchini chanzo ni ukosefu wa demokrasia ya kweli na usalama, wasiojulikana, utekaji pamoja na kupotea na kuumizwa kwa watu

    Baraza la Maaskofu la Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) limesema Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 imeliingiza Taifa katika hali ya maandamano yaliyozaa vifo, watu kujeruhiwa, kupotea na uharibifu wa mali, hali ambayo imepelekea Taifa kuwa kwenye masononeko, na maumivu kwani wapo walioawa na kuumizwa...
  17. JamiiForums Tanzania PostGE2025 TEC, Wakristo na Wapenda Haki wote Msibabaishwe na matamko ya BAKWATA , Wametumwa na Serikali kulazimisha Maridhiano, Kama Mbwai Acheni Iwe Mbwai !!

    Ndugu zangu, BAKWATA ni Taasisi iliyoanzishwa na Serikali na inayofadhiliwa na Serikali. Samia na Genge lao, miaka mingi sana wamekua wanapenyeza habari ya "AMANI AMANI AMANI " wakijua ndio Karaya yao pekee. Sasa Mtoa taarifa ambaye Yuko Ndani ya BAKWATA anasema , TAASISI hiyo imepokea...
  18. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Je, huu ni waraka huu kuhusu uchaguzi umetolewa na TEC?

  19. S

    JamiiForums Tanzania POTOSHI TEC kweli imebariki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29

    Wakuu kuna hizi media nimeona zimeshupaza shingo kudai Baraza la maaskofu katoliki Tanzania katika waraka wao walioutoa Oktoba 14, 2024 wamebariki uchaguzi. Je, ni kweli?
  20. JamiiForums Tanzania Sala Maalumu ya kuombea Haki na Amani ya nchini Tanzania kama ilivyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC)

    SALA YA KUOMBEA HAKI NA AMANI Ee Mungu tunakusifu, tunakuheshimu, tunakutukuza, tunakuabudu na kukushukuru sisi Watanzania kwa kutujalia Nchi nzuri. Tunakushukuru pia kwa zawadi ya Mwaka Mtakatifu wa Jubilei 2025. Tukiwa Mahujaji katika Matumaini, tunakuomba utuepushe na changamoto zinazoweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…